Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 15

Daily Archives: December 15, 2016

Ziara ya Mhe.Jenista Mhagama Wilayani Chalinze na Bagamoyo leo

bago

Soko la Magomeni ambalo limejengwa katika Wilaya ya Bagamoyo kwa ufazili wa programu ya miundombinu ya masoko,uongezaji thamani na huduma za kifedhaV ijijini(Mivarf) uliopo chini ya Ofisi ya Waziri Mkuu . Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.Jenista Mhagama akipitia ripoti ya utekelezaji wa miradi inayotekelezwa …

Read More »

PROF. MBARAWA: SERIKALI KUJENGA DARAJA KUBWA MKOANI MWANZA

mwanzo

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa (kulia), na Meneja wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA), mkoa wa Mwanza Eng. Fredinand Mishamo (kushoto), wakiingia katika Kivuko cha MV TEMESA wakati alipokagua kivuko hicho kinachotoa huduma kati ya Kijiji cha Luchelele na Irunda, mkoani Mwanza. Muonekano wa Kivuko …

Read More »

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WATUMISHI WA HALMSHAURI YA NGORONGORO

ngo1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na watumishi wa   serikali na Halmashauri  ya Wilaya ya  Ngorongoro uliopo  kwenye ukumbi wa halmashauri  hiyo iliyopo Wasso  Desemba 15, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya watumishi wa   serikali na  halmashauri   ya wilaya …

Read More »

KAMPUNI YA PENNYROYAL GIBRALTAR LIMITED YATILIANA SAINI NA KAMPUNI YA MCC OVERSEAS UJENZI WA MRADI WA HOTELI NA NYUMBA KATIKA KIJIJI CHA UTALII MATEMWE ZANZIBAR AMBER RESORT.

dsc_1312

    Mkurugenzi wa Mradi wa Ujenzi Kijiji cha Utalii Matemwe Zanzibar Pennyroyal Gibraltar Limited Zanzibar Amber Resort Mr. Saleh Mohammed Said akizungumza kabla ya kuaza kwa hafla hiyo ya utilianaji wa Saini ya Ujenzi wa Mradi huo na Kampuni ya MCC Overseas Ltd ya China, hafla hiyo ya utianaji …

Read More »

Kampuni kuendelea kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu

tb1

Wafanyakazi wa TBL wakisherehekea ushindi wa tuzo ya Mwajiri bora mwaka huu hivi karibuni Mkurugenzi wa ATE,Dk.Aggrey Mlimuka ,akimpongeza Mkurugenzi wa Raslimali Watu wa TBL Group,David Magese kutokana na ushindi wa tuzo ya mwajiri bora ………………………………………………………………………… Kampuni ya TBL Group imeeleza dhamira ya kuendelea kutoa ajira kwa watu wenye ulemavu …

Read More »

Just how to Include an Appendix

There are a lot of individuals firms out there which provide essay providers. There are several essay writing services online. You will make Congratulations, we’re a custom term papers writing service you truly have now been seeking.

Read More »

MAJALIWA AWASILI LOLIONDO KUENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA ARUSHA

sh10

Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akitazama kazi mbalimbali za mikono hasa mapambo yanayotengenezwa na wanawake wa kimasai katika kijiji cha Ololosokwan katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wakati alipotembelea Kituo cha Mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni  kijijini  hapo Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, …

Read More »

MAJALIWA AWASILI LOLIONDO KUENDELEA NA ZIARA YA MKOA WA ARUSHA

7

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama kazi mbalimbali za mikono hasa mapambo yanayotengenezwa na wanawake wa kimasai katika kijiji cha Ololosokwan katika tarafa ya Loliondo wilayani Ngorongoro wakati alipotembelea Kituo cha Mafunzo ya kazi za mikono na utamaduni  kijijini  hapo Desemba 15, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wananchi wa …

Read More »

WAENDESHA BODA BODA WAONYWA KUTUMIWA NA WANASIASA

chiga

Na. Ahmad Mmow, Nachingwea. Waendesha pikipiki za kusafirisha abiria (bodaboda) wilayani Nachingwea wameaswa wasikubali kutumiwa na wanasiasa nakufanywa ngazi ya kufikia malengo yao yakisiasa.   Wito huo ulitolewa hivi karibuni na mkurugenzi mtendaji wa taasisi isiyo ya kiserikali ya kupambana na umasikini na utunzaji mazingira (APEC), Respicius Timanywa.Wakati wa hafla …

Read More »

Looking After Dogs With Diabetes

Documents may be written for several factors. Essays and term papers should be developed. They must be written using an authoritative words. In the end, essays and term papers should be revolutionary. Students are frequently baffled about what’s anticipated in a article termpaper. Too many free college documents are truly …

Read More »