Wednesday , January 16 2019

Home / 2016 / December / 07

Daily Archives: December 7, 2016

KATIBU RHINO AFUNGIWA BAADA YA KUIZUSHIA KAMATI YA TFF

tfuuuuuuuuuuuuuuuuuu

Kamati ya usimamizi na uendeshaji imempa adhabu ya Kumfungiwa miezi mitatu Katibu Mkuu wa Rhino Rangers, Dickson Cyprian Mgalike kwa kosa la kuidanganya kamati kwa kutoa taarifa potofu katika barua aliyoiandikia Bodi ya Ligi. Hapo awali, Kamati ilimuadhibu Mchezaji Sameer Mwinyishere kwa kosa la kumrushia chupa ya maji mwamuzi. Katibu …

Read More »

WATANZANIA WATAKIWA KUUNGANA ILI KUWEKEZA KATIKA VIWANDA.

zainabu

Na: Frank Shija – MAELEZO 07/12/2016   WATANZANIA watakiwa kuunga mkono jitihada za Serikali ya Awamu ya Tano katika Kukuza Uchumi kwa kujiunga pamoja na kuanzisha Viwanda vidogo vidogo na vya kati.   Rai hiyo imetolewa leo na Mkuu wa Wilaya ya Pangani Bi. Zainab Abdallah alipokuwa akifanya mahojiano maalum …

Read More »

Waziri ummy apokea ambulance

ambula

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu akiongea na waandishi wa habari hawapo pichani wakati wa ufunguzi wa mkutano mkuu wa kujadili utekelezaji wa sera za afya uliofanyika jijini Dar es salaam. Balozi wa Qatar nchini Tanzania Bw.  Abdullaral Suwaid kushoto akiongea na waandishi wa …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii

KWAMBA TAREHE 6.12.2016 MAJIRA YA SAA 14:00 KATIKA KIJIJ CHA KILABELA KATA YA NYATUKULA WILAYA SENGEREMA MKOA WA MWANZA, MWANAMKE MMOJA ALIYEJULINA KWA JINA LA RHODA JUMA MIAKA 30, MUHA, MKULIMA NA MKAZI WA KIJIJI CHA KILABELA, ANASHIKILIWA NA JESHI LA POLISI KWA TUHUMA ZA KUMFANYIA UKATILI WA KUMFUNGIA NDANI …

Read More »

Azam FC yachomoza Hispania

mkai

Category:  First Team Team:  Azam FC UJIO wa makocha kutoka Hispania ndani ya Azam FC, umeanza kuitangaza timu hiyo kutokana na watu wengi wa nchi hiyo kuanza kuwafuatilia mabingwa hao wa Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati. Uongozi wa Azam FC kabla ya kuanza msimu huu, iliwaajiri makocha kutoka nchini …

Read More »

VIKUNDI 26 VYA UJASIRIAMALI VYAWEZESHWA CHALINZE

pioo

Diwani wa kata ya Kibindu Ramadhani Mkufya ,akizungumza kabla ya vikundi vya ujasiriamali vilivyopo kwenye kata yake kupatiwa hundi ya mkopo kutoka halmashauri ya Chalinze.(Picha na Mwamvua Mwinyi) Afisa vijana na maendeleo ya jamii katika halmashauri ya Chalinze,Felister Kizito,akizungumza baada ya kukabidhi hundi za mkopo kwa makundi mbalimbali ya ujasiriamali jimbo …

Read More »

YANGA YATANGAZA KUACHA NA MBUYU TWITE RASMI.

acha

  Na.Alex Mathias Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara klabu ya Yanga imethibitisha rasmi kuachana na kiungo mkabaji mwenye uwezo wa kucheza nafasi nyingi uwanjani,Mbuyu Twite na nafasi yake kuchukuliwa na kiungo mkabaji Justine Zullu toka timu ya Zesco United ya nchini Zambia. Licha ya kuachana na …

Read More »

MKUU WA MKOA WA PWANI AZINDUA MKUTANO WA TASAF PWANI

guya

MKUU wa mkoa wa Pwani ,mhandisi Evarist Ndikilo, akifungua mkutano wa mfuko wa maendeleo ya jamii (TASAF) mkoani Pwani, uliolenga kutoa taarifa ya utekelezaji wa mpango  wa kunusuru kaya masikini awamu ya III kipindi cha mwaka mmoja uliopita.(picha na Mwamvua Mwinyi) Mratibu  wa TASAF mkoani Pwani Asha Itelewe ,akisoma taarifa …

Read More »

MAJENERALI WAPYA WAVISHWA VYEO MAKAO MAKUU JWTZ

jwt

Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange (Kushoto), akimvisha cheo cha Meja Jenerali,Mkuu wa Kamandi ya Jeshi la Anga Brigedia Jenerali George William Ingram,Makao Makuu JWTZ Upanga Dar es Salaam.  Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange (kushoto) akimvisha cheo cha Meja Jenerali Mkuu wa Jeshi …

Read More »

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DKT. PHILIP MPANGO ATETA NA BALOZI WA JAPAN NCHINI, MASAHARU YOSHINDA

teta

Balozi wa Japani nchini Tanzania Masaharu Yoshinda (kushoto) na Mwakilishi Mkazi Mkuu wa Shirika la kimataifa la Japani (JICA) Bw.Toshio Nagase,(kulia) wakimsikiliza Waziri wa Fedha na Mipango Mh.Dkt.Philipo Mpango (mb) (hayupo pichani) kuhusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayofadhiliwa na Japani katika sekta ya miundo mbinu zikiwemo barabara nchini …

Read More »

BALOZI WA CUBA AMUAGA KINANA LEO

lum1

Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimkaribisha Balozi wa Cuba, Jorge Luis Lopez (kushoto), alipofika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam, kumuaga kufuatia kumalizika kwa mda wake wa kazi hapa nchini. (Picha na Bashir Nkoromo-MAKAO MAKUU YA CCM). Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana …

Read More »

STARTIMES YAZINDUA CHEMSHA BONGO KUJISHINDIA RUNINGA

jose

Kampuni ya Startimes  Tanzania imezindua rasmi chemsha bongo  kwa wateja wote ambapo wateja watano wa mwanzo  wataweza kupiga simu na kujibu maswali na iwapo watajibu kwa ufasaha basi wataweza kushindia runinga mpya ya kisasa kutoka Startimes.Chemsha bongo hiyo itadumu kwa wiki nne kuanzia tarehe 14 December hadi 14 January 2017. …

Read More »