Monday , October 22 2018

Home / 2016 / December / 08

Daily Archives: December 8, 2016

KOCHA WA ZAMANI WA YANGA AULA TIMU YA TAIFA YA TRINIDAD & TOBAGO.

tom-vs-cabna

Aliyewahi kuwa kocha wa Yanga, Mbelgiji Tom Saintfiet amejiunga na timu ya taifa ya Trinidad na Tobago, Shirikisho la Soka la nchi hiyo limemtangaza mjini Port of Spain. Saintfiet anayechukua Stephen Hart aliyefukuzwa,amesaini mkataba wa miaka miwili, wakati Carolina Morace wa Italia anachukua majukumu ya timu ya taifa ya wanawake. …

Read More »

MSD WAASWA KUBORESHA UPATIKANAJI DAWA NCHINI

titi

     Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dk. Mpoki Ulisubisya (kushoto), akihutubia wakati akizindua Baraza la tatu la Wafanyakazi wa Bohari ya Dawa (MSD), Dar es Salaam leo.  Mwenyekiti wa Baraza la Wafanyakazi MSD, ambaye ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laurean Bwanakunu …

Read More »

JAPAN YAAHIDIKUENDELEA KUISAIDIA TANZANIA KUIMARIKA KIUCHUMI

ichu

Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Kimataifa la Japan (JICA), Bi. Noriko Suzuki (kulia), akisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yanatolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (hayupo Pichani), alipomtembelea na kufanya mazungumzo naye Ofisini kwake Jijini Dar es salaam. Katikati ni Mwakilishi Mkuu …

Read More »

MWENYEKITI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC) RAIS DKT. MAGUFULI AKUTANA NA MKE WA MWANZILISHI WA TAIFA LA SUDAN KUSINI REBECCA NYANDENG DE MABIOR ILIYEAMBATANA NA UJUMBE WAKE IKULU JIJINI DAR ES SALAAM

kuta

   Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mke wa Mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika Ikulu pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo.  Rais wa Jamhuri ya …

Read More »

MWENYEKITI WA KITONGOJI AFA KWA KUPIGWA RISASI NA MAPANGA KICHWANI

rcpppppp

  Kamanda wa polisi Mkoani Pwani Bonaventure Mushongi, akitoa ufafanuzi wa tukio la  mauaji  ya mwenyekiti wa kitongoji Nyang’hundu  huko wilayani Kibiti (picha na Mwamvua Mwinyi) ………………………………….   Na Mwamvua Mwinyi,Pwani MWENYEKITI wa kitongoji cha Nyang’hundu ,wilayani Kibiti mkoani Pwani,Mohammed Ally Thabiti,(45)amefariki dunia baada ya  kushambuliwa kwa kupigwa na risasi tumboni …

Read More »

WAMACHINGA JIJINI DAR ES SALAAM WAMPONGEZA RAIS DK.JOHN MAGUFULI KWA KUWARUHUSU KUFANYABIASHARA BILA KUBUGUDHIWA

nenoonmeee

 Mchuuzi wa urembo katika Soko la Tandika  Kamtanda Hamisi akizungumza Dar es Salaam leo asubuhi  wakati akitoa maoni yake baada ya Rais Dk.John Magufuli kuwaruhusu wafanyabiashara kufanya biashara zao pasipo kubugudhiwa. Habari na maelezo ya wafanyabiashara wengine soma habari hapo chini.  Muuza mitumba Hassan Bakar.  Mfanyabiashara Juma Abdul   Mfanyabiashara wa viatu …

Read More »

WIZARA YA AFYA KUTATUA CHANGAMOTO ZINAZOIKUMBA SEKTA ZA AFYA NCHINI.

umi

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Ummy Mwalimu kulia akikabidhiwa magari ya kubebea wagonjwa(Ambulance) 10 kutoka kwa balozi wa Qatar nchini Tanzania  Bw.  Abdullaral Suwaid kushoto wakati wa makabidhiano hayo yaliyofanyika jijini Dar es salaam. ………………………………………………………………. Na Ally Daud –MAELEZO Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii,Jinsia …

Read More »

Azam FC kujipima na Mtibwa Sugar J’mosi

zam

Category:  First Team Team:  Azam FC KATIKA kujiandaa vilivyo kuelekea mechi za raundi ya pili ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL), Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, inatarajia kukipima kikosi chake kwa kucheza mchezo wa kirafiki dhidi ya Mtibwa Sugar utakaofanyika Uwanja wa Azam Complex, …

Read More »

TAMASHA LA SIFA ZA YERIKO KUFANYIKA ARUSHA

yeri

    Miaka 25 ijayo, Takribani asilimia 75 ya wakazi wa Afrika Mashariki watakuwa vijana,na hii inamaanisha nguvukazi kubwa itakuwa mikononi mwao. Lakini kama watasalia kuwa idadi kubwa basi na kuwa na maarifa ya kuendesha nchi, basi changamoto itakuwa kwa ukuaji wa nchi.Vijana wao huona kama wana mchango katika jamii, hasa …

Read More »

WAZIRI PROF.MBARAWA AZUNGUMZA NA BALOZI WA HISPANIA OFISINI KWAKE.

uf2

Balozi wa Hispania nchini Tanzania Bw. Felix Costales (katikati), akijadiliana jambo na Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa, alipomtembelea ofisini kwake jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Balozi mdogo wa nchi hiyo jijini Nairobi, Bi. Rocio Kessier. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa (kulia), …

Read More »

Tanzania yaiteka Paris kwa Utawala Bora

sil1

Mtafiti katika masuala ya habari Bi. Alina Mungiu (wakwanza kulia)akijibu maswali wakati wa kikao cha Asasi za Kiraia katika mkutano wa Nne wa Mpango wa uendeshaji wa serikali kwa uwazi Jijini Paris Nchini Ufaransa ambapo alieleza jinsi uwepo za sheria za habari na sheria za haki ya kupata taarifa zinavyoweza …

Read More »

PROFESA MBARAWA ATETA NA MAKAMU WA RAIS WA JICA.

tetee

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akijadiliana jambo na Makamu wa Rais wa Shirika la Maendeleo la Japan (JICA), Bi Suzuki Noriko (wa kawanza kulia), kuhusu maendeleo ya miradi ya ujenzi wa barabara nchini inayotekelezwa na shirika hilo.  Kushoto kwa Waziri ni Katibu Mkuu (Sekta ya Ujenzi), …

Read More »

MAKALA YA Q/A MIAKA 55 YA UHURU WA TANGANYIKA BALOZI LIUNDI

liuda

Judith Mhina – MAELEZO SERA YA VIWANDA ITATUKOMBOA Katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanganyika Idara ya Habari – MAELEZO ilipata  fursa ya kufanya mahojiano na Mwanasiasa na mwana Diplomasia Balozi Christopher Liundi  kuhusiana na maadhimisho hayo. Yafuatayo ni maswali na majibu katika mahojiano hayo: SWALI: Mheshimiwa Balozi Tanzania …

Read More »

RC Gambo kukabidhi Pikipiki 200 – Jumamosi.

sar1

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akizungumza na waendesha boda boda 200(hawapo pichani) watakaopatiwa Pikipiki zisizokuwa na riba wakati wa kikao na vijana hao kukamilisha taratibu na masuala ya usalama kabla ya kukabidhiwa Pikipiki hizo. Kijana muendesha boda boda(aliyesimama) akichangia kuhusiana na kiasi gani cha Fedha kirejeshwe kwa siku …

Read More »