Friday , January 18 2019

Home / 2016 / December / 20

Daily Archives: December 20, 2016

MAMLAKA YA MAPATO NCHINI (TRA) YAWAASA WASANII WA FILAMU NA MUZIKI KURASIMISHA KAZI ZAO.

img_5334

Katibu wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw.John Kitime kulia  akizungumza katika semina iliyoandaliwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) juu ya Elimu ya Mlipa Kodi.Kulia kwake ni Rais wa Shirikisho la Filamu Nchini (TAFF) Bw.Simon Mwakifamba. Viongozi mbalimbali kutoka COSOTA,BASATA,Bodi ya Filamu,Shirikisho la Filamu Nchini(TAFF) na Shirikisho la Muziki Tanzania …

Read More »

MATOLA KUOKOA JAHAZI LA NDANDA FC.

matolaa

Na.Alex Mathias. Uongozi wa klabu ya Ndanda FC ya mkoani Mtwara ipo katika mazungumzo na aliyekuwa kocha mkuu wa timu ya Geita Gold Sport na Simba Selemani Matola kwa ajili ya kuongeza nguvu kwenye benchi la ufundi ambalo linaongozwa na kocha mkuu Hamim Mawazo. Akizungumza na FULLSHANGWE,Matola amesema kuwa mazungumzo …

Read More »

TTCL KUANZA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA

ttc

Mhandisi wa Kampuni ya Simu Tanzania (TTCL), Paul Magembe akitoa maelezo kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, kuhusu mitambo ya kutolea huduma za kifedha iliyopo katika ofisi za Kampuni hiyo mkoani Dodoma.  Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa, akitoa ufafanuzi kwa baadhi ya …

Read More »

MAHAFALI YA 28 YA SEKONDARI YA AL- HARAMAIN NA YA KWANZA KWA CHUO CHA UALIMU KWA WALIMU WA NGAZI YA CHETI WA SHULE ZA MSINGI

file009

Vijana wa Madrasat Muhajrina ya Kinondoni wakiwaongoza wahitimu kwa kaswida, kuelekea kwenye viwanja vya mahafali, Sekondari na Chuo cha Ualimu cha Al Haramain jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Vijana wa Madrasat Muhajrina wakitumbuiza kwa kaswida, wakati wakiwaongoza wahitimu kuelekea kwenye viwanja vya mahafali. Mgeni rasmi katika mahafali ya 28 ya Shule …

Read More »

LEMA ARUDI TENA MAHABUSU

tena-lema

Na mahmoud Ahmad Arusha MAHAKAMA kuu kanda ya Arusha, imetoa muda  wa siku  kumi kwa upande wa utetezi wa kesi ya kumyima dhamana mbunge waArusha, Godbless Lema, kuwasilisha kusudio la kuomba kuongezewa muda wa kukata rufaa ili aweze kupewadhamana. Uamuzi huo umetolewa leo na jaji Dakta Modesta Opiyo wakati akiamua …

Read More »

Morogoro wapokea kompyuta za Bayport kwa shangwe

moro

Meneja Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Ngula Cheyo, kushoto, akimkabidhi moja ya kompyuta sita zilizotolewa na Taasisi yao kwa ajili ya kuusaidia Mkoa wa Morogoro katika vifaa vya ofisini ili kurahisisha utendaji kazi. Anayepokea ni Mkuu wa Mkoa Morogoro, Mheshimiwa Dkt Stephen Kebwe, leo mkoani Morogoro. Picha zote …

Read More »

MAHAKAMA YAWAPA SIKU KUMI MAWAKILI WA LEMA

mema

Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema akiteta jambo na mkewe Neema baada ya mahakama kumalizika leo.Picha na Vero Ignatus Blog.  Na.Vero Ignatus,Arusha     Jaji wa Mahakama Kuu Kanda ya Arusha Dkt.Modesta Opiyo  amewapa siku kumi(10)mawakili wa mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema wawe wamewasilisha notisi ya kukata rufaa dhidi …

Read More »

Controlling the College Heap and also the Workload

Do My Assignment College There are several reasons for picking m a reputable on-line custom writing service to purchase composition on-line For instance let’s say I need to generate a college student persona for a brief narrative I’m writing. All these guide should be mentioned this in condition of the …

Read More »

Waajiri waagizwa kuwasilisha makato ya Fidia kwa Wakati

3

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mh. Jenista Mhagama akiongea na wadau mbalimbali (hawapo pichani) kabla ya uzinduzi wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi uliofanyika  jijini Dar es Salaam leo (jana). (Picha na Benjamin Sawe-Maelezo). Waziri wa  Nchi, Ofisi ya Waziri …

Read More »

JAJI MKUU ZIARANI MKOA WA RUKWA

index

Na Lydia Churi-Mahakama, Rukwa Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman amesema Mahakama ya Tanzania inatoa kipaumbele katika eneo la utoaji wa haki kwa kuwa ndiyo msingi wa wananchi kupata haki sawa na kwa wakati. Akizungumza katika ziara yake ya kikazi leo mjini Sumbawanga mkoani Rukwa, Jaji Mkuu alisema …

Read More »

