Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 11

Daily Archives: December 11, 2016

WANACHAMA SIMBA WAFANYA MABADILIKO YA KATIBA BILA VURUGU

katiba

 Katibu Mkuu wa klabu ya Simba SC Patrick Kahemele,amesema kuwa zaidi ya 98% ya wanachama waliohudhuria mkutano wameunga mkono agenda mabadiliko ya katiba iliyopelekwa kwenye mkutano wa dharura. Simba iliitisha mkutano mkuu wa dharura wenye leongo la kufanya mabadiliko ya katiba ya klabu ambayo ayataruhusu klabu hiyo kuendeshwa kwa mfumo mpya …

Read More »

WADAU JITOKEZENI KUDHAMINI TUZO ZA MUZIKI NA FILAMU NCHINI.

mziki

 Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiwasalimia baadhi ya mashabiki waliofika kuhudhulia sherehe za Tuzo za Filamu na Muziki za EATV 2016 zilizofanyika Desemba 10, 2016 Jijini Dar es Salaam.  Mtangazaji wa EATV Abdallah Hamis Ambua(Dullah) akifanya mahojiano na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na …

Read More »

DOKTA MPANGO AWATAKA WATANZANIA KUWASADIA WATU WENYE ULEMAVU

index

Benny Mwaipaja, WFM, Dar es salaam WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, ameitaka jamii kuwasaidia watu wenye ulemavu ili waweze kujiajiri na kukabiliana na hali ngumu ya maisha. Dkt. Mpango ametoa rai hiyo wakati alipotembelea banda la mlemavu asiyeona, Bw. Abdalah Nyangalilo, ambaye amewakusanya watu kadhaa wenye ulemavu …

Read More »

CHINA KUJENGA UWANJA WA KISASA WA MPIRA WA MIGUU KWA AJILI YA VIJANA WADOGO KATIKA KIJIJI CHA MSOGA BAGAMOYO

2

NA VICTOR MASANGU, MSOGA ………………………………………………….. KATIKA kukuza sekta ya michezo hapa nchini hususan soka la vijana wadogo wa shule  Rais Mstaafu wa awamu ya nne Jakaya Kikwete  kwa kushirikiana na serikali ya chini watarajia kujenga kiwanja cha michezo cha kisasa katika Kijiji Cha msoga kilichopo halmashauri ya mji mdogo Chalinze …

Read More »

SERIKALI KUPITIA UPYA KODI ZINAZOLETA KERO

index

Benny Mwaipaja, WFM, Dar es salaam WAZIRI wa Fedha na Mipango, Dkt. Philip Mpango, amesema kuwa Serikali imeanza kuyafanyia kazi maoni na malalamiko ya wafanyabiashara na wawekezaji kwa ujumla kuhusu kodi zinazolalamikwa kwa lengo la kuhuisha ama kubadili kodi zinazoonekana kuwa ni kero Dkt Mpango amesema hayo mara baada ya …

Read More »

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AWASILI DODOMA

unnamed

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Christina Mndeme baada ya kuwasili kwenye uwanja wa ndege wa Dodoma Desemba 11, 2016 na kesho anatarajiwa kwenda Singida kuwa mgeni rasmi kwenye   sherehe za Maulid. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Read More »

JPM AONGOZA KIKAO CHA KAMATI KUU YA CCM LEO

kam1

Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akifungua kikao cha Kamati Kuu ya CCM, kilichofanyika leo mjini Dar es Salaam. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, na Kushoto ni Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan na Makamu Mwenyekiti wa CCM, Rais wa Zanzibar Dk. Ali Hassan Mwinyi.(Picha na …

Read More »

MAMUYA- JAMII NA WADAU WASHIRIKIANE KUWEZESHA WATOTO YATIMA

4

Mkurugenzi wa taasisi ya WIPAZ wilayani Kibaha,Haroun Mamuya  akuzungumza jambo juu ya shughuli zinazofanywa na taasisi hiyo,Kushoto ni kaimu mkurugenzi wa taasisi hiyo Isabire Marijani. (Picha na Mwamvua Mwinyi)   Baadhi ya watoto yatima na wanaoishi katika mazingira magumu,wakiwa kwenye picha ya pamoja na mkurugenzi wa taasisi ya kiislamu Waliul Asr Seminar(WIPAZ)Kibaha,Haroun …

Read More »

SERIKALI YAHAIDI KUJENGA BWAWA LA KISASA LA KUOGELEA NCHINI

6

Waogeleaji Chipukizi wakionyesha ufundi wa kuchupa (diving) katika mashindano ya kuogelea ya watoto chini ya miaka 13 yaliyoandaliwa na klabu ya Dar Swim Club. Mashindano hayo yalifanyika kwenye bwawa la Hopac. Waziri wa Habari,Utamaduni, Wasanii na Michezo Nape Nnauye (wa pili kulia) akipata maelezo kuhusiana na masuala ya bwawa la …

Read More »

NAIBU WAZIRI MASAUNI AWATAKA WANANCHI WATOE TAARIFA ZA UKIUKWAJI WA HAKI ZA BINADAMU ILI KUDHIBITI MATUKIO YA UKATILI NCHINI

1

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Haki za Binadamu na Wananchi pamoja na Watumishi wa Kituo cha Huduma za Sheria, mjini Unguja, Zanzibar (hawapo pichani). Masauni katika hotuba yake, alisema matukio ya unyanyasi yanaongezeka kwa wingi nchini, hivyo amewataka …

Read More »