Friday , January 18 2019

Home / 2016 / November

Monthly Archives: November 2016

WATUMISHI OFISI YA MSAJILI WA VYAMA VYA SIASA WAPIGWA MSASA

picha-1uuuuuuuuuuuuuuuuuuu

  Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena akitoa mada.    Mshauri Mwelekezi wa Masuala ya Jinsia kutoka “Women Fund” Profesa Ruth Meena (kulia), akiwasilisha mada juu ya jinsi ya kuingiza masuala ya jinsia katika mpango kazi wa taasisi wakati wa kikao kazi cha watumishi …

Read More »

FA YAMTANGAZA GARETH SOUTHGATE KUWA KOCHA MKUU WA ENGLAND

gareth-southgate-england-u21s-under-21s-u21-press-conference_3373168

Gareth Southgate amechaguliwa rasmi kuwa kocha mkuu  wa  timu ya Taifa ya England kwa kumpa mkataba wa mika minne aliosaini. Southgate mwenye umri wa miaka 46 aliwacha wadhfa wake kama mkufunzi wa timu ya England ya vijana wasiozidi miaka 21 mnamo mwezi Septemba baada ya aliyekuwa meneja wa Uingereza Sam …

Read More »

MUUZA MITUMBA SOKO LA KARUME JIJINI DAR ES SALAAM AFUTIWA LESENI YA BIASHARA KWA KUMDHALILISHA MTEJA WAKE WA KIKE

2

   Diwani wa kata ya Mchikichini, Joseph Ngowa (katikati), akihutubia wakati akizindua kampeni ya siku 16 ya kupinga ukatili wa kijinsia iliyoandaliwa na Shirika la Eguality for Growth (EfG), Dar es Salaam leo asubuhi.Kushoto ni Mwenyekiti wa Wafanyabiashara Wanawake katika Soko la Mchikichini, Betty Mtewele na kulia ni Ofisa Mtendaji …

Read More »

KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NA MKURUGENZI TBA WAKAGUA MAENEO YATAKAYOJENGWA NYUMBA ZA ASKARI WA JESHI LA MAGEREZA JIJINI DAR

kami1

Kamishna Jenerali wa Magereza – CGP. John Casmir Minja(katikati) akiwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Majengo, Bw. Elius Mwakalinga wakiangalia moja ya eneo la Gereza Segerea ambalo litajengwa nyumba za kuishi za Maafisa na askari wa Jeshi hilo(kushoto) ni Mkuu wa Gereza Kuu Segerea, ACP.  Godfrey Kavishe akiwaonesha eneo …

Read More »

JUMA KASEJA RASMI ASAINI MKATABA NA KAGERA SUGAR.

kasejaggggggggggggggggggg

Na.Alex Mathias. Klabu ya Kagera Sugar ya mkoani Kagera imetangaza rasmi kuingia mkataba na mlinda mlango wa zamani wa Simba,Yanga na Mbeya City,Juma Kaseka pamoja na mlinzi wa kati Mohamed Faki. Akizungumza kwa njia ya simu Meneja wa timu hiyo Mohamed Hussein,amesema kuwa mapendekezo ya kocha Mexime yalikuwa sehemu tatu …

Read More »

How to Turn Into A University Admissions Officer

In case you’re the type of pupils who can not spare adequate time for his or her endeavors we’re here to allow you to finish your law papers. The procedure is around thinking by what the law states. It I requirement that each student who’s researching regulation should make certain …

Read More »

UNESCO-TANZANIA YAWAJENGEA UWEZO MAAFISA KUTOKAWIZARA YA HABARI, UTAMADUNI, SANAA NA MICHEZO KATIKA KUTEKELEZA MPANGO MKAKATI WA WIZARA MAWAKA 2016/2017

df

 Mkuu wa Shirika la Umoja wa Mataifa la Elimu, Sayansi na Utamaduni, (UNESCO), nchini Tanzania, Bi. Zulmira Rodrigueas, (kulia), akiendesah semina ya mafunzo ya siku tatu kujenga uwezo kwa maafisa wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, makao makuu ya UNESCO, Oysterbay jijini Dares Salaam, leo Novemba 30, 2016. …

Read More »

MAADHIMISHO YA SIKU YA WALEMAVU KITAIFA YAFUTWA

index

Maadhimisho ya siku ya watu wenye ulemavu duniani, ambayo kitaifa yalitarajiwa kufanyika jijini Dar es salaam,Desemba 3, mwaka huu yameahirishwa na badala yake kila mkoa utaadhimisha kivyake. Akitoa tamko la kuharishwa kwa maadhimisho hayo, Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(Tamisemi), George Simbachawene amesema …

Read More »

