Monday , January 21 2019

Home / 2016 / December / 16

Daily Archives: December 16, 2016

MASHARTI LIGI KUU YA VODACOM DURU LA PILI

wamba

Duru la Pili la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara inatarajiwa kuanza kesho Jumamosi Desemba 17 kwa michezo minne kabla ya michezo mingine minne kufanyika siku ya Jumapili Desemba 18, mwaka huu. Katika mechi za kesho, Mabingwa watetezi wa taji hilo, Young Africans SC ya Dar es Salaam itakuwa mgeni …

Read More »

How to Define a Document in APA Format

Edit Post Just how to Produce Your Own Personal Performance Assessment Composing your own effectiveness evaluation is really as producing your final school examinations, as critical. Your job growth depends primarily on how you present and could articulate your efficiency assessment.

Read More »

LUIZ SUAREZ ACHUKUA MAAMUZI MAGUMU BARCELONA.

Luis Suarez

Mshambuliaji wa Barcelona Luis Suarez amekubali kusaini mkataba mpya na vigogo hao wa soka nchini Uhispania unaofikia thamani ya Euro milioni 167 ikijumuisha kipengele cha kumuuza kwa timu itakayomuhitaji. Mchezaji huyo wa zamani wa Liverpool amefunga magoli 97 na kushinda vikombe nane tokea alipohamia Nou Camp Julai 2014 kwa ada …

Read More »

AZAM FC YATAMBULISHA WACHEZAJI WAPYA CHAMAZI.

kikosi-aza

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, leo imetambulisha nyota wapya sita waliosajiliwa kwenye usajili wa dirisha dogo uliofungwa usiku wa kuamkia leo. Zoezi hilo lilihudhuriwa na viongozi wakuu wa Azam FC walikuwemo kwenye zoezi hilo, wakongozwa na Ofisa Mtendaji Mkuu, Saad Kawemba, Meneja Mkuu Abdul Mohamed, Meneja …

Read More »

MGOMBEA MTEULE JIMBO LA DIMANI ZNZ ATOA YA MOYONI.

ali-juma-ali

Na Is-haka Omar, Zanzibar. MGOMBEA mteule wa Tiketi ya CCM jimbo la Dimani Unguja, Juma Ali Juma amewashukuru na  kuwapongezi viongozi wa ngazi zote za chama hicho kwa jinsi walivyoendesha mchakato wa uteuzi wake. Mteule huyo ambae alitangazwa kati kati wa wiki hii baada ya kikao cha Kamati Maalum ya …

Read More »

RC NCHIMBI ALIPONGEZA SHIRIKA LA NYUMBA (NHC).

pic-6

Mkuu  wa Mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi amelishukuru Shirika la Nyumba  Taifa (NHC) kwa msaada wa mifuko ya saruji 10, kofia za bati 20, mabati 90 ya geji 28 vyote vikiwa na thamani ya zaidi ya shilingi 2.6 milioni ukiwa ni msaada kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa bweni …

Read More »

MWILI WA BRIGEDIA JENERALI MHAIKI WAAGWA RASMI

3

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa Dkt.Hussein Ali Mwinyi  (kushoto) na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania Jenerali Davis Mwamunyange (kulia) wakati Rais alipofika leo katika Hospitali ya Jeshi la Wananchi JWTZ Lugalo …

Read More »

WAZIRI MKUU AMSIMAMISHA KAZI MWEKAHAZINA WA WILAYA YA BAHI

4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akiwasalimia wananchi wa kijiji cha Londoluo  waliomsimamisha akiwa njiani kutoka Loliondo kwenda Longido  mkoani Arusha Desemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri  wa Maliasili na Utalii, Profesa Jumanne Maghembe  akiwasalimia  watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Longido kabla ya kumwalika Waziri Mkuu, Kasim …

Read More »

WALIOUZA KIWANJA CHA SHULE WACHUKULIWE HATUA-MAJALIWA

unnamed

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na watumishi wa   serikali na Halmashauri  ya Wilaya ya  Ngorongoro uliopo  kwenye ukumbi wa halmashauri  hiyo iliyopo Wasso  Desemba 15, 2016.  Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Wilaya ya …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU HALI YA UHALIFU KWA KIPINDI CHA JANUARI – DESEMBA, 2016.

capture

Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa matukio …

Read More »

Prof. Faustin Kamuzora akabidhiwa ofisi

staaf

Katibu Mkuu Mstaafu Bw. Mbarak Abdulwakil (kushoto) akimkabidhi Ofisi Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Prof. Faustin Kamuzora. Makabidhiano hayo yamefanyika Mtaa wa Luthuli jijini Dar es Salaam leo. Awali Prof. Faustine Kamuzora alikuwa Katibu Mkuu – Mawasiliano.

Read More »

SERIKALI ILIVYOJIDHATITI KUIMARISHA MAADILI YA UTUMISHI WA UMMA.

index

Na Beatrice Lyimo -MAELEZO-DAR ES SALAAM. UKIUKWAJI wa maadili ya Viongozi wa Umma na Mgongano wa maslahi katika shughuli za umma ni miongoni mwa changamoto zinazoikumba nchi nyingi duniani. Changamoto hizo zinapishana kati ya nchi na nchi ikiwemo ukubwa wa tatizo, madhara yake pamoja na mifumo mbalimbali iliyowekwa katika kukubaliana …

Read More »

MKURUGENZI WA JAMII FORUM ASOMEWA MASHTAKA MAHAKAMA YA KISUTU LEO

1

Mwanzilishi na MKurugenzi wa Jamaii Forum Bw. Maxence Mello akitoka mahakamani mara baada ya kusomewa mashtaka yake Mello amekosa  dhamana  katika kosa moja baada ya kukosa mdhamini mmoja mwenye sifa  , Hata hivyo katika makosa mawili mengine yanayomkabili alipata dhamana Bw. Mello amesomewa mashtaka hayo leo  kwenye mahakama ya Hakimu …

Read More »

Serikali Imejipanga Kuhakikisha Sekta ya Kilimo Inatoa Mchango Zaidi katika kufikia nchi ya Uchumi wa Viwanda

index

Na. Immaculate Makilika- MAELEZO SERIKALI kupitia Wizara ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi imesema kuwa imeandaa mikakati mbalimbali  ili kuhakikisha Sekta ya Kilimo  inatoa mchango zaidi katika kufikia nchi ya uchumi wa kati. Akizungumza Jijini Dar es Salaam jana katika kipindi cha TUNATEKELEZA kinachoandaliwa kwa ushirikiano wa Idara ya Habari – …

Read More »