Tuesday , December 12 2017

Blog Layout

MRADI MKUBWA WA KUSOMA BILA MWALIMU KWA KUTUMIA TABLETI WAZINDULIWA MUHEZA

unnamed

Mradi wa majaribio wa miezi 15 wa watoto waliokosa shule, kujifunza wenyewe kwa kutumia teknolojia ya kisasa inayotumia tableti umezinduliwa mkoani Tanga. Mradi huo uliozinduliwa katika kijiji cha Zenith ya Kati, wilayani Muheza ni sehemu ya mradi mkubwa wa miaka mitano wa majaribio duniani chini ya Global Learning Xprize wenye …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA VIWANDA AFANYA ZIARA KATIKA VIWANJA VYA MWALIMU NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM

DSC_0331

Naibu waziri wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Atembelea maonesho ya pili ya Viwanda vya Tanzania na kujionea uzalishaji wa bidhaa mbalimbali za viwanda vya Tanzania. …………………………………………………………………………… Pia mhe waziri amehudhuria mkutano wa wafanyabiashara wa Viwanda vya nchini ulikojadili changamoto mbalimbali za uwekezaji na ufanyaji biashara nchini na kuwahakikishia …

Read More »

Z’BAR HEROES USO KWA USO NA UGANDA NUSU FAINALI YA CECAFA ‘VIBONDE KILI STARS ‘ALWAYS NEXT TIME’

zanzibar heroes

Na Mwandishi Wetu, MACHAKOS ZANZIBAR itakutana na mabingwa watetezi, Uganda katika mchezo wa Nusu Fainali ya Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge inayoendelea nchini Kenya, Desemba 15, mwaka huu. Hiyo itakuwa Nusu Fainali ya pili, baada ya Nusu Fainali ya kwanza kati ya wenyeji, Kenya dhidi …

Read More »

Bei Mpya Ya Mafuta Kwa Mwezi Wa Disemba

2017-12-11 15.36.40

Kaimu Mkurugenzi masuala ya wateja wa Mamlaka ya udhibitiwa huduma wa nishati na maji(ZURA) Mussa Ramadhani Haji  akizungumza na waandishi wa habari huko ofisini Maisara Zanzibar. Picha na Kijakazi Abdalla Maelezo Zanzibar. …………. Na Mwashungi Tahir                            MAMLAKA ya udhibiti wa huduma za nishati na maji( ZURA )  imetoa taarifa juu …

Read More »

NSSF YASHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA DAR

N

Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto), akizungumza na baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea katika viwanja vya Saba saba jijini Dar es Salaam. Afisa Masoko wa Nssf Riziki Kibwasali (kushoto),akiwaonyesha fomu baadhi ya wateja waliotembelea banda lao wakati wa maonyesho ya viwanda yanayoendelea …

Read More »

Ziara ya Waziri Ummy Zahanati ya Mhandu na Segese wilayani Msalala

7

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia ,Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu kushoto akimkabidhi kitambulisho cha matibabu bila ya malipo mmoja wa wazee wa kijiji cha Segese Bibi. Shija Petro (60) kulia  wakati wa ziara yake katika Halmashauri ya Msalala wilayani Kahama leo ili kuangalia utekelezaji wa mpango wa  malipo wa …

Read More »

TUNAZO RASILIMALI NYINGI LAKINI BADO KUNA HALMASHAURI ZINALALAMIKA HAKUNA MAPATO; DKT NCHIMBI

1.

Mkuu wa Mkoa wa Singida Dkt Rehema Nchimbi mapema leo akifungua mafunzo ya kutambua fursa na vikwazo kwa ajili ya kupanga miradi ya maendelo kwa jamii yaliyoandaliwa na ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (OR-TAMISEMI) kwa watendaji wa halmashauri zote za mkoa wa Singida, kulia kwake …

Read More »