Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 17

Daily Archives: December 17, 2016

Mkurugunzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Atunukiwa PhD

mark

 Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO Dkt. Hassan Abbass akikitunukiwa Shahada yake ya Uzamivu ya Mawasiliano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Agustino Tanzania (SAUT) wakati wa Mahafali 16 ya chuo hicho leo Jijini Mwanza.  Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO, Dkt. Hassan Abbass (wanane kutoka kushoto …

Read More »

Wataalamu wa sekta ya Elimu wakutana na kuchambua sera na changamoto

elimu

Mkuu wa Idara ya Elimu kutoka Wizara ya. Elimu, Sayansi, Teknolojia na Ufundi, Sylvia Chinguwile (kulia) akifafanua jambo katika warsha hiyo. ___________________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) na Mhariri Mkuu wa Thehabari.com. Mail address:- mushi@thehabari.com/ jomushi79@yahoo.com/ info@thehabari.com Mobile:- 0717 030066 / 0756 469470 Web:- www.thehabari.com http://joemushi.blogspot.com

Read More »

YANGA YAILAZA JKT RUVU NA KUISHUSHA SIMBA KILELENI.

suva

Na.Alex Mathias,Dar es salaam. Mabingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara wameanza vema mzunguko wa pili baada ya kuwatandika wanajeshi  JKT Ruvu Stars jumla ya magoli 3-0 mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Kipindi cha kwanza kilianza kwa timu zote kushambuliana kwa zamu huku zikisomana …

Read More »

MAJALIWA AHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA USA RIVER

rive

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ngaraseru- Usa River wilayani Arumeru Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)   Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya kikundi cha sana cha Chuo Kikuu cha Makumira cha Arusha baada ya kuwasili kwenye  uwanja wa Ngaraseru …

Read More »

NAMNA YA KUEPUKA MATUMIZI MAKUBWA YA FEDHA KIPINDI CHA SIKUKUU

fedha_9623f

Na Jumia Travel Tanzania Kwa kawaida kipindi cha sikukuu ni wakati ambao watu wengi huwa na matumizi makubwa ya fedha kwa ajili ya kusherehekea pamoja na wapendwa wao, famila, jamaa na marafiki. Jumia Travel (www.travel.jumia.com) ingependa kukushauri kwamba ni vema ukawa na mpango madhubuti unaoeleweka wa namna gani pesa yako …

Read More »

WASIOENDELEZA MASHAMBA ARUMERU KUNYANG’ANYWA-MAJALIWA

pikaaaa

WAZIRI MKUU, Kassim Majaliwa amesema Serikali itawanyang’anya ardhi wamiliki wote wa mashamba makubwa wilayani Arumeru ambao hawajayaendeleza kwa sababu wamekiuka mkataba wa umiliki. Amesema Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mheshimiwa William Lukuvi atakuja mkoani Arusha kwa ajili ya kufanya mapitio ya mashamba yote makubwa ambayo hayajaendelezwa na …

Read More »

ZIARA YA MAJALIWA HALMASHAURI YA ARUSHA

ngoma

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngoma ya wanawake wa kimasai baada ya kuzindua mradi wa maji wa kijiji cha Ondenderet wilayani Arusha Desemba 27, 2016. kushoto ni Mkuu wa mkoa wa Arusha Mrisho Gambo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipiga ngoma ya msanja iliyokuwa …

Read More »

MNGEJA AMPA POLE SELELII KWA KUFIWA NA MKEWE

selelii

Mh Khamis Mgeja akiwa na Mbunge Mstaafu wa jimbo la Nzega Lucas Selelii alipokwenda kumpa pole Mbunge huyo aliyefiwa na mke wake hivi karibuni maeneo ya uzunguni mjini Nzega ambapo Selelii alitumia nafasi hiyo kumshawishi Mgeja arudi CCM hata hivyo Mgeja alisema anamheshimu  sana Selelii kama kaka yake hivyo ameomba …

Read More »

NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA MICHEZO MBALIMBALI WILAYANI KARATU.

ria4

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga baruti juu kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya michezo mbalimbali yanayofanyika Wilayani Karatu (Karatu Sports Festival). Wanariadha wanaoshiriki mashindano ya michezo mbalimbali yanayofanyika Wilayani Karatu wakijandaa kuanza kukimbia wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo uliofanywa na Waziri wa …

Read More »

Lyon vs Azam FC kesho

zab

BAADA ya maandalizi ya takribani wiki tatu, hatimaye Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, kesho inatarajia kufungua pazia la mzunguko wa pili wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) kwa kukipiga dhidi ya African Lyon, mchezo utakaofanyika Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam saa 10.00 jioni. …

Read More »

MAJALIWA AANZA ZIARA WILAYANI ARUMERU NA KUZUNGUMZA NA WATUMISHI

zara

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa serikali na Halmashauri ya wilaya ya Arumeru kwenye ukumbi wa halmashauri ya wilaya ya Arusha  Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Baadhi ya watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Arumeru wakimsikiliza waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye …

Read More »

KAMPUNI YA NAMAINGO KUGAWA SUNGURA 600 KWA WAJASIRIAMALI DAR

sugu

 Mkurugenzi wa Kampuni ya Namaingo Business Agency, Biubwa Ibrahim (kulia0 na Meneja Mradi wa Sungura wa kampuni hiyo, Amos Misinde wakionesha kwa wanahabari, Dar es Salaam jana,  baadhi ya sungura 600 zitakazogawiwa leo kwa Wajasiriamali 2000. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG) Na Richard mwaikenda KAMPUNI ya Namaingo, …

Read More »

Farid: Azam FC haijanibania kwenda Hispania

faridiiiiiiiiiiiiii

WINGA wa kushoto wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Farid Mussa, ameweka wazi kuwa mabingwa hao hawajambania kwenda nchini Hispania kucheza soka la kulipwa kama ilivyoripotiwa na vyombo mbalimbali vya habari. Kwa kuudhihirishia umma, Mussa leo amejitokeza hadharani na kupinga madai hayo akidai kuwa muda wowote …

Read More »

WAZIRI MHAGAMA AKAGUA MAENDELEO YA UJENZI WA MAKAZI MAPYA YA WAZIRI MKUU NA UKARABATI WA NYUMBA ZA WATUMISHI WAKE MKOANI DODOMA

home-oo

Nyumba za watumishi wa Ofisi ya Waziri Mkuu zikiwa katika hatua za mwisho kukamilikana tayari kwa kutumiwa na watumishi hao kuanzia mwanzoni wa mwakani.Ukarabati wa nyumba hizi unasimamiwa na Mamlaka ya Ustawishaji wa makao makuu (CDA) Dodoma. Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Vijana,Ajira na Walemavu Mhe.JenistaMhagama akizungumza na …

Read More »

PROF. MBARAWA ATOA MAAGIZO KWA WAKUU WA WILAYA

prof

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na wakazi wa kijiji cha Kisorya Wilayani Bunda, mkoani Mara wakati alipotembelea na kukagua kivuko cha MV Ujenzi kinachotoa huduma kati ya Rugenzi Ukerewe na Kisorya wilayani hapo.                                              Mbunge wa Mwibara Mhe. Kange Rugora (wa pili kushoto), akiongea na …

Read More »

BARABARA YA MOROGORO –KISAKI KUJENGWA KWA LAMI.

lami

Mwenyekiti wa wa kijiji cha Mngazi, mkoani Morogoro akitoa maoni kwa niaba ya wananchi wa kijiji hicho kwa Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani, wakati alipokagua barabara ya Morogoro- Kisaki (KM 133) ambayo inatarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano …

Read More »