Monday , October 22 2018

Home / 2016 / December / 09

Daily Archives: December 9, 2016

MIAKA 55 YA UHURU WA TANZANIA BARA

jktu

 Kikosi cha Jeshi la Wanamaji wa Tanzania JWTZ kikipita katika Jukwaa kubwa la Uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kwa Gwaride la mwendo wa pole katika sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara zilizofanyika leo kiwanjani hapo mgeni rasmi akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Read More »

MCHEZO WA KIRAFIKI KUCHANGIA RAMBIRAMBI MSIBA WA ISMAIL KHAFLAN

khl-1

Kesho Jumamosi Desemba 10, 2016 kutakuwa na mchezo maalumu wa kirafiki utakaozikutanisha timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Tanzania Bara Mbao FC na Kagera Sugar kwenye Uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza. Mchezo huo utakaoanza saa 10.00 jioni utakuwa ni maalumu kwa ajili ya kutoa heshima kwa marehemu Ismail Khalfan – mchezaji …

Read More »

BEACH SOCCER: TANZANIA YAITAMBIA UGANDA

roch_somoka

Timu ya Taifa ya mpira wa miguu unaochezwa ufukweni (Beach Soccer) ya Tanzania imeifunga Uganda mabao 7-5 katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika leo Ijumaa Desemba 9, 2016 kwenye  Viwanja vya Karume, Ilala jijini Dar es Salaam. Katika mchezo huo uliochezeshwa na Jackson Msilombo, Kessy Ngao, Heri Sassii na …

Read More »

KUMEKUCHA- PEMBE ZA FARU JOHN ZAONYESHWA KWA MAJALIWA

faru

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akionyeshwa pembe za faru John na Kaimu Mkurugenzi  Msaidizi waKitengo cha Kupambana na Ujangiri wa Wanyamapori(Acting  Assistant Director of Antipoarching, Wildlife Division), Bw. Robert Mande, katika kikao klichofanyika kwenye Makazi yake jijini Dar es salaam Desemba 9, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Kaimu Mkurugenzi …

Read More »

MAJALIWA ATOA TUZO YA MWAJIRI BORA

togo

             Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi tuzo ya mshindi wa Jumla ya Mwajiri Bora, Bw. David Magese wa Kampuni ya Bia Tanzania baada ya kampuni yake kunyakua tuzo hiyo kwenye Kituo cha Mikutano cha Kiataifa cha Julius  Nyerere jijini Dar es salam Desemba 9, 2016. …

Read More »

Sherehe za Miaka 55 ya Uhuru

rewa

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Waziri wa  Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera,BungeKazi,Ajira,Vijana na Wenyeulemavu Jenister Muhagama mara alipowasili katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es Salaam kushiriki nkatika sherehe za Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara zilizofanyika leo,mgeni rasmi akiwa …

Read More »

RAIS MAGUFULI AWAONGOZA WATANZANIA MAADHIMISHO YA UHURU.

req

      Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amri Jeshi Mkuu Dkt. John Magufuli amewaongoza Watanzania katika maadhimisho ya sherehe za miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania bara. Sherehe hizo zimefanyika katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es saalam na kuhudhuriwa na viongozi …

Read More »

MAKOSA YA UBAKAJI YAPUNGUA MKOANI ARUSHA

kasa

 Na Woinde Shizza,Arusha MAKOSA ya ubakaji wa watoto na wanawake katika mkoa wa Arusha yamepungua kutoka makosa 164 kwa kipindi cha January hadi septembar 2015 hadi kufikia makosa 108 kwa kipindi cha January  hadi September 2016 kutokana na  elimu inayotolewa kwa jamii  kuhusiana na namna ya kupinga matukio ya ukatili …

Read More »

MKUU WA MKOA AMALIZA MGOGORO WA MAJI – MAKILENGA

nte1

Mkuu Wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo (katikati) pamoja na Mkuu wa Wilaya ya Arumeru Mhe. Alexander Mnyeti(kushoto0 wakiwalia katika kijiji cha Nkoasenga kwa ajili ya kutafuta ufumbuzi wa mgogoro wa maji Makilenga. Mhandi wa Maji Happy Mrisho (aliyesimama) akiwasilisha taarifa ya mradi  kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha(hayupo pichani) …

