Monday , October 22 2018

Home / 2016 / December / 10

Daily Archives: December 10, 2016

KAIMU KATIBU MTENDAJI TUME YA MIPANGO ATEMBELEA ENEO LITAKALOJENGWA KIWANDA CHA KUCHAKATA GESI ASILIA, LIKONG’O MKOANI LINDI

4

Kaimu Katibu Mtendaji, Wizara ya Fedha na Mipango upande wa Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri akikagua nyaraka mbalimbali ikiwemo ramani ya eneo litakalojengwa kujengwa kiwanda cha kuchakata gesi asilia katika eneo la Likong’o Mkoani Lindi. Afisa Ardhi wa Manispaa ya Lindi, Bw. Munisi Andrew (aliyeshika nyaraka) akisikiliza maelekeza kutoka …

Read More »

WAZIRI MKUU MGENI RASMI MAULID KITAIFA SINGIDA

picmajaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi kwenye Siku ya Maulid ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) ambayo kitaifa itaadhimishwa mkoani Singida. Katibu wa Bakwata Mkoa wa Singida, Alhaji Buruhani Mlau alisema sherehe za Kitaifa za Maulid ya Mtume Mohammad (SAW) kwa mwaka huu zinatarajiwa kufanyika Mkoani Singida katika …

Read More »

Kaimu Katibu Mtendaji Tume ya Mipango atembelea eneo litakalojengwa Kiwanda cha kuchakata Gesi Asilia, Likong’o Mkoani Lindi

eneo

Kaimu Katibu Mtendaji, Wizara ya Fedha na Mipango upande wa Tume ya Mipango, Bibi Florence Mwanri akikagua nyaraka mbalimbali ikiwemo ramani ya eneo litakalojengwa kujengwa kiwanda cha kuchakata gesi asilia katika eneo la Likong’o Mkoani Lindi. Afisa Ardhi wa Manispaa ya Lindi, Bw. Munisi Andrew (aliyeshika nyaraka) akisikiliza maelekeza kutoka …

Read More »

WATANZANIA WAASWA KUTUMIA BIDHAA ZA NDANI YA NCHI

picfailrepaytax

Na. Lilian Lundo – MAELEZO Watanzania wameaswa kutodharau bidhaa zinazotengenezwa ndani ya nchi  na kukimbilia bidhaa za nje ya nchi. Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Mpango ameyasema hayo leo, alipotembea banda la Shirika la Maendeleo ya Viwanda Vidogovidogo (SIDO) katika maonyesho ya viwanda vya Tanzaniaa yanayoendele  Uwanja vya …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI IKULU LEO

sen1

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Christopher Olonyokie Ole -Sendeka kuwa Mkuu wa Mkoa wa Njombe Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Mhandisi Mathew Mtigumwe kuwa Katibu Mkuu katika Wizara ya Kilimo Ikulu …

Read More »

RAIS DKT.MAGUFULI AKUTANA NA MMILIKI WA KIWANDA CHA DANGOTE

sen13

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na mmiliki wa Kiwanda cha Saruji cha Dangote kilichopo Mtwara Alhaji Aliko Dangote Ikulu jijini Dar es Salaam. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika kikao cha pamoja na mmiliki wa Kiwanda …

Read More »

Shirika la Ndege la Uturuki laanzisha safari za Zanzibar

turk1

Tanzania inakuwa nchi ya 50 barani  Afrika kufikiwa na Shirika la Ndege la Uturuki baada ya kuongezwa safari tatu kwa wiki kwenda Zanzibar Shirika la Ndege la Uturuki limeiongeza Zanzibar katika mtandao wa safari zake kuanzia Desemba 13, 2016. Hivi sasa shirika hilo linafanya safari 49 barani Afrika baada ya …

Read More »

SHIRIKISHO VYUO VYA ELIMU YA JUU-CCM WAMPONGEZA RAIS

req

NA MWANDISHI WETU SHIRIKISHO la Vyuo vya Elimu ya Juu-CCM, limempongeza Rais Dk. John Magufuli, kwa kuamua maadhimisho yajayo ya Uhuru kufanyika Dodoma, likisema uamuzi huo umedhihirisha dahamira yake ya dhati ya kuhakikisha Dodoma inakuwa Makao Makuu ya nchi kwa vitendo. Limempongeza, Rais Magufuli kwa kuweka wazi katika hotuba yake …

Read More »

makamu wa rais kuzindua mpango kazi wa kutokomeza ukatili

miwaniii

S.NKINGA: MPANGO KAZI WA TAIFA WA KUTOKOMEZA UKATILI DHIDI YA WANAWAKE NA WATOTO KUZINDULIWA TAREHE 13/12/2016 Na erasto ching’oro– Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano, Wizara ya Afya, Maendeleo ya jmaii, jinsia, wazee, na Watoto Tarehe 13, Desemba 2106 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …

Read More »

TBL kinara tena tuzo ya Mwajiri Bora mwaka 2016

mwj

Waziri Mkuu,Mh. Kassim Majaliwa  akimkabidhi tuzo ya ushindi wa jumla kwa mwajiri bora mwaka 2016 Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa TBL Group ,David Magese wakati wa hafla ya utoaji wa tuzo hizo uliofanyika kwenye ukumbi wa mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es Salaam. Mkurugenzi wa ATE,Dk.Aggrey Mlimuka,akimpongeza Mkurugenzi wa …

Read More »

TAARIFA KWA WAJUMBE WA BARAZA LA VYAMA VYA SIASA KUHUSU KUSOGEZWA MBELE KWA TAREHE YA KUREJESHA FOMU ZA WAGOMBEA WA NAFASI YA MWENYEKITI NA MAKAMU MWENYEKITI

gz

Katibu wa Baraza la Vyama vya Siasa anatumia fursa hii kuwatangazia wajumbe wa Baraza la Vyama vya Siasa kuwa, tarehe ya kurejesha fomu za wagombe imesogezwa mbele mpaka tarehe 14 Disemba, 2016 saa tisa na nusu (3:30) alasiri, kutokana na siku ya Ijumaa tarehe 09 Disemba, 2016 na Jumatatu tarehe …

Read More »

WATANZANIA 12 WANASHIKILIWA NCHINI MSUMBIJI

ruvuma

Mkuu wa Wilaya ya Tunduru JUMA HOMERA akiwa ameongozana na kamati ya ulinzi na usalama ya wilaya hiyo wakitembea pembezoni mwa mto ruvuma ambao katika kijiji cha wenje  ambapo mto huo unatenganisha Tanzania na Nchi ya Msumbiji. “Watanzania ambao wanashikiliwa nchini MSUMBIJI ni wakazi wa kijiji cha Mkapunda na wenje …

Read More »

World Leaders Endorse Paris Declaration at OGP Summit

aquuuuuuu

Mayors from OGP’s pilot subnational program around the world in group photo after the have attended the session. Photo-Hassan Silayo-Paris France. …………. Our Correspondents-MAELEZO PARIS Eighty governments and hundreds of civil society organizations from around the world have signed up to collective actions in the Paris Declaration, including several on anti-corruption. …

Read More »