MEYA WA JIJI LA ARUSHA AZINDUA KAMPUNI YA MASOKO YA KISMATY ADVERT MEDIA

kism

 Mkurugenzi wa Kismaty Advert Media Company Ltd, Bi. Mary Emmanuel Mollel akizungumza Machache katika uzinduzi wa kampuni ya Matangazo ya Kismaty Advert Media katika ukumbi wa Asili Resort jijini Arusha, Novemba 25 ,2016. Mkurugenzi wa Kismarty Advert Media Company Ltd Mary Emmanuel ,akisalimiana na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo …

Read More »

SIMBA YASHUSHA KIPA MPYA TOKA MEDEAMA FC YA GHANA.

agy

Baada ya taarifa kuenea kuwa Simba inataka kusajili golikipa toka Ghana hatimaye ametua rasmi kwa ajili ya kujiunga na kikosi cha Kocha Joseph Omog. Kipa huyu Daniel Agyei alikuwa anakitumikia kikosi cha Medeama FC ambayo ilicheza na Yanga katika michuano ya Kombe la shirikisho barani Afrika. Mara baada ya kuwasili …

Read More »

WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUAGA MWILI WA MZEE XAVERY PINDA

jky12

Rais wa Awamu ya Nne, Jakaya Kikwete akizungumza wakati aliposhiriki katika kuaga mwili wa Marehemu Xavery Mizengo Pinda ambaye ni baba mzazi wa Waziri Mkuu Mstaafu Mizengo Pinda, kijijini Zuzu kwenye Manispaa ya Dodoma Novemba 30, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Mstaafu, Mizengo Pinda akizungumza wakati …

Read More »

KVZ HALI NGUMU LIGI KUU YA ZANZIBAR,YALALA 1-0 TOKA KWA CHUONI.

kvzzz

Na.Alex Mathias. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Zanzibar timu ya KVZ imepokea kichapo cha goli 1-0 kutoka kwa Chuoni FC mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Amani Karume visiwani Zanzibar na kuendelea kufanya vibaya msimu huu. Akizungumza baada ya mchezo kumalizika kocha mkuu wa klabu hiyo Abdulghani Msoma,amesema kuwa msimu …

Read More »

Shule ya msingi Bagamoyo yanufaika na msaada wa umeme wa jua wa Mobisol

sol3

Wanafunzi wakiwa katika picha ya pamoja na wafanyakazi wa Mobisol katika hafla hiyo Wanafunzi wakishangilia kupata  nishati ya umeme Wanafunzi wakipatiwa maelezo ya kutunza vifaavya umeme ambavyo vimetolewa na Mobisol Tanzania ………………………………………………………………………… Kaya 65,000 tayari zimeunganishwa kanda ya Afrika Mashariki   Kampuni ya kimataifa ya kusambaza umeme wa jua na …

Read More »

TPDC YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOENEZWA NA KAMPUNI YA DANGOTE.

dabg

 Kaimu Mkurugenzi Shirika la Maendeleo ya Petroli  Nchini(TPDC) Mhandisi Kapulya Musomba akizungumza na waandishi wa habari kukanushaTaarifa zinazoenezwa na kampuni ya Dangote pamoja na washirika wake kupitia mitandao ya Kijamii na vyombo vya Habari kuhusu kushindwa kukiuzia gesi asilia kwa bei rahisi kiwanda hicho.Kulia kwake ni Kaimu Kamishana wa Madini …

Read More »

MRISHO NGASSA ASAINI MBEYA CITY,AIKIMBIA FANJA FC YA OMAN

ngassa-mbeya-city

Picha imezangaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha mshambuliaji Mrisho Ngasa akiwa na msemaji wa klabu ya Mbeya City kuwa tayari wameingia naye mkataba wa kuwatumikia vijana wa Phiri wa jiji la Mbeya. Mwezi Septemba mwaka huu Ngasa alijiunga na Fanja FC inayoshiriki ligi kuu nchini Oman (Oman Professional League) ikiwa ni …

Read More »

MD KAYOMBO AFANIKISHA MRADI SHULE YA MATOSA

kayombo

 Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo Mkurugenzi wa Manispaa ya Ubungo Ndg John Lipesi Kayombo amepongezwa na walimu pamoja na wanafunzi wa shule ya sekondari Matosa iliyopo Kata ya Goba , Manispaa ya Ubungo kwa kufanikisha kwa kiasi kikubwa utekelezaji wa mradi wa SEDP II. Mradi huo …

Read More »

MWILI WA RPC SINGIDA KUAGWA LEO MUHIMBILI

kakamba

JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA              WIZARA YA MAMBO YA NDANI                 JESHI LA POLISI TANZANIA Anuani ya Simu “MKUUPOLISI”                                                                                                                                                                                                                                                                                                                                               Ofisi ya  Inspekta  Jenerali wa Polisi, Simu : (022) 2110734                                                                                             Makao Makuu ya Polisi, Fax Na. (022) 2135556                                                                                                          S.L.P. 9141, Unapojibu tafadhali taja:                                                                                      DAR ES SALAAM. …

Read More »