Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 03

Daily Archives: December 3, 2016

WATUMISHI WATAKAOBAINIKA KULA FEDHA ZA MIRADI KUTIMULIWA

chapaaa

  Na Mahmoud Ahmad Arusha SERIKALI imsisitiza kuwa haitasita kuwatimua watumishi watakaobainika kula feha za miradi ya maendeleo na kukwamisha isikamilike kwa kuwa dhamira ya serikali ni kuwatumikia wananchi wote bila kujali itikadi katika kuboresha maisha yao. Waziri mkuu ,Kassim Majaliwa, ameyasema hayo Desemba 2   jijini Arusha, alipokuwa akihutubia mkutano …

Read More »

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA ARUSHA

koni-1

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyesha mkuki na ngao alivyopewa na wazee wa kimasai wa Arusha kabla ya kuhutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha Desemba 3, 2016. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa …

Read More »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA ATEMBELEA VIWANDA ARUSHA

6

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kiwanda cha unga cha MONABAN cha Arusha wakati alipokitembelea  Desemba 3, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua kiwanda cha Lodhia Plastic Industries Limited kabala ya kukitembelea kiwanda hicho Desemba 3, 2016.   Kulia ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho  Gambo na …

Read More »

Wafanyakazi wa TBL Group walivyoadhimisha siku ya UKIMWI

vio9

Wafanyakazi wa TBL Group kutoka mikoa ya Dar es Salaam,Mbeya,Arusha,Mwanza na Moshi wemeadhimisha Siku ya Ukimwi Duniani kwa kutekeleza Programu ya afya za wafanyakazi  ya kampuni ijulikanayo kama AFYA KWANZA. Katika kutekeleza program hii wafanyakazi waliweza kupima afya zao na kupata ushauri nasaha wa kukabiliana na maradhi mbalimbali,masuala ya lishe …

Read More »

MAJALIWA AWATAKA WAHANDISI WASHAURI KUTOTUMIA VIBAYA DHAMANA WALIZOPEWA

jil

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wahandisi Washauri nchini kutotumia vibaya vyeo na dhamana walizonazo kwa kuwalazimisha wakandarasi kununua bidhaa sehemu wanazotaka wao na badala yake wawashauri kununua bidhaa bora. Pia amewataka watendaji wa Wizara ya Maji na Umwagiliaji, Wakurugenzi wa Halmashauri na Majiji nchini pamoja na Wahandisi Washauri kutumia mabomba …

Read More »

RAIS DKT SHEIN AZINDUA KONGAMANO LA WAJASIRIAMALI

3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akizindua Kongamano la Wajasiriamali  katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi la Zamani Mnazi Mmoja Mjini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi zawadi Meneja wa Tawi la DTB hapa …

Read More »

WATAKAOKWAMISHA MABORESHO YA SEKTA BINAFSI KUKIONA – MAJALIWA

majaliwagggggggggggggggggg

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali inahitaji ushirikiano mkubwa na wafanyabiashara, hivyo haitakubaliana na mtumishi yeyote wa umma atakayefanya urasimu kwa lengo la kukwamisha uboreshaji wa sekta binafsi. Amesema miongoni mwa maboresho yanayofanywa na Serikali katika sekta binafsi ni pamoja na kuimarisha utendaji wa watumishi na kuondoa urasimu katika utendajikazi …

Read More »

MJIENDELEZE MSIISHIE HAPO MLIPOFIKIA-MWAKYEMBE

luss

Waziri wa Mambo ya Katiba na Sheria Dkt Harrison Mwakyembe amewataka wahitimu wa astashada na stashada za Sheria wa Chuo cha Uongozi wa Mahakama Lushoto kujiendeleza zaidi kielimu ili waweze kwenda na wakati hasa ikizingatiwa kuwa dunia ya sasa inataka kujiendeleza kila siku vinginevyo wataachwa nyuma. Mhe. DKT Mwakyembe ametoa …

Read More »