RAIS NA MWENYEKITI WA CCM TAIFA DKT. MAGUFULI AKUTANA NA VIONGOZI WAPYA WA CHAMA ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI NA DC MTEULE WA UBUNGO

cham2

Mwenyekiti wa CCM Taifa Rais Dkt John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa Wilaya ya Ubungo Mteule Mhe. Kisare Makori akishuhudiwa na viongozi wapya wa CCM aliowateua hivi karibuni. Kutoka kulia ni Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM Humphrey Polepole, Katibu NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa  Kanali Ngemela Eslom Lubinga na Naibu Katibu Mkuu …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI JUU YA KUKAMATWA KWA MTUHUMIWA WA UTAPELI

index

Jeshi la Polisi nchini limefanikiwa  kumkamata mtuhumiwa wa utapeli anayejulikana kwa jina la  Wilfred Masawe (36) , Kabila mchaga na  mkazi wa  Buza, Temeke jijini Dar es Salaam. Mtuhumiwa huyo alikuwa akitumia mbinu mbalimbali kutapeli zikiwemo kujitambulisha kama kiongozi wa serikali kwa kutumia mtandao wa Whatsapp,  huku akieleza kuwa yupo …

Read More »

JUMAA AUNGANA NA WAKAZI WA KIJIJI CHA BOKO

jumqqq

Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha MBUNGE wa jimbo la Kibaha Vijijini,mkoani Pwani,Hamoud Jumaa ,ameungana na wakazi wa kijiji cha Boko kata ya Boko,kuanza ujenzi wa maabara ya zahanati itakayosaidia kuondokana na tatizo la kukosa huduma ya vipimo mbalimbali vya kiafya. Aidha mbunge huyo amekamilisha ziara yake ya mwezi mmoja jimboni humo,ambayo ilikuwa …

Read More »

WASANII WARASIMISHE KAZI ZAO KUONGEZA PATO LAO NA TAIFA.

ana

NA BEATRICE LYIMO NA GEORGINA MISSAMA- MAELEZO-DAR ES SALAAM. Serikali imetoa wito kwa wasanii nchini kurasimisha kazi zao ili kuweza kutambulika, kupata haki zao na kuongezea pato lao na la taifa. Wito umetolewa leo jijini Dar es Salaam na Naibu Waziri Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Anastazia Wambura …

Read More »

BAADA YA KUBANWA NA LYON AZAM FC YAANZA KUIWINDA MAJIMAJI.

pic-aza

 Kikosi cha Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, kilipoanza mazoezi leo asubuhi kujiandaa na mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Majimaji utakaofanyika Uwanja wa Majimaji, mjini Songea, Jumamosi hii. Wachezaji wa Azam FC wakifanya mazoezi tofauti ya viungo  Beki wa kati …

Read More »

BENKI YA KCB TANZANIA YAICHANGIA SHULE YA MAIRO WA INTEGRITY

kb

Meneja wa Tawi la TFA, Arusha wa Benki ya KCB Tanzania, Bi. Hogla Laizer (kulia), akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi 48,064,958 kwa Mkurugenzi mkuu wa Taasisi ya Ereto East Africa Foundation Mch. Godsave Ole Megiroo (kushoto), ikiwa ni msaada wa fedha zilizotolewa na benki hiyo kusaidia uboreshaji …

Read More »

MAJALIWA AITEMBELEA FAMILIA YA MAREHEMU SITTA

majasita

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (kushoto  kwake) wakiwa katika picha ya pamoja na familia ya aliyekuwa Spika Mstaafu, Samuel Sitta wakati walipoitembelea familia hiyo, nyumbani kwa marehemu jijini Dar es salaam Desemba 19, 2016. Kulia kwake ni mjane wa marehemu, Margareth Sitta. Wengine pichani kutoka kushoto ni watoto …

Read More »

MAAMUZI YA UONGOZI WA YANGA BAADA YA WACHEZAJI KUGOMEA MAZOEZI.

deussssss

Uongozi wa Klabu ya soka ya Yanga unakanusha taarifa zilizotolewa na wachezaji kugomea mazoezi. Kaimu katibu mkuu Deusdedit Baraka,anapenda kuwaeleza wanachama,mashabiki na wapenzi wa Yanga kuwa hakuna mchezaji aliegoma na wachezaji wote wanaendelea na mazoezi yao na hakuna mgogoro wa malipo ya mishahara. Aidha,Bw Baraka amefafanua kuwa utaratibu wa mfumo …

Read More »

AFDB YAIKOPESHA TANZANIA BILIONI 360

pan5

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Mpango (Mb) akizungumza na baadhi ya viongozi wa Serikali wakati wa kumuaga aliyekuwa Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) Dkt. Tonia Kandiero, ambapo alimshukuru kwa jitihada zake katika kusaidia upatokanaji wa mikopo kwa ajili ya kutekeleza miradi ya Barabara, …

Read More »

MHANDISI NGONYANI AITAKA TANROADS MOROGORO KUKARABATI BARABARA

ngona

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani (Kushoto), akifafanua jambo kwa Mbunge wa Jimbo la Mlimba Mhe. Suzani Kiwanga (Wa tatu kulia), wakati alipokagua barabara ya Ifakara, Taweta hadi Madeke (KM 225) Mkoani Morogoro. Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Edwin Ngonyani (aliyenyoosha kidole), akizungumza …

Read More »