Wednesday , January 16 2019

Home / 2016 / December / 21

Daily Archives: December 21, 2016

MISS TANZANIA 2016 AREJEA NYUMBANI

misssss

Miss Tanzania 2016 Diana Edward aliwasili nchini muda wa saa 10 alasiri na Shirika la ndege la Emirates, na kulakiwa na Waandishi wa Habari, Wazazi wake, baba na mama mzazi, wadau, pamoja na wajumbe wa Kamati ya Miss Tanzania.

Read More »

What Is a Descriptive Part

They discount scholarships that need essay writing and select the additional scholarships. This information is critical to writing a blooming scholarship article. Most worldwide scholarships hold the article composing part for a pre-requisite. Ultimately, schools may use the article to start picturing how you will join with and get the …

Read More »

512

Top Ten Body Language Tips While writing an essay you have to follow several fundamental actions that are natural in any type of article. They can be typically employed verbs normally composition writings.

Read More »

YANGA YAPEWA WABABE WA COMORO,AZAM FC YAPETA SHIRIKISHO

Football - 2016 CAF Confederation Cup - Group Stage - Young Africans v Medeama - Dar es Salaam

Draw za mechi ya awali  ya kupanga ratiba ya michuano  ya Shirikisho la Afrika (CAF) imefanyika leo mchana kwa timu za Tanzania Azam FC na Yanga SC zimejua wapinzani wao ambao watakutana nao.   Klabu ya Yanga imepangiwa kuanza na Ngaye De Mbe ya Nchini Comoro huku Azam akisubiri mshindi …

Read More »

BAADA YA KUSITISHA MGOMO WACHEZAJI YANGA WAREJEA MAZOEZINI

yanga-new

Baada ya kutokea mgongano baina ya uongozi na wachezaji hatimaye kitendawili kumteguliwa wachezaji wa Yanga wameanza rasmi mazoezi leo ikiwa ni baada ya kugoma kwa siku mbili. Wachezaji hao waligoma kwa siku mbili wakidai kulipwa mshahara wao wa mwezi uliopita. Hawakufanya mazoezi juzi na jana. Lakini hivi punde, wachezaji hao …

Read More »

SIMBA YAINGIA MKATABA NA KOCHA TOKA KENYA

idd-1

Klabu ya Simba imeingia mkataba wa mwaka mmoja na kocha wa makipa Iddi Salim Raia wa Kenya ikiwa ni mara yake ya pili kuinoa Simba. Kocha huyu mwenye uzoefu katika kazi yake alitumbuliwa na Simba akiwa pamoja na kocha wa kipindi kile Mwingereza Dylan Kerr baada ya kufanya vibaya hivyo …

Read More »

MWIJAGE AFANYA UTEUZI WAJUMBE WA BODI YA WAKURUGENZI YA TANTRADