Friday , October 19 2018

Home / 2016 / December / 14

Daily Archives: December 14, 2016

CHELSEA NA MANCHESTER CITY WAPIGWA FAINI.

faini

Chelsea wamepigwa faini ya £100,000 na Manchester City wakapigwa faini ya £35,000 baada ya wachezaji wao kuhusika katika vurugu uwanjani wakati wa mechi ya Ligi ya Premia. Hisia zilipanda na wachezaji wakakabiliana mechi hiyo iliyochezewa uwanjani Etihad ilipokaribia kumalizika baada ya Sergio Aguero wa City kufukuzwa uwanjani kwa kumchezea visivyo …

Read More »

JUMA LUIZIO WA ZESCO UNITED KUKAMILISHA USAJILI SIMBA.

juma-luizio

Uongozi wa klabu ya Simba umeweka bayana juu ya taarifa za  usajili wa mchezaji Juma Luizio kutoka klabu ya Zesco ya nchini Zambia ambapo wekundu hao wana mpango wa kumsajili kwa njia ya mkopo. Makamu wa Raisi wa Simba,Godfrey Nyange Kaburu amesema kwamba uongozi utaweka bayana usajili wao hapo kesho …

Read More »

KIWANDA KIKUBWA CHA MBOLEA KUJENGWA MKOANI LINDI

ujeru-3

Benny Mwaipaja, WFM, Dar es salaam Kampuni moja ya Ujerumani ya Ferrostaal, inatarajia kujenga kiwanda kikubwa cha mbolea katika wilaya ya Kilwa mkoani Lindi, kitakacho gharimu zaidi ya Euro Bilioni 1 nukta 2 (1.2bln) ambacho kinatajwa kuwa kitakuwa moja ya viwanda vikubwa vya mbolea Barani Afrika. Hayo yamesemwa na Balozi …

Read More »

WAZIRI WA FEDHA AKUTANA NA BALOZI WA UJERUMANI

ujeru

Balozi wa Ujerumani nchini Tanzania, Bw. Egon Kochanke (katikati) pamoja na ujumbe wake wakisikiliza kwa makini maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) (hayupo pichani),  Makao Makuu ya Wizara hiyo Jijini Dar es salaam. Ujumbe wa Ujerumani ukiongozwa na Balozi wan chi hiyo …

Read More »

MAWAKILI NCHINI WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI

jaji

Na Lydia Churi-Mahakama Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman amewataka Mawakili nchini kuzingatia Maadili na kufuata misingi ya haki katika kutekeleza majukumu yao ili kesi ziendeshwe kwa haki, haraka na kwa wakati ili kuongeza imani ya wananchi kwa Mahakama. Akizungumza wakati wa sherehe za kuwapokea na kuwaapisha Mawakili …

Read More »

PROF. MBARAWA ASHUSHA NEEMA VIWAJA VYA NDEGE

sime

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mkandarasi wa Kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG), anayejenga jengo la abiria katika Kiwanja cha Ndege cha Mwanza, Yuzhang Xiong, wakati alipokagua maendeleo ya mradi wa ujenzi huo. Meneja Mipago, Ubunifu na Tathimini wa Mamlaka ya Viwanja …

Read More »

WAZIRI UMMY APOKEA MAGARI YA KUBEBEA WAGONJWA (AMBULANCE) 50.

umy

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu watatu kulia waliokaaa kitiasainimakubaliano  ya kupokea magari ya kubebea wagonjwa (ambulance) 50 yenye thamani ya shilingi bilioni 5.9 kutoka Shirika la Afya Duniani (WHO)  na UNFPA kwa ajili ya kuboresha huduma za afya nchini yaliyokabidhiwa leo jijini …

Read More »

Technology Issues for Research Reports

Informative Essay Topic Suggestions Why Select grammarservices.com? English is definitely the way of international communication , and many people practice English absolutely for many reasons . Among the most large problems which plenty of students , instructors, copywriters , working people and business people have is the necessity to maintain …

Read More »

Nyota watatu wajiunga rasmi Azam FC

azam-88888

UONGOZI wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, unayofuraha kuutarifu umma kuwa leo mchana imefanikiwa kuingia mkataba na wachezaji watatu, beki wa kati Yakubu Mohammed, kiungo mkabaji Stephan Kingue Mpondo na winga Joseph Mahundi. Zoezi hilo la kuingiana mikataba limehudhuriwa na baadhi ya viongozi wakuu wa timu …

Read More »

Definition Classes and Courses

So, it is time for you to create your thesis. Actually, it is not the most simple material to do, so you, possibly, are thinking about getting some strong thesis online. And it is a satisfying solution for your complication, actually. There are lots of of various care nowadays. They …

