Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 18

Daily Archives: December 18, 2016

Kampuni JUNACO yazindua kifaa cha kisasa cha kuzima moto Dar.

1

 George Michael Mtaalam kutoka kampuni inayotengeneza vifaa vya kuzima moto FirePro ya Cyprus akionyesha moja ya kifaa  cha kuzima moto kinachoweza kufungwa katika mitambo mbalimbali chenye uwezo wa kuzima moto katika hatua za awali kabisa kabla ya kuwa mkubwa wakati alipokuwa akielezea ubora wa vifaa hivyo katika kupambana na majanga …

Read More »

BARABARA YA LOLIONDO-MTO WA MBU KUJENGWA KWA KIWANGO CHA LAMI

lewa

  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akizungumza na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kuhusu utekelezaji wa miradi ya miundombinu alipowatembelea ofisini kwao. Muonekano wa barabara ya Changarawe ya Loliondo – Mto wa Mbu KM 218 inayotarajiwa kujengwa kwa kiwango cha lami, mkoani Manyara Mkazi …

Read More »

LUKUVI ATUA MKOANI MARA KUTATUA MIGOGORO YA ARDHI

lubi

Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akiongea na wananchi walio na migogoro ya ardhi wakati wa ziara zake mikoani. Muonekano wa Halmashauri ya Musoma Mjini. ………………. Na. Hassan Mabuye (Kitengo cha Mawasiliano – Wizara ya Ardhi) Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. …

Read More »

SIMBA YAREJEA KILELENI MWA LIGI KUU,YAITANDIKA NDANDA FC.

aqqwwwwwwwwwwwww

Na.Alex Mathias,Mtwara Timu ya Simba imerudi kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya kupata ushindi wa goli 2-0 dhidi ya Ndanda Fc mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Nangwanda Sijaona mkoani Mtwara. Kipindi cha kwanza kilikuwa kigumu kwa pande zote mbili huku kosa kosa ziliendelea kutawala katika mchezo …

Read More »

NI KILIMANJARO WARRIORS, STARLETS

taifau15

Timu za Taifa za umri chini ya miaka 23 kwa wanaume na wanawake ambazo hazikuwa na majina sasa zinaitwa Kilimanjaro Warriors (wanaume) wakati wanawake ni Kilimanjaro Starlets. Uteuzi wa majina hayo umefanywa na Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) katika kikao chake kilichofanyika jana (Desemba …

Read More »

NASSARI ASIFU UTENDAJI WA SERIKALI YA AWAMU YA TANO

picnassari

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki, Mheshimiwa Joshua Nassari amepongeza na kusifu  jitihada kubwa zianazofanywa na Serikali ya Awamu ya Tano katika kuwaletea maendeleo wananchi wa maeneo mbalimbali nchini wakiwemo wa jimbo lake. Kufuatia hatua hiyo Mheshimiwa Nassari ameahidi kushirikiana bega kwa bega na Serikali ili kuhakikisha maendeleo yanakuwa endelevu. …

Read More »

WAZIRI MKUU AUNDA TUME YA KUCHUNGUZA TAARIFA ZA UHAMISHO WA FARU JOHN

gambo

WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa amesema Serikali imeunda tume kuchunguza taarifa inayoelezea utaratibu uliotumika kumhamisha faru John kutoka Hifadhi ya Ngorongoro kwenda Sasakwa Black Rhino Sanctuary iliyoko kwenye Hifadhi ya Grumeti Serengeti pamoja na kutafuta kaburi la faru huyo. Amesema timu hiyo ya wataalamu tayari imeshafika Sasakwa  VIP Grumet kwa ajili …

Read More »

TIMU YA KIJITONYAMA VETERANS WAFANYA MKUTANO WA KUPATA VIONGOZI WAPYA

kinyo

 TIMU ya Kijitinyama Veterans yenye maskani yake Kijitonyama, leo imefanya uchaguzi mkuu na kupata viongozi wapya wa kuingoza timu hiyo kwa kipindi cha miaka mitano.   Nafasi zilizokuwa zikigombewa ni tisa, ambapo katika nafasi ya Mwenyekiti aliyekuwa akishikilia nafasi hiyo muda uliopita, Lupyana Michael, ameendelea kubaki katika nafasi hiyo baada …

Read More »

