Monday , January 21 2019

Home / 2016 / December / 12

Daily Archives: December 12, 2016

Test of A Worker Severance Package

Feel of your own composition’s dissertation for a promise to your own audience by what sort of analysis you’ve produced for the novels and help it become particular. Here are several top-notch essay subjects that children may come across simple to write. The eleventh phase might be the last but …

Read More »

MAHREZ ASHINDA TUZO YA MCHEZAJI BORA WA AFRIKA YA BBC

tuzo-mahre

Riyad Mahrez ametawazwa kuwa Mwanakandanda Bora wa Afrika wa BBC wa Mwaka 2016. Mashabiki kutoka kila pembe ya dunia walimpigia kura nyingi kiungo huyu wa kati wa Algeria na Leicester kuliko Pierre-Emerick Aubameyang, Andre Ayew, Sadio Mane na Yaya Toure. Mahrez ameambia BBC Sport: “Naam, [tuzo hii] ina maana kubwa …

Read More »

SIMBA KAMA YANGA,YANYUKWA NA MTIBWA SUGAR CHAMAZI

simba-day-5

Na.Alex Mathias Baada ya watani zao Yanga kufungwa magoli 2-0 dhidi ya JKU ya Zanzibar mchezo wa Kirafiki na jioni ya Leo timu ya Simba imepokea kichapo cha magoli 2-1 toka kwa Mtibwa Sugar mchezo wa kirafiki uliochezwa kwenye uwanja wa Azam Complex,Chamazi nje kidogo ya jiji la Dar es …

Read More »

MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA MAULID

maulidi

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Baraza la Maulid lililofanyika  kitaifa, Shelui, Singida Desemba  12, 2016.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)    Baadhi ya washiriki wa Baraza la Maulid  wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipohutubia Baraza  hilo katika kijiji cha  Shelui mkoani Singida, Desemba 12, 2016. (Picha na …

Read More »

Kapombe ajipanga vilivyo kuelekea mzunguko wa pili VPL

chuma

BAADA ya kupona majeraha ya nyonga, beki wa kulia wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Shomari Kapombe, amesema kuwa hivi sasa anapambana vilivyo kurejesha makali yake yaliyomfanya akubalike na mashabiki wa timu hiyo. Beki huyo kipenzi wa mashabiki wengi wa soka nchini, amerejea mazoezini hivi sasa …

Read More »

TRA YATOA MAFUNZO KWA WAJASIRIAMALI JUU YA ULIPAJI KODI

kodi

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) imetoa mafunzo kwa wajasiriamali kuhusu kodi ili waweze kufahamu aina na madaraja ya kodi pamoja na umuhimu wa ulipaji kodi. Mafunzo hayo yametolewa jana na Afisa wa Huduma na Elimu kwa Mlipa Kodi wa TRA, George Haule katika semina ya …

Read More »

MAJALIWA AHUTUBIA BARAZA LA MAULID

sin1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Sheikh Mkuu na Mufti wa Tanzania, Alhaj  Abukary Zubeiry Bin Ally baada ya kuwasili Shelui mkoani Singida kuwa mgeni rasmi katika Baraza la Maulid Desemba 12, 2016. Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dkt. Rehema Nchimbi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri …

Read More »

TFDA YATOA WITO KWA WAZALISHAJI KUJIUNGA KATIKA VIKUNDI.

tf1

Meneja wa Mawasiliano na Uhusiano wa Umma kutoka Mamlaka ya Chakula na Dawa (TFDA) Bibi. Gaudencia Simwanza akiwasilisha mada wakati wa semina maalum kwa wajasiriamali wanawake iliyoandaliwa na Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTRADE) kuelekea kilele cha maonesho ya viwanda vya Tanzania jana jijini Dar es Salaam. Meneja wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAPONGEZA MADAKTARI WA TAASISI YA KIISLAM YA BILAL

waz

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewashukuru na kuwapongeza madaktari wa Taasisi ya Bilal Muslim Tanzania ambayo imetoa huduma ya matibabu ya macho kwa zaidi ya wananchi 4,000 wa mkoa wa Dodoma Ametoa pongezi hizo jana usiku (Jumapili , Desemba 11, 2016) wakati akizungumza na madaktari waliotoa huduma hiyo walipomtembelea katika makazi …

Read More »

KAHAMA OIL MILLS LIMITED YATOA AJIRA KWA WATU 600.

h3

Meneja Utawala na Uzalishaji wa Kampuni ya Kahama Oil Mills Bw. Bryason Edward akipokea cheti cha ushiriki wa maonesho ya kwanza ya viwanda vya Tanzania kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji (viwanda) Dkt. Adelhelm Meru wakti wa hafla ya kufunga maonesho hayo jana jijini Dar …

Read More »

SHEREHE YAMAULIDI YA KUZALIWA MTUME (M.A.S)

6

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya sherehe ya maadhimisho ya maulid ya kuzaliwa Bwana Mtume Muhammad (S.A.W) zilizofanyika jana katika Viwanja vya Maisara Mjini Unguja, Baadhi ya Viongozi na waalikwa mbali mbali wakiwa katika …

Read More »

DKT. MPANGO ATEMBELEA MAONESHO YA VIWANDA VYA NDANI

3

Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb), (kulia) akionesha kwa Watanzania na mahali pengine duniani, nguo iliyoshonwa na mlemavu asiyeona Bw. Abdalah Nyangalilo (aliyevaa miwani), baada ya waziri huyo kutembelea banda lake lililopo kwenye uwanja wa Maonesho ya Biashara wa Mwalimu J. K. Nyerere, uliopo Barabara ya …

Read More »

FURAHIA WIMBO MPA WA MSANII CASTLE MC-NIMERUDI.

castle-mc-nimerudi

Castle MC ni msanii chipukizi kutoka Jijini Mwanza. Ameachia wimbo mpa uitwao “Nimerudia” akimshirikisha H.Criss. Wimbo umetengenezwa na producer Day Dream kutoka studio za Over The Classic Music Jijini Mwanza.   Wimbo unavutia kusikiliza na unatoa ujumbe wa watu wengi walio kwene mahusiano ambapo baada ya kutengana, mmoja hurudi na …

Read More »

HALMASHAURI YA CHALINZE YAJIPANGA KUDHIBITI WAKWEPA USHURU

23

Mwenyekiti wa halmashauri ya Chalinze, Saidi Zikatimu, akizungumzia mikakati waliyojiwekea kuinua mapato . (Picha na Mwamvua Mwinyi) ……… Na Mwamvua Mwinyi,Chalinze HALMASHAURI ya Chalinze, wilayani Bagamoyo,inatarajia kununua mashine za EFD ,kumi zitakazogharimu sh.mil.16 kwa lengo la kuinua mapato ya ndani na kudhibiti mianya ya wizi. Mashine hizo sio za kwanza kununuliwa …

Read More »

TBL Mwanza yaunga mkono kampeni ya kupanda miti

panda

Wafanyakazi wa TBL wakipanda miti katika moja ya kampeni ya upandaji miti ………….   Kiwanda cha TBL cha Mwanza kimeunga mkono  kampeni ya kupanda miti inayoendelea mkoani Mwanza ambapo kimetoa miche 2,000 ya miti pia wafanyakazi wake wameungana na viongozi wa serikali na wafanyakazi wa taasisi mbalimbali za kiserikali na …

Read More »