Tuesday , February 21 2017

Home / Uncategorized

Uncategorized

PROF. MBARAWA AKAGUA UJENZI FLY OVER YA TAZARA.

OPA

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (Kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mkandarasi wa kampuni ya Sumitomo Mitsui Eng. K Tsuji, anayejenga barabara ya juu (TAZARA fly over) wakati alipokagua maendeleo ya ujenzi huo jijini Dar es salaam. Mkandarasi wa kampuni ya Sumitomo Mitsui Eng. Mitsui Eng. …

Read More »

WADAU WATAKIWA KUENDELEZA NA KUDUMISHA UTAMADUNI

WAU9

Balozi wa Jamhuri ya Kiislam ya Watu wa Iran nchini Tanzania Mhe. Mussa Far’hanqi (katikati) akishirikiana na Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Bw. Petro Ryatuu kukata utepe kuashiria uzinduzi wa maadhimisho ya wiki ya Utamaduni wa Washirazi katika Ukumbi wa Makumbusho ya Taifa na Nyumba …

Read More »