Monday , October 22 2018

Home / 2016 / December / 13

Daily Archives: December 13, 2016

JUMLA YA WASHIRIKI 20 WAMESHAJITOKEZA KUSHIRIKI TUZO YA USHAIRI LA MSTAHIKI MEYA WA JIJI LA DAR ISAYA MWITA

meyawajijiisayamwita

Christina Mwagala,Dar es Salaam …………………………………… SHINDANO la tuzo ya ushairi la Mstahiki Meya wa Jiji la Dar es Salaam Isaya Mwita lienambapo hadi sasa jumla ya washiriki 20 wameshajitokeza kushiriki tuzo hiyo. Tuzo hiyo ambayo itatolewa  Desemba 18 mwaka huu, imeendelea kushika kasi huku wannachi mbalimbali wa jiji la Dar …

Read More »

Nyambui amwaga jezi SHIWATA

mpi

Na Mwandishi Wetu KOCHA wa kimataifa wa Riadha, Suleiman Nyambui ametoa jezi seti sita kwa timu zilizoshiriki mashindano ya soka ya maveterani yaliyofanyika jana uwanja wa Shule ya msingi, Kitunda. Nyambui aliyekuwa mgeni rasmi katika fainali hizo zilizoshirikisha timu sita mmoja ilitokea Kisarawe kocha huyo ambaye kwa sasa anafundisha riadha …

Read More »

MESSI AKUTANA NA KIJANA ALIYEVALIA JEZI YA KARATASI NCHINI AFGHANISTAN

mes-vs-toto

Kijana kutoka nchini Afghanistan aliyepata umaarufu sana mtandaoni alipopigwa picha akiwa amevalia karatasi kama jezi ya Lionel Messi mechi amefanikiwa kukutana na shujaa huyo wake. Picha ya Murtaza Ahmadi, mwenye miaka sita, akiwa amevalia karatasi hiyo iliyoandika nambari ya jezi ya Messi pamoja na jina lake ilivuma sana mwezi Januari …

Read More »

JPM AOGOZA KIKAO CHA NEC LEO, IKULU

leooooooooooooooo

 Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akifungua kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba 13, 2016.   Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akifungua kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Desemba …

Read More »

WIZARA YA VIWANDA,BIASHARA NA KITUO CHA UWEKEZAJI YAINGIA MAKUBALIANO NA OXFORD BUSINESS GROUP YA UINGEREZA KWA AJILI YA KUFANYA UTAFITI UTAKAOTANGAZA FURSA DUNIANI

mwijage

Waziri wa Viwanda ,Biashara na Uwekezaji, Charlse Mwijage akizungumza wakati wa uzinduzi kitabu maalum cha kuanisha fursa mbalimbali zilizopo nchini, iliyofanyika leo kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Jijini Dar es salaam. Mkurugenzi Mkazi wa Oxford Business Group, Ivana Carapic akizungumza katika hafla hiyo.   Kaimu Mkurugenzi …

Read More »

Upungufu wa vituo vya afya na watoa huduma wasiokuwa na ujuzi na stadi huchangia vifo vya wajazwazito na watoto umri chini ya mwezi mmoja

mali5

Mkurugenzi Mtendaji wa Eco Bank, Enock Osei Safi (kushoto) akimkabidhi msaada wa vifaa vya uzazi Naibu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Dk Khamis Kigwangalla (wa pili kushoto),  Mganga Mfawidhi wa Hospitali ya Temeke, Dk Amani Malimana na  Mganga Mkuu wa Hospitali ya Rufaa ya Temeke, …

Read More »

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUKAMUA MAFUTA YA KULA CHA MERU

jal4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akionyeshwa mafuta  ya kula na Mkurugenzi wa Mkuu wa Makampuni ya Meru, Bw. Atul Mittal  (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda cha kukamua mafuta cha Meru kilichopo mjini Singida, Desemba 12, 2016.  Wapili kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na watatu kulia na Mbunge wa …

Read More »

WANAHABARI NA ASKARI WA JESHI LA ULINZI WALIOPANDA MLIMA KILIMANJARO KWA AJILI YA KUMBUKUMBU YA MIAKA 55 YA UHURU WAKABIDHIWA VYETI.

shelu

Washiriki wa changamoto ya kupanda Mlima Kilimanjaro kwa ajili ya kusherehekea kumbukumbu ya Miaka 55 ya Uhuru wa Tanzania Bara wakiwemo Askari Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) na Waandishi wa Habari wakishuka baada  ya kupanda mlima huo kwa siku sita.Zoezi hilo limeongozwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Mstaafu Jenerali …

Read More »

Waliofuzu Azam FC U-17 Dar kuchujwa

chu1

MKUU wa Maendeleo ya Soka la Vijana Azam FC, Tom Legg akiwachuja vijana  katika klabu ya hiyo. MKUU wa Maendeleo ya Soka la Vijana Azam FC, Tom Legg akizungumza na vijana hao. …………………………………………………………………………. MKUU wa Maendeleo ya Soka la Vijana Azam FC, Tom Legg, jana Jumatatu ameanza kazi jana ya …

Read More »

Yahaya ajiwekea malengo CAF

yahya

Category:  First Team Team:  Azam FC MSHAMBULIAJI mpya wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Yahaya Mohammed, ameweka wazi kuwa moja ya malengo yake makubwa ni kuisaidia timu hiyo kuingia kwenye hatua ya makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani. Azam FC ndio wawakilishi wa Tanzania Bara …

Read More »

Word Paperwork available for sale

Can One Get my Term Paper carried out by the due date? EssayCyber is among the most trusted crafting web page you can make use of when searching for expression written documents. Our authors will always be in a position to work with any matter with any issues that would …

Read More »

RONALDO MCHEZAJI BORA WA DUNIA 2016,ATWAA TUZO YA BALLON D’OR.

bol

Mshabuliaji wa Real Madrid amefunga mwaka kwa style ya pekee huku umri ukionekana kuelekea ukingo kwani mwaka huu amefunga magoli mawili ya Uefa Champions ila ndo mshindi wa Ballon d’Or. Maana amefanikiwa kushinda tuzo ya mwanasoka bora wa dunia maarufu kama Ballon d’Or . Ronaldo sasa anaichukua mara ya nne, …

Read More »