Friday , March 22 2019

Home / 2016 / December / 04

Daily Archives: December 4, 2016

WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI UJENZI WA HOSPITALI YA WILAYA YA MONDULI

onqq

                          WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Arusha Bw. Mrisho Gambo kufanya uchunguzi na kumpelekea taarifa ya watendaji waliohusika katika ubadhirifu wa fedha za ujenzi wa mradi wa hospitali ya wilaya ya Monduli uliogharimu sh. bilioni 2.7. Ametoa agizo hilo leo (Jumapili, Desemba 4, 2016) wakati …

Read More »

SERIKALI YAJIPANGA KUREKEBISHA SERA NA SHERIA ZA KODI.

neno

Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu akisoma hotuba wakati wa uzinduzi wa mkutamo wa Chama cha Wasindikaji wa Vyakula nchini (TAFOPA) uliofanyika jana katika ukumbi wa Mwl. Nyerere uliopo Jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti wa Chama cha Wasindikaji wa Vyakula nchini (TAFOPA), Susan Laizer …

Read More »

MAJALIWA AZINDUA HOSPITALI YA WILAYA YA MONDULI

zidu-2

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizindua Hospitali ya wilaya ya Monduli  akiwa  katika ziara ya wilaya hiyo Desemba 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi kabla ya kuzindua hospitali ya wilaya ya Monduli akiwa katika ziara ya wilaya iyo, Desemba 4, 2016. (picha …

Read More »

MAJALIWA AITEMBELEA FAMILIA YA MAREHEMU SKOINE- MONDULI JUU

soko

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na  Napono Sokoine (wapili kulia) na  Nekiteto Sokoine (kulia) ambao ni  wajane wa aliyekuwa Waziri Mkuu, Marehemu Edward Sokoine wakati aipokwenda nyumbani kwa marehemu, Monduli Juu kuisalimia familia akiwa katika ziara ya wialaya ya Monduli Desemba 4, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri …

Read More »

RAIS SHEIN ATEMBELEA MAJENGO MAPYA YA ZIMAMOTO UWANJA WA NDEGE

zima

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akipata maelezo kutoka kwa Kamishana wa Kikoso cha Zima Moto Zanzibar Abdalla Malimosi wakati alipokuwa akiaangalia picha za magari mapya ya kikosi hicho yanayotarajiwa kuwasili hivi karibuni,wakati alipotembelea ujenzi wa majengo mapya ya kikkosi hicho leo huko …

Read More »

ZAMALEK YANG’ARA NYUMBANI,MCHEZO WA LIGI YA MISRI.

zamalek_vs_el_daklyeh

Na.Alex Mathias. Wanyonge wa Mamelodi Sundowns kwenye michuano ya Ligi ya Mabingwa barani Ulaya timu ya Zamalek wameng’ara kwenye uwanja wao wa nyumbani baada ya kuwafunga magoli 3-0 wageni El Daklyeh mchezo wa Ligi Kuu ya Misri huku mahasimu wao wakubwa Al-Ahly Leo watakuwa ugenini. Zamalek wakicheza kwa kujiamini huku …

Read More »

BADILISHENI UONGOZI WA KITUO CHA AFYA LEVOSLOSI -MAJALIWA

rg1a5833

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemwagiza Mganga Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Dk. Frida Mokiti  kubadilisha uongozi wa  Kituo cha afya cha Levolosi baada ya kulalamikiwa na wananchi kuwa kinatoa huduma mbovu kwa wagonjwa hususan ni kwa wajawazito. Pia amewataka wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kujenga hospitali za wilaya ili kupunguza …

Read More »

MAHAFALI YA SKULI YA FEZA ZANZIBAR YAFANYIKA

fea8

Wahitimu wa Kidato cha Nne katika Skuli ya Feza Zanzibar (Private) ya Chukwani Wilaya ya Magharibi Unguja wakiwa katika mahfali wanafunzi wa Kidato cha 4,6 na 7 iliyofanyika juzi,ambapo mgeni rasmi alikuwa Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Mhe,Riziki Pembe Juma, Wanafunzi wa Darasa la Sita na Saba katika Skuli …

Read More »

MKUTANO MKUU WA SIKU MBILI WA CHAMA CHA TANZANIA BLOGGERS NETWORK (TBN) KUANZA KESHO JIJINI DAR ES SALAAM.

unnamed-1

  Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO), Dk. Hassan Abbas. …………………………………………………………………………. Chama cha Wamiliki/Waendeshaji wa Mitandao ya Kijamii nchini ‘Tanzania Bloggers Network’ (TBN) kilichosajiliwa rasmi na Serikali kupitia Wizara ya Mambo ya Ndani, mwezi Aprili, 2015 na kupewa namba ya usajili, S. A 20008.  Kinapenda kuwataarifu kuwa kinatarajia kuanza mkutano …

Read More »

TBL YATUNUKIWA TUZO YA KIMATAIFA YA MWAJIRI BORA NCHINI

2

Wafanyakazi wa TBL Group wakimsikiliza kwa makini Meneja wa kanda ya afrika wa taasisi ya Top Employers Instututes, Billy Elliott   wakati wa hafla iliyofanyika jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Mkurugenzi wa Rasilimali watu wa TBL Group ,David Magese akikabidhiwa  tuzo ya Top Employer Tanzania 2017 na  Top Employers …

Read More »

RAIS DKT SHEIN ATEMBELEA KIJIJI CHA MKONJONI KASKAZI UNGUJA

1

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Viongozi alipowasili katika kijiji cha Mkonjoni Wilaya ya Kaskazini B Unguja kuangalia ujenzi wa Skuli ya Sekondari Kijijini hapo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akipata maelezo kutoka kwa Naibu …

Read More »

WAZIRI MKUU AHOJI SABABU ZA KUTOTUMIKA KWA MBOLEA YA MINJINGU

majaliwagggggggggggggggggg

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Charles Tizeba kufanya uchunguzi kwa nini mbolea ya minjingu inayozalishwa nchini haitumiki na badala yake inaagizwa mbolea kutoka nje ya nchi. Ametoa agizo hilo jana (Jumamosi, Desemba 3, 2016) wakati alipotembelea kiwanda cha Fibre Board 2000 Limited ambacho kinatengeneza …

Read More »

MANGULA ASAINI KITABU CHA MAOMBOLEZO KIFO CHA FIDEL CASTRO LEO

fidel

 Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akisaini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Rais Mstaafu wa Cuba, Fidel Castro, nyumbani kwa Balozi wa Chuba hapa nchini, Jorge Luis Lopez Tormo (aliyesimama), Mtaa wa Alli Bin Said, Oysterbay jijini Dar es Salaam.  Makamu Mwenyekiti wa CCM-Bara, Philip Mangula akimpa pole  Balozi …

Read More »

MAJALIWA AKABIDHI PIKIPIKI KWA VIJANA WA BODABODA ARUSHA

4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wakati alipoingia kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid Arusha kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 3, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua kiwanja chenye mgogoro karibuna  na soko la Kilombero Arusha ambacho alitangaza katika mkutano wa hadhara kwenye uwanja …

Read More »