TGNP Mtadao yawakutanisha wake za viongozi kuzungumzia Jamii

jamiw

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Lilian Liundi akizungumza kwenye hafla ya chakula cha jioni katika Hoteli ya Protea jijini Dar es Salaam iliyowakutanisha baadhi ya wake za viongozi, viongozi wa Dar es Salaam na wanaharakati ngazi ya jamii. ___________________________________________________________________________________ Joachim Mushi, Mwenyekiti wa Tanzania Bloggers Network (TBN) …

Read More »

NDIKILO- JAMII ISHIRIKIANE NA POLISI KUPAMBANA NA UHALIFU PWANI

pwani

Na Mwamvua Mwinyi, Pwani MKUU wa mkoa wa Pwani,mhandisi Evarist Ndikilo ,amewataka wananchi kushirikiana na jeshi  la  polisi ,kuwafichua watu wasio wema ili kupambana na uhalifu mbalimbali ikiwemo mauaji,uporaji na kitumia silaha. Aidha ametoa rai kwa jeshi la polisi mkoani Pwani,kufanya kazi kwa uadilifu ili kuhakikisha wanasimamia jukumu lao la …

Read More »

WAKULIMA WATAKIWA KUTUMIA PEMBEJEO ASILIA KUKUZA KILIMO HAI

kilimo_kwanza-2010

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Wataalamu wa kilimo wamewataka wakulima mkoani Morogoro kutumia pembejeo za asili ili kuepuka kemikali zenye sumu zinazotokana na pembejeo za viwandani ambazo zinaathiri usalama wa chakula. Rai hiyo ilitolewa hivi karibuni mjini Morogoro katika mafunzo ya siku moja yaliyoandaliwa na Shirika la PELUM Tanzania wakishirikiana …

Read More »

SUALA LA UKEKETAJI MKOANI MARA BADO NI PASUA KICHWA.

uke

Baadhi ya wasichana wakitoka kukeketwa wilayani Tarime mkoani Mara, kumbuka mwezi Disemba, kila baada ya miaka miwili, ni msimu wa ukeketaji na tohara kwa baadhi ya Koo za Wakurya. #BMGHabari Pamoja na juhudi za Serikali, Wanaharakati na Watetezi wa haki za binadamu (Wanawake na Wasichana) katika kuhakikisha kwamba suala la …

Read More »

TFF YAPATA MKURUGENZI MPYA WA FEDHA

download

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Bi. Aziza Badru Mwanje kuwa Mkurugenzi mpya wa Fedha na Utawala kuanzia Januari Mosi, 2017.  Uteuzi huo umefanywa leo (Desemba 17, 2017) na Kamati ya Utendaji ya TFF kufuatia mchakato wa usaili uliohusisha waombaji wengine wawili na kufanywa na Bodi ya Ajira ya …

Read More »

HOJA MEYA MPYA KIGAMBONI

kigano

    Meya mteule wa manispaa ya Kigamboni mhe. Maabadi Sulemani Hoja aliye simama akitoa neno la shukrani  baada ya kuchaguliwa kuwa Meya.   Na John Luhende mwambawahabari Uchaguzi wa Meta na Naibu Meya wa manispaa ya Kigamboni  umefanyika kwa amani na utulivu ambapo wagombea  wa chama cha Mapinduzi CCM …

Read More »

PROF. MBARAWA AAGIZA BARABARA YA MAKUTANO-NATA KM50 KUKAMILIKA

mbu

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maagizo kwa Mhandisi Mshauri Eng. Domicus Mapunda wa Kampuni ya Ujenzi ya Mbutu Bridge JV inayojenga barabara ya Makutano-Nata KM 50 kwa kiwango cha lami mkoani Mara wakati alipokagua mradi huo. Mhandisi Mshauri Eng. Domicus Mapunda wa Kampuni ya Ujenzi …

Read More »

MHANDISI NGONYANI AMUAGIZA MKANDARASI KUMALIZA UJENZI MAPEMA

china

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani (Wa kwanza kushoto) akipata maelezo ya ramani ya Ujenzi wa Daraja la Kilombero kutoka kwa Mkandarasi wa kampuni ya Rv associates India& AES Tanzania. Daraja hilo lipo katika barabara kuu ya Ifakara –Mahenge Mkoani Morogoro. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi …

Read More »