Read More »

NEC YAENDELEA NA MAANDALIZI YA UCHAGUZI MDOGO KATIKA JIMBO LA DIMANI MJINI ZANZIBAR.

znz-1

Normal 0 false false false EN-US X-NONE X-NONE /* Style Definitions */ table.MsoNormalTable {mso-style-name:”Table Normal”; mso-tstyle-rowband-size:0; mso-tstyle-colband-size:0; mso-style-noshow:yes; mso-style-priority:99; mso-style-parent:””; mso-padding-alt:0in 5.4pt 0in 5.4pt; mso-para-margin-top:0in; mso-para-margin-right:0in; mso-para-margin-bottom:10.0pt; mso-para-margin-left:0in; line-height:115%; mso-pagination:widow-orphan; font-size:11.0pt; font-family:”Calibri”,”sans-serif”; mso-ascii-font-family:Calibri; mso-ascii-theme-font:minor-latin; mso-hansi-font-family:Calibri; mso-hansi-theme-font:minor-latin; mso-bidi-font-family:”Times New Roman”; mso-bidi-theme-font:minor-bidi;}  Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Mhe. Jaji Mstaafu …

Read More »

UHAPISHO WA 55 KWA MAWAKILI

1

Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande akiongea mbele ya mawakili 258 hawapo pichani wakati wa sherehe ya 55 ya uhapisho  huo  iliyofanyika leo  jijini Dar es salaam. Jaji Mkuu wa Tanzania Mohamed Othman Chande katikati  akiongoza Majaji wengine kupokea salamu ya utiifu  kutoka kwa mawakili 258 waliopishwa hawapo pichani …

Read More »

KINANA AKUTANA NA WENYEVITI NA MAKATIBU WA CCM WA MIKOA LEO

nana

        Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na Wenyeviti wa Makatibu wa CCM wa mikoa, alipokutana nao katika kikao maalum kilichofanyika leo, katika ukumbi wa Sekretarieti kwenye Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba jijini Dar es Salaam.  Wengine walioko meza kuu, kutoka kushoto ni …

Read More »

RPC PWANI – KATI YA WATUHUMIWA 10 WA MAKOSA YA KUBAKA/KULAWITI/MIMBA WATATU NI MADEREVA BODABODA

kaza

Kamanda wa polisi mkoani Pwani,Boniventure Mushongi,akikabidhi vizibao kwa baadhi ya madereva pikipiki(bodaboda)Mailmoja Kibaha baada ya kuzungumza nao kuhusiana na namna ya kukabiliana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia na ukatili,wa pili kutoka kushoto ni mkuu wa kitengo cha dawati la jinsia na watoto,Yusta Milinga .(picha na Mwamvua Mwinyi) Kamanda wa …

Read More »

Naibu Waziri Mavunde apokea tuzo aliyoshinda mjasiriamali Jenifa Shigole.

funda

 Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole aliyoshinda katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira …

Read More »

BREAKNEWS:SIMBA YAWATEMA VICENT ANGBAN NA FREDERIC BLAGNON

vincent-angban-simba-bongosoka

Breaknews klabu ya Simba imeamua kuachana na wachezaji wa kigeni kutoka Ivory Coast ambao ni kipa Vicent Angban na mshambuliaji aliyekuja kwa shangwe Frederic Blagnon. Uamuzi huo umefikiwa baada ya kamati ya usajili na ya utendaji ya Simba kukaa na kukubaliana kabla ya dirisha la usajili kufungwa, kesho. “Kweli hilo …

Read More »

Boeing:787 Dreamliner to become part of Air Tanzania fleet

tnz_kilimanjaro_497778994_7878_1_mr_1016small

SOURCE: http://boeing.mediaroom.com/news-releases-statements?item=129822#assets_117 787-8 is first ever wide-body order for ‘The Wings of Kilimanjaro’ Boeing and the United Republic of Tanzania have confirmed an order for one 787-8 Dreamliner, valued at $224.6 million at list prices. The aircraft will be operated by Air Tanzania, the flag carrier of Tanzania. Air Tanzania …

Read More »

WATUMISHI WA KARAKANA ZA TEMESA WAPATIWA MAFUNZO ELEKEZI

kara

              Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme – TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (aliyesimama) akifungua mafunzo elekezi kwa watumishi wa karakana za TEMESA juu ya mfumo wa utozaji gharama katika karakana za TEMESA pamoja na mfumo wa utoaji taarifa za kila mwezi, yanayofanyika katika ukumbi wa Karakana ya MT. …

Read More »