Wednesday , January 16 2019

Home / 2016 / December / 19

Daily Archives: December 19, 2016

AGGREY&CLIFFORD YASAIDIA WATOTO WENYE MAZINGIRA MAGUMU

aggrey-msaada-4

Wafanyakazi wa Aggrey&Clifford wakiwasili katika kituo cha Sadeline Mkurugenzi wa Uendeshaji wa kampuni ya Aggrey&Clifford,Cobus van Zly (kulia) na Mkurugenzi wa huduma za Matangazo,Oliver Mutere (katikati) wakikabidhi baadhi ya zawadi kwa watoto wenye mazingira magumu kwenye kituo cha Sadeline kilichopo Mbezi Juu wilayani Kinondoni kwa Msimamizi wa kituo hicho,Sarah Kitainda …

Read More »

YANGA YATUPWA KUNDI LA KIFO,KOMBE LA MAPINDUZI ZANZIBAR

mapi

Ratiba ya Michuano ya Kombe la Mapinduzi imetolewa na chama cha soka visiwani Zanzibar ambayo yanatarajiwa kuanza Desemba 30 ,2016 huku Mabingwa watetezi wa Ligi kuu ya Tanzania bara Yanga imetupwa kundi B linaloitwa ni la kifo. Mwaka jana Yamga ilitolewa katika hatua ya nusu Fainali baada ya kufungwa goli …

Read More »

PROF. MBARAWA: ATOA TAHADHARI UHARIBIFU WA MIUNDOMBINU

rawa

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa, akitoa maelekezo kwa Mhandisi Mshauri wa Kampuni ya H.P Gauff, Eng. Kini C. Kuyonza (wa tatu kulia), inayosimamia mradi wa ujenzi wa barabara ya Mela-Bonga yenye urefu wa KM 88.8. wakati alipokagua barabara hiyo, wilayani Babati. Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na …

Read More »

Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Pemba awaagiza JKU kuanzisha kilimo mbadala badala ya kutegemea mpunga

Na Masanja Mabula –Pemba MKUU  wa Mkoa wa Kaskazini Pemba  Omar Khamis Othman amewaagiza  wapiganaji wa Jeshi la Kujenga Uchumi (JKU) kanda ya Pemba kuanzisha  kilimo mbadala ili kujiongezea kipato na kuacha kutegemea kilimo cha zao la mpunga pekee . Alisema , ni vyema jeshi hilo kujikita katika kilimo cha …

Read More »

viongozi wa vilabu Kisiwani Pemba washauriwa kuwaendeleza makocha wao

Na Masanja Mabula –Pemba .. KOCHA Mkuu wa Klabu ya Kizimbani United Bakar Ali Kilambo , amewashauri viongozi wa vilabu Kisiwani Pemba kuwalipia  gharama za masomo makocha ambao wameonyesha nia ya kujiendeleza ili baadaye watumnike katika kuzifundisha vilabu husika . Akizungumza na mwandishi wa habari hizi Kilambo alisema , baadhi …

Read More »

MH. LUHAGA MPINA ATEMBELEA KIWANDA CHA PEPSI

Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mh.Luhaga Mpina (Kulia) akifurahia Jambo na Meneja Mahusiano wa kiwanda cha Pepsi bw,Alexander Nyirenda alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Kiwalani Temeke Jijini Dar es salaaam mapema hii leo.         Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Raisi Muungano na Mazingira …

Read More »

TPDC YATOA SHILIONI MILIONI 10 WAKAZI WA PUGU-MAJOHE.

tp4

Diwani wa kata ya Majohe Bw.Waziri Mwanavyale akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa msaada wa shilingi milioni 10 toka kwa Shirika la Petroli Nchini (TPDC) kwa ajili ya kujenga Ofisi ya Serikali ya Mtaa.Kulia kwake ni Kaimu Mkurugenzi Shirika la Maendeleo ya Petroli nchini (TPDC) Mhandisi Kapulya Musomba na Kaimu …