Read More »

RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI ASAMEHE WAFUNGWA 5,678 MAADHIMISHO YA MIAKA 55 YA UHURU WA TANZANIA BARA LEO 9 DISEMBA, 2016 JIJIJINI DAR

jpm5

Katika kuadhimisha miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara tarehe  9 Disemba, 2016 Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutumia madaraka aliyopewa chini ya Ibara ya 45(1)(d) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ametoa msamaha kwa wafungwa wafuatao:- Wafungwa wote wamepunguziwa moja ya sita (1/6) …

Read More »

JAMII YATAKIWA KUTOWADHALILISHA WALEMAVU KISIWANI PEMBA

5235

Mratibu wa kituo cha huduma za sheria Zanzibar Legal Service Centre (ZLSC) afisi ya Pemba Bi Fatma Khamis Heme. …………………………………………………………………………….. Na Masanja Mabula -Pemba . Jamii nchini imetakiwa kuacha kuwadhalilisha watu wenye ulemavu hasa wa akili ambapo imeelezwa kua, kushafanya hivyo ni kinyume cha sheria na kunaweza kupelekea mtu kuingia …

Read More »

VIJANA U15 WAMALIZA ZIARA MOROGORO, SASA KUIVAA BURUNDI

kiko2

   Kikosi cha timu ya taifa ya vijana wenye umri wa chini ya miaka 15, wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya mazoezi  yaliyofanyika leo kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. (Picha na Alfred Lucas wa TFF)  Kiungo Alphonce Mabula (kushoto), akichuana na Jonathan Kombo wakati mazoezi  yaliyofanyika leo …

Read More »

SUALA LA MCHEZAJI HASSAN RAMADHANI KESSY

kessy-tambaa

Baada ya kupitia mawasilisho ya pande zote kwa njia ya mahojiano, na vielelezo Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji imebaini mambo yafuatayo ambayo yanapaswa kuchukuliwa hatua za haraka: 1. Mchezaji Hassan Hamis Ramadhan au Hassan Kessy alikuwa na Mkataba na Klabu ya Simba uliokuwa unaishia tarehe 15/06/2016. 2. …

Read More »

MAJALIWA:TUMETENGA SH. BILIONI 15 ZA MAFUNZO KWA VIJANA

crad

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Frederick Msigara wa CCBRT katika hafla ya utoaji tuzo ya mwajiri bora wa mwaka 2015 kwenye ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es salaam. ……………………………………………………………………………. WAZIRI MKUU Kassim Mjaliwa amesema Serikali imetenga sh. bilioni 15 kwa ajili ya kutoa mafunzo kwa vijana zaidi 2,500 …

Read More »

STRAIKA WA BORUSSIA DORTMUND,PIERRE-AUBAMEYANG AWA LULU ENGLAND.

pierre-emerick-aubameyang

Baada ya kauli ya mshambuliaji wa Borussia Dortmund,Pierre-Emerick Aubameyang kuwa huenda akaitema timu yake hiyo inayoshiriki Ligi Kuu ya Ujerumani kuna taarifa zimeaza kuzangaa barani Ulaya kuwa anatakiwa na timu kubwa. Nchini Uingereza vigogo mbalimbali zikiwemo Manchester City,Arsenal na Chelsea zipo kwenye vita kubwa ya kuitaka saini ya Straika huyu …

Read More »

Waziri Mwijage afungua maonesho ya Viwanda vya Tanzania

mai

 Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles Mwijage akizungumza wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania  katika viwanja vya Mwalimu Nyerere Sabasaba leo Jijini Dar es Salaam. Maonesho hayo yataliyoanza tarehe 07 Desemba na yanayotarajiwa kuhitimishwa Desemba 11 HUKU Kauli mbiu yake ikiwa …

Read More »

PSPF WATOA RAI KWA WAJASIRIAMALI KUJIUNGA NA MPANGO WA HIARI.

psf

Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji Bw. Charles Mwijage akisikiliza maelekezo kuhusu usajili wa wajasiriamali katika fao la hiari kutoka kwa Afisa Uendeshaji wa Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma( PSPF) Bw.Hadji Jamadar wakati wa hafla ya ufunguzi wa maonesho ya kwanza ya Viwanda vya Tanzania  katika viwanja vya …

Read More »