Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 05

Daily Archives: December 5, 2016

MHANDISI DKT.NDUNGURU, ATAMANI MOROGORO YA ZAMANI

nyekundu

Na. Andrew Chimesela – Morogoro Katibu Tawala wa Mkoa wa Morogoro Mhandisi Dr. John Ndunguru amesema Mkoa wa Morogoro umebarikiwa kuwa ni kitovu cha wanamichezo  na kutaka hali hiyo kurejeshwa kwa kuwa Morogoro sasa ni  Mkoa  ambao uko salama. Dkt. Ndunguru ametoa wito huo mwishoni mwa wiki akimwakilishi Mkuu wa …

Read More »

MAJALIWA AKIONDOKA KWENYE ENEO LA MKUTANO ALIOUHUTUBIA KARATU

kibegs

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Karatu baada ya kuwahutubia kwenye uwanja wa Mazingira  Bora katika  mji Mdogo wa Karatu akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha Desemba 5, 2016.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiondoka kwenye uwanja wa Mazingira Bora baada ya kuhutubia mkutano …

Read More »

DAS ILALA EDWARD MPOGOLO AZINDUA KAMPENI KUPINGA UKATILI

pooooooooooooooooooooooooooollllllllllll

Bango liliandaliwa kwa ajili ya Maadhimisho hayo Katibu Tawala wa wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo akiwasili kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mwembeni, Vngunguti kwenye uzinduzi wa Maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa Jinsia na watoto kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Mwwembeni, wilayani humo mkoani Dar es …

Read More »

DAR YASHIKA NAFASI YA 6 BARANI AFRIKA KWA MAAMBUKIZI YA UKIMWI

fafa

Afisa wa Shirika la Mpango wa UKIMWI la Umoja wa Mataifa – Tanzania (UNAIDS), Fredrick Macha. ………………………..                      Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Mbali na jitihada za makusudi za Serikali na wadau wa mapambano dhidi ya UKIMWI nchini bado hali siyo ya kuridhisha ambapo Jiji la Dar es Salaam linashika …

Read More »

PAMPU ZILIZOKO NDANI YA MITA 500 KUTOKA KWENYE CHANZO CHA MAJI CHA QANGDED ZIWE ZIMEONDOLEWA IFIKAPO SAA 12.00 JIONI YA LEO-MAJALIWA

dssssssssssss

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya Karatu Bi. Theresia Mahongo kuhakikisha mashine zote za kupampu maji zilizoko ndani ya mita 500 kutoka kwenye chanzo cha maji cha Qangded ziwe zimeondolewa ifikapo saa 12.00 jioni ya leo na atakayekaidi atachukuliwe hatua za kisheria. Amesema kitendo cha kuweka mashine …

Read More »

ZIARA YA MAJALIWA KARATU

tish

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimtwisha ndoo ya maji Mwalimu Frida Shayo baada ya kuzindua mradi wa maji  katika kijiji cha Jobag wilayani Karatu Desemba 5, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. Mradi huo umejengwa na Shirika la Worl Vision.(Picha na Ofisiya WaziriMkuu)    Waziri Mkuu, Kassim …

Read More »

SERIKALI YAITAMBUA RASMI MITANDAO YA KIJAMII (BLOGGERS)

1

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji wa Serikali Dk. Hassan Abbas (kulia), akihutubia wakati wakati akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Tanzania Bloggers Network (TBN), Dar es Salaam leo asubuhi. Kushoto ni Mwenyekiti wa muda wa TBN, Joachim Mushi. Meneja Mwandamizi wa Amana Huduma za Bima na Ziada wa …

Read More »

TAARIFA KWA UMMA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii

KWAMBA TAREHE 04.12.2016 MAJIRA YA SAA 00.02HRS USIKU KATIKA MTAA WA IGOGO TANESCO WILAYA YA NYAMAGANA JIJI NA MKOA WA MWANZA, MLINZI WA KAMPUNI YA ULINZI IITWAYO MAIKA ALIYEJULIKANA KWA JINA LA MICHAEL BONIPHACE @ UDILIKA MIAKA 38, MKAZI WA KISHILA – BUHONGWA ALIPORWA SILAHA AINA YA SHORT GUN YENYE …

Read More »

TBL Group yang’ara tuzo ya NBAA

tib2

Mameneja wa Vitengo cha Uhasibu wa TBL Group kutoka kushoto, Alois Qande  na Edward Peter wakifurahia tuzo ya ushindi. Mkurugenzi Mtendaji wa bodi ya Uhasibu na ukaguguzi wa mahesabu nchin (NBAA)  Pius Maneno akimpongeza mfanyakazi wa TBL Group Alois Qande mara baada ya kuibuka mshindi wa Tuzo ya utunzaji bora …

Read More »

AZAM FC YAOMBOLEZA KIFO CHA MCHEZAJI MBAO

mbao

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo asubuhi kabla ya kuanza rasmi mazoezi ya maandalizi ya mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) utakaoanza rasmi Desemba 17 mwaka huu, wachezaji na benchi la ufundi walisimama kwa dakika moja kuomboleza kifo cha mchezaji wa …

Read More »

SERIKALI YAHAKIKI WASTAAFU KUBORESHA MAFAO YAO

fg

Na Mahmoud Ahmad Arusha SERIKALI imesema inaendelea na mchakato wa kuboresha mafao ya wastaafu ili kuwawezesha kujikimu kimaisha mara baada ya kuachana na utumishi wa umma waweze kuboresha maisha yao. Hayo yameelezwa na Naibu katibu mkuu wizara ya fedha na mipango, Doroth Mwanyika, alipokuwa akizungumza na wastaafu  wanaendelea kuhakikiwa taarifa …

Read More »

MASHINDANO YA KUTUNISHA MISULI 2017 KUFANYIKA

misul2

Katibu Mkuu wa Chama cha Watunisha Misuli Nchini Bw. Francis Mapugilo (kushoto) akisisitiza jambo kwa waandishi wa habari (hawapo pichani) kuhusu mashindano ya kutafuta bingwa wa kutunisha misuli nchini Tanzania 2017 mapema hii leo jijini Dar es Salaam, katikati ni Mshauri wa Ufundi wa Chama hicho Bw. Fike Wilson na …

Read More »

MBUNGE RUFIJI ACHUKIZWA NA BAADHI YA WATENDAJI WA VIJIJI AMBAO NI MAFISADI NA WALA RUSHWA

mbug

Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mohamed Mchengerwa akiwawahutubia wananchi wa kijiji cha Chumbi Wilayani Rufiji Mkoa wa Pwani katika mkutano wa adhara wa kujadili changamoto zinazowakabili hususan migogoro ya ardhi.(PICHA ZOTE NA VICTOR  MASANGU) ……………………………………………………………………….. NA VICTOR MASANGU, RUFIJI IMEELEZWA kuwepo kwa sakata la kutokea kwa migogoro ya ardhi kila …

Read More »

WIZARA YA FEDHA NA MIPANGO YAPOKEA TUZO YA NBAA

kiy3

Mwenyekiti wa Bodi ya Wahasibu na Wakaguzi wa Hesabu (NBAA), Prof. Isaya Jairo akizungumza na Wahasibu kutoka Taasisi za umma na binafsi waliohudhuria katika hafla ya kutoa tuzo ya Taarifa bora ya Fedha kwa mwaka 2015, katika Kituo cha Taaluma ya Uhasibu (NBAA) kilichopo Bunju nje kidogo ya jiji la …

Read More »