Read More »

WAISLAMU WATAKIWA KUSOMESHA WATOTO WAO

gab1

Na Mahmoud Ahmad Arusha Waislamu wametakiwa kusomesha watoto wao ili kuweza kuendana na mifumo ya kielimu kwa nyakati zilizopo na zijazo kwani vijana wa sasa wamekuwa na ulimwengu wa haraka haraka na umekuwa unabadilisha lugha kila mara Kauli hiyo imetolewa na mjumbe wa baraza la ulamaa bakwata taifa sheikh Hassan …

Read More »

MAKAMU WA RAIS AKUTANA NA VIONGOZI WA CHAMA CHA WAFANYABIASHARA WA CHINA JIJINI DAR E SALAAM

1

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa Chama Cha Wafanyabiashara wa China nchini Tanzania ambao walimtembelea ofisini kwake leo.                                        ……………………………………………………. Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amewakaribisha wawekezaji kutoka …

Read More »

KONGAMANO LA VILABU VYA UMOJA WA MATAIFA LIMEFANYIKA TANGA

hapa

Tanga, WANAFUNZI wa Vilabu vya Umoja wa Mataifa kutoka  vyuo Vikuu na Shule za Sekondari na Msingi kutoka Mikoa mbalimbali nchini wamekutana Tanga kujadili mambo mbali mbali yahusuyo shughuli za Umoja wa Mataifa. Wanafunzi hao walijadili mambo hayo yakiwemo  Demokrasia na Utawala bora Barani Afrika pamoja na changamoto za Raia …

Read More »

RAIS WA TCCIA NDIBALEMA MAYANJA ATEMBELEA BENKI YA NMB

tcc

 Rais wa TCCIA Ndibalema Mayanja akibadilishana nyaraka na Mkurugenzi Mkuu wa NMB Bi Eneker wakati Rais wa TCCIA na ujumbe wake ulipofanya ziara kwenye bank ya NMB. Ziara hiyo yenye lengo la kukuza uhusiano na fursa za biashara kati ya NMB na TCCIA iliwashirikisha pia Makamu wa Rais wa TCCIA …

Read More »

ATHARI ZA UHARIBIFU WA MAZINGIRA

uha

 Mwendesha pikipiki maarufu kwa jina la bodaboda akiwa amejipumzisha katika eneo lililoathiriwa na uharibifu wa mazingira unaofanywa na binadamu  katika kijiji cha Ormapinu, Arusha Desemba 17, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Ngombe na mbuzi wakiwa wamesongamana chini ya mti pekee uliokuwepo  katika eneo lililopo  karibu na Shule ya …

Read More »

Wasanii wapewa warsha juu ya masuala ya Ukombozi wa Mwanamke

gpn

Mkurugenzi Mtendaji wa Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP), Bi. Lilian Liundi (kulia) akifungua Warsha ya Wasanii Juu ya Masuala ya Ukombozi wa Mwanamke Kimapinduzi hasa kwa kuangalia vipaumbele vya TGNP katika sekta ya Afya, Maji, Elimu, Kilimo na Viwanda. Warsha hiyo iliyofanyika jijini Dar es Salaam iliandaliwa na TGNP Mtandao. …

Read More »

WATOTO KLABU YA JWTZ YA LUGALO GOLF CLUB WAPIMANA UWEZO

habiba

MSHINDI WA MASHINDANO MAALUM YA WATOTO YALIYOANDALIWA NA KLABU YA GOLF YA JWTZ YA LUGALO HABIBA LIKULI AKIPIGA MPIRA HUKU WACHEZAJI WENZIE WAKIMUANGALIA KATIKA HEKAHEKA ZA MASHINDANO HAYO YALIYOFANYIKA MWISHO WA WIKI  JIJINI DAR ES SALAAM. (Picha Na Luteni Selemani Semunyu) WASHIRIKI WA MASHINDANO MAALUM YA WATOTO WAKIHAKIKI MATOKEO YAO …

Read More »