Thursday , January 19 2017

Home / TV

TV

FullshangweBlog TV

VIDEO:RC Rukwa asema Mkoa hauna njaa.

UNA 1

Mkuu wa Mkoa wa Rukwa Kamishna Mstaafu Zelote Stephen amesema kuwa Mkoa hauna njaa baada ya kufanya ziara katika maghala mbalimbali ya wajasiriamali pamoja na kiwanda cha Unga cha Energy Mills vyote vilivyopo katika mji wa Sumbawanga. “Mmejionea wenyewe, Katika Manispaa ya Sumbawanga suala la kwamba hakuna chakula ama kuna …

Read More »

VIDEO:NAIBU WAZIRI ANGELLINA MABULA ” IUNDWE KAMATI YA UCHUNGUZI JUU YA UPIMAJI WA VIWANJA KATIKA HALMASHURI MPYA YA PERAMIHO”

nOP

Naibu Waziri wa ardhi, nyumba na maendeleo ya makazi, DOKTA. ANGELLINA MABULA , ameagiza kuundwa kwa kamati ya uchunguzi wa viwanja vinavyopimwa katika halmashauri mpya ya peramiho, iliyopo wilaya ya songea mkoani mkoani Ruvuma, baada ya kuonekana kuwepo na ujanjaujanja katika upimaji huo ikiwemo kufanya uchunguzi wa utunzaji wa kumbukumbu …

Read More »