Wednesday , January 16 2019

Home / 2016 / December / 01

Daily Archives: December 1, 2016

WANAWAKE WAONGOZA KUWA NA VVU NCHINI

wwnawa

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Jenista Mhagama akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) leo Jijini Dar es Salaam kuhusu siku ya UKIMWI Duniani, kushoto ni Katibu Mkuu wa Ofisi hiyo, Dr. Hamis Mwinyimvua. Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti UKIMWI Tanzania (TACAIDS), Dr. Leonard Maboko akifafanua juu …

Read More »

SH. BILIONI 40 ZIMEPELEKWA WIZARA YA AFYA KWA AJILI YA UNUNUZI WA DAWA NA VIFAA TIBA – MAJALIWA

babati-3

  Desemba Mosi, 2016                                                           TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia sasa, Serikali imekwishaipatia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto sh. bilioni 40 kwa ajili ya ununuzi wa dawa na vifaa tiba. Amesema hatua hiyo inalenga kupunguza …

Read More »

VIWANDA VYA UZALISHAJI VYATENGENEZA AJIRA 16000

picc

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Mhe. Charles Mwijage  akiongea na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusu ongezeko la wawekezaji nchini katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Serikali ya Awamu ya Tano. ……………………………………..              Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO.   JUMLA ya ajira 16,671 zimetengenezwa …

Read More »

MAJALIWA AWASILI ARUSHA

arusha

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo (katikati) na Katibu Tawala wa Mkoa huo, Richard Kwitega baada ya kuwasili jijini Arusha kuanza ziara ya kazi mkoani humo Desemba1, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Longido, Daniel Chongolo baada ya …

Read More »

TBL yazindua muonekano mpya wa Chibuku Super

chub6

Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya TBL wakionyesha kwa waandishi wa habari chupa mpya ya Chibuku Super ya Ml 500 wakati wa hfla fupi ya uzinduzi  iliyofanyika jijini Mwanza leo Wafanyakazi wa kampuni ya bia ya TBL wakijipongeza, wakati wa hafla ya kuitambulisha chupa mpya ya Chibuku Super ya Ml …

Read More »

NICOL KUENDELEZA UWEKEZAJI WA HISA NCHINI.

nicol1

Mwenyekiti wa kampuni ya Uwekezaji wa  Taifa (NICOl) Bw. Gideon Kaunda  kulia akisisitiza jambo mbele ya waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa mkutano na waandishi wa habari uliofanyika jijini Dar es salaam mara baada ya kupata uongozi mpya wa kampuni hiyo ulioteuliwa rasmi hivi karibuni na bodi ya NICOL …

Read More »

Majaribio ya wazi Azam FC Jumamosi Mkoani Kigoma

kigoma

Category:  Youth Team Team:  Azam B KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, itakuwa mkoani Kigoma wikiendi hii Jumamosi (Desemba 3, 2016) kusaka vipaji vya vijana wenye umri chini ya miaka 17 (U-17). Huo ni mwendelezo wa mpango wa Kitaifa wa timu hiyo wa kutengeneza kikosi imara cha …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

index

TAREHE 30.11.2016 MAJIRA YA SAA 15:00HRS KATIKA MGAHAWA UITWAO DINNERS ULIOPO BARABARA YA KENYATTA KATA NA WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, WATU WAWILI WALIOJULIKANA KWA MAJINA YA 1.BAGWANI DAKANTE, MIAKA 40, MWENYE ASILI YA ASIA, MHINDI, NA MPISHI WA MGAHAWA WA DINNERS ALIJERUHIWA NA RISASI KWENYE BEGA …

Read More »

Serikali yapongwezwa kwa Mafanikio kuelekea miaka 55 ya Uhuru

index

Frank Mvungi-Maelezo Kuelekea Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara Serikali imepongezwa kwa Mafanikio yaliyofikiwa katika kipindi chote tangu awamu ya kwanza hadi awamu ya tano inayoongozwa na Rais Dkt. John Pombe Magufuli. Kauli hiyo imetolewa na Mkuu wa Wilaya ya Longido Mhe. Daniel Chongolo wakati wa mahojiano maalum kuhusu …

Read More »

NAIBU INSPEKTA JENERALI WA POLISI ABDULRAHMANI KANIKI AFUNGA MAFUNZO YA KATIKA CHUO CHA MAAFISA WA POLISI KIDATU.

kani3

Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi ,  Abdulrahmani Kaniki akipokewa  na Kamishina wa Polisi operesheni na mafunzo,   Nsato Marijani  alipoenda  kufunga mafunzo ya upelelezi kwa  askari polisi  wa kinondoni  katika chuo cha  maafisa wa polisi kidatu mkoani Morogoro ( Picha na Tamimu Adam- Jeshi la POLISI) Naibu Inspekta Jenerali wa Polisi …

Read More »

VIJIJI 26 JIMBO LA CHALINZE VYATESEKA NA JANGA LA NJAA

dib2

Madiwani  wa halmashauri ya Chalinze, wakiwa katika kikao kilichojadili  tatizo la njaa katika baadhi ya maeneo Chalinze, wakati wa baraza la madiwani wa halmashauri hiyo. (Picha na Mwamvua Mwinyi) Mwenyekiti wa halmashauri ya Chalinze, Saidi Zikatimu, akitolea ufafanuzi tatizo la njaa katika baadhi ya maeneo Chalinze, wakati wa baraza la …

Read More »

JAJI MKUSA AAPISHWA LEO

judg1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akimuapisha Mhe,Jaji Mkusa Issac Sepetu kuwa kaimu Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ikulu Mjini Unguja,[Picha na Ikulu.] 01/12/2016. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  akimkabidhi hati ya kiapo Mhe,Jaji Mkusa …

Read More »

SIMBACHAWENE AWATAKA WATUMISHI KUFANYA KAZI KWA UADILIFU

siwe2

Katibu Mkuu Ofisi ya Rais TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe akifafanua jambo kuhusu utekelezaji wa maagizo ya Viongozi wa juu na kuwatumikia wananchi kwa kupunguza changamoto zilizo katika Mamlaka za Serikali za Mitaa, mara baada ya Waziri wa Nchi kushoto kwake George Simbachawene  kutoa hotuba yake kwa Baraza la Wafanyakazi lililofanyika …

Read More »