Monday , January 21 2019

Home / 2016 / December / 06

Daily Archives: December 6, 2016

CHUO CHA SANAA BAGAMOYO HATARINI KUMEZWA NA BAHARI

baga

Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina Pamoja na ujumbe wake na Viongozi wa Taasisi ya Sanaa na Utamaduni Bagamoyo wakiangalia eneo la fukwe la chuo icho ilivyoliwa na bahari ikiwa ni athari zitokanano na mabadiliko ya tabia nchi. Mpina alitembelea taasisi hiyo leo. …

Read More »

WATANZANIA WASISITIZWA KUTUMIA MADINI JOTO.

koko

Naibu Waziri waOfisi ya RaisTawalazaMikoanaserikalizaMitaaBw.SuleimanJaffoaliyesimamaakiongeanawazalishajichumvikutokamikoambalimbali ya Tanzania hawapopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini Dar es salaamkatikatiniMkrugenziMsaidiziwamasuala ya Kinga Wizara ya afyaBw. VicentAssey. MkrugenziMsaidiziwamasuala ya Kinga Wizara ya afyaBw. VicentAsseyakiongeanawazalishajichumvikutokamikoambalimbali ya Tanzania hawapopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini Dar es salaamkuliaaliyekaaniMkrugenziwaMafunzowamaendeleo ya wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt. OtiliaGowelle. Wazalishajichumvikutokamikoambalimbali ya Tanzania wakimsikilizaMkrugenziwaMafunzowamaendeleo ya wataalamukutokaWizara ya AfyaDkt. OtiliaGowellehayupopichaniwakatiwamkutanomkuuwamwakawawazalishajichumviuliofanyikajijini Dar es salaam. Picha Na Ally …

Read More »

Balozi kutoka nchi za falme za kiarabu Akutana na Mh.Ummy Mwalimu

ummy

Mhe.Ummy Mwalimu,Waziri Afya Maendeleo ya jamii jinsia wazee na Watoto akiwa balozi Abdullah Al Suwaid kutoka muungano wa falme za kiarabu alipomtembelea ofisini kwake. Katika mazungumzo yao walijadiliana ushirikiano kati Serikali ya Tanzania na falme za kiarabu ambapo programs maalumu ya Madaktari kutoka falme za kiarabu kwa kushirikiana na madaktari …

Read More »

WAZIRI MKUU AKITEMBELEA MRADI WA UMWAGILIAJI KARATU

kijiiiiii

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea Mradi wa umwagiliaji katika kijiji cha Jobag wilaya ya Karau ,mradi uliojengwa kwa ufadhili wa shirika la Worl Vision,,wakwanza kulia ni Mkurugenzi wa Miradi katika shirika hilo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akitembelea Mradi wa umwagiliaji katika kijiji cha Jobag wilaya ya Karau ,mradi uliojengwa kwa …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA UONGOZI WA NCAA KUMPELEKEA NYARAKA ZA FARU JOHN IFIKAPO DESEMBA 8, 2016

yuuuuuuuuuuuuuuggggggggggggggggggg

                               WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameugiza uongozi wa Mamlaka ya Hifadhi ya  Ngorongoro (NCAA), kumpelekea nyaraka zote zilizotumika katika kumuhamisha faru maarufu kwa jina la John katika hifadhi hiyo ifikapo Desemba 8, 2016. Ametoa agizo hilo leo (Jumanne, Desemba 6, 2016) alipotembelea Ofisi za makao makuu ya NCAA, zilizoko wilayani …

Read More »

LUKUVI AFUTA HAKI MILIKI YA VIWANJA 15 VYA RAIA WA UINGEREZA

lukuviiiiiiiiiiiiiiiiii

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Makazi Mhe. William Lukuvi  amevifutia hatimiliki viwanja 15 vilivyokuwa vinamilikiwa na raia mmoja wa Uingereza ambapo serikali imevitaifisha viwanja hivyo vilivyopo katika mikoa ya kanda ya ziwa. Viwanja hivyo vilivyokuwa vinamilikiwa na Mfanyabiashara maarufu jijini hapa, Hermant  Patel, mwenye uraia wa Tanzania na Uingereza kitendo …

Read More »

NAPE AFUNGA MAFUNZO YA BLOGGERS TANZANIA.

k1

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na wamiliki wa Bloggers Tanzania kabla ya kufunga mafunzo kwa mablooger hao yaliyofanyika Jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi Mkuu wa PSPF Bw. Adam Mayingu akifafanua jambo kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN, KATIBU MKUU PAMOJA NA NAIBU WAZIRI WA TAMISEMI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

a1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwakaribisha Naibu Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo aliyeambatana na Katibu Mkuu wa TAMISEMI Mhandisi Mussa Iyombe  kabla ya kuanza kwa kikao chao cha pamoja na Makamu wa Rais  Samia Suluhu Hassan. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. …

Read More »

JUKAVIPE LAWATAKA VIJANA KUTOTUMIKA OVYO.

unnamed-10

Na Masanja Mabula -Pemba .   JUMUIA ya Ustawishaji wa zao la Karafuu na Viungo Pemba JUKAVIPE, imewataka vijana katika wilaya ya Mkoani, kutokubali kutumiwa ovyo ovyo kwa kukubali au kukataa uamuzi pasi na kuweka mbele maslahi ya taifa lao. Kauli hiyo imetokewa na Mwneyekiti wa wa Jumuia hiyo, Ali …

Read More »

WHITEDENT 25 YEAR CAMPAIGN- REGIONAL WINNERS HANDOVER

q4

Guest of honor Michael Mwandezi (mkurugenzi wa halmshauri ya Kilimanjaro) akikata utepe na washindi wa Whitedent promosheni,  Daniel Amiri Ramadhan kutoka Tanga car (no.9) na Julius Ferdinand Masawe kutoka Moshi car (no.8), katika halfa ya kukabidhi magari kwa washindi baada ya kampeni ya Whitedent ya kuadhimisha miaka 25 kuisha. Guest of …

Read More »

BALOZI WA CUBA MHE. JORGE LUIS AMUAGA WAZIRI UMMY

7

Balozi wa Cuba nchini Tanzania Mhe. Jorge Luis amuga Waziri wa Afya,maendeleo ya Jamii Jinsia,Wazee na watoto Ummy mwalimu leo ofisini kwake,Balozi Luis amemaliza muda wake na hivyo kurejea nchini Cuba Waziri Ummy mwalimu amesema anaishukuru nchi ya Cuba kwa ushirikiano wao wa kuisaidia Tanzania kwenye sekta ya afya hususani …

Read More »

MAGEREZA YAPATA MSAADA WA VIFAA VYA MICHEZO

1

Kaimu Kamishna Jenerali wa Magereza nchini, Dkt. Juma Malewa(wa pili kulia) akipokea vifaa vya michezo kutoka kwa Kaimu Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SAN LAM Life Insurance, Bw. Samuel Mika(wa pili kushoto) ni Kamishna wa Fedha na Utawala wa Jeshi hilo, Kamishna Gaston Sanga(wa kwanza kushoto) ni Afisa Uhusiano wa …

Read More »

MAJALIWA AWASILI NGORONGORO

ngom3

 Wasichana wakicheza ngoma ya asili ya kbila la Wiraq wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipowasili kwenye Ofisi za Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro akiwa katika ziara ya mkoa wa Arusha, Desemba 6, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri)  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya asili ya Wairaq  baada ya …

Read More »

KINANA ATUMA SALAMU ZA RAMBI RAMBI KIFO CHA PROF. MTULIA

b5

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana akisalimiana na Marehemu Profesa Idrissa Ali Mtulia, Mbunge mstaafu wa Jimbo la Rufiji wakati alipofanya ziara katika mkoa wa pwani miaka miwili iliyopia. ………………………………………………………………….. Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Kanali mstaafu Abdulrahman Kinana amemtumia salamu za rambi rambi Mwenyekiti …

Read More »

SERIKALI YA ZANZIBAR YAANDAA MKAKATI WA KUVILINDA VIWANDA

images

WAZIRI wa Biashara, Viwanda na Masoko Balozi Amina Salum Ali ameutaka uongozi wa CocaCola kufikiria  kurejesha uzalishaji katika kiwanda cha Maruhubi na Serikali imeandaa mikakati ya kuvilinda viwanda vya Zanzibar ili wananchi wafaidike kupata ajira. Amesema miongoni mwa mikakati hiyo ni kuhakikisha bidhaa zote zinazoingizwa Zanzibar kutoka nje zinalipiwa ushuru …

Read More »