Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 02

Daily Archives: December 2, 2016

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUTOKA WAMA FOUNDATION

index

Katika gazeti la Raia Mwema toleo No 486 la Tarehe 30 Novemba, 2016 kumeandikwa habari yenye kichwa kilichosomeka “Mali za Salma Kikwete kuuzwa kwa mnada?”.  Katika habari hiyo kumetolewa madai ati kwamba taasisi ya WAMA inayoongozwa na Mheshimiwa Mama Salma Kikwete inao mzigo mkubwa bandarini ambao haujalipiwa ushuru na kodi. …

Read More »

How to Compose an Academic Dissertation

Many companies offer you the very first part of An Example essay. Best high quality businesses don’t typically offer you a complete Sample essay. Sometimes though, merely some of An Example article might help you. In cases in this way, it actually is good to apply a part of the …

Read More »

ENG.NGONYANI AWATAKA DMI KUBUNI VYANZO VYA MAPATO.

kok

Mmoja wa Wakufunzi wa Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) akimwonyesha Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani, moja ya vifaa vinavyotumiwa na abiria wakati meli inapozama wakati Naibu Waziri huyo alipohudhuria mahafali ya 12 ya chuo hicho, jijini Dar es Salaam. Mhandisi wa Meli kutoka …

Read More »

CHAMA CHA TBN CHATOA SHUKURANI KWA BENKI YA NMB KWA KUKUBALI KUWA MDHAMINI WA MKUTANO WAO.

nbc

  Ndugu Mwakilishi kutoka Benki ya NMB, Kwa niaba ya Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini ‘Tanzania Bloggers Network’ (TBN) napenda kuwashukuru kwa kujitokeza katika mkutano huu muhimu. TBN inajua kuwa mnamajukumu mengi ya kuujuza umma masuala anuai, lakini mmechagua kuja kwetu ili kutusikiliza tulichowaitia na baadae tunaamini …

Read More »

CHUO CHA ARDHI CHATOA ZAWADI KWA WANAFUNZI 104 WALIOFAULU.

ardhi

Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Ardhi, Prof. Idrissa Mshoro (katikati kulia) akiteta jambo na Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa Chuo hicho (Taaluma), Prof. Gabriel Kassenga(katikati kushoto), pembeni kulia ni Kaimu Naibu Makamu Mkuu wa chuo hicho (Mipango, Fedha na Utawala),Prof. Robert Kiunsi, pembeni kushoto ni Maafisa Waandamizi wa chuo hicho. …

Read More »

MAJALIWA AKUTANA NA WAFANYABIASHARA WA ARUSHA

waf

Baadhi ya wafanyabiashara wa Arusha wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye Ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha, Desemba  2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyabiashara wa Arusha kwenye Kituo cha Mikutano cha Arusha (AICC) …

Read More »

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WALIMU WA ARUSHA

wali

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Walimu wa Arusha kwenye    ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) Desemba 2, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Walimu wa Arusha jana walifurika kwenye ukumbi wa Simba katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha (AICC) …

Read More »

AZAM SPONSOR FEDERATION CUP KUENDELEA KESHO DES. 3, 2016

asfc

RAUNDI ya Tatu ya michuano ya Kombe la Shirikisho la Azam 2016 (Azam Sports Federation Cup 2016) inatarajiwa kuendelea kesho Desemba 3, 2016 kwa michezo minne itakayokutanisha timu nane zilizofanya vema raundi ya kwanza na pili. Michezo ya kesho ambayo itakuwa mubashara (live),  kupitia chaneli mbalimbali za Kituo cha Televisheni …

Read More »

WATANZANIA WATAKIWA KUSHIKAMANA NA KUIPENDA NCHI YAO

ft

Na. Jovina Bujulu – Maelezo   WATANZANIA wametakiwa kushikamana, kupendana na kulinda rasilimali zao kwani wao ndio wenye mamlaka ya kuendesha nchi yao.   Wito huo umetolewa leo jijini Dar es slaam na Mhadhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Idara ya Sayansi na Siasa Dkt. Bashiru Ally  wakati …

Read More »

TOENI LESENI ZA MAFUTA, GESI KWA WAKATI- PROF. MUHONGO

chuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Greyson Mwase na Daudi Manongi, Dar es Salaam Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amewataka wataalam kutoka  Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC)  kutoa leseni kwa wakati kwa makampuni  yanayojihusisha na shughuli za utafiti na uchimbaji wa  gesi na mafuta nchini. Profesa Muhongo aliyasema hayo jijini Dar …

Read More »

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA UMMA ARUSHA

maj

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza  na watumishi wa serikali na halmashauri wa mkoa wa Arusha kwenye ukumbi wa Simba wa Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Arusha, Desemba 2, 2016    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea  taarifa ya mkoa wa Arusha kutoka kwa Mkuu wa Mkoa huo, Mrisho Gambo baada …

Read More »

SERIKALI YAINGIA MKATABA NA YANGA

pptttttttt

Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Prof. Elisante Ole Gabriel (katikati) akisaini Mkataba kwa niaba ya Serikali na Klabu ya Yanga ya jijini Dar es salaam ambayo iliwakilishwa na Kaimu Katibu Mkuu wa Klabu hiyo Baraka Deusdedit (kulia) leo jijini Dar es salaam. Mkataba huo unahusu Klabu …

Read More »

RC Aruhusu mjane kujenga eneo ambalo polisi wamemzuia

janeeeeeeeeeeeeee

Badhi ya watumishi wa halmashauri ya Mji Makambako wakimsikiliza mkuu wa mkoa alipo fika katika Halmashauri yao kujia shina ma matatizo yao (Picha Hapo Chini)     Mkuu wa mkoa wa njombe Dr Rehema Nchimbi Akizungumza na wafanyakazi wa halmashauri ya Makambako (Picha Hapo Juu)   SERIKALI mkoani Njombe imetoa …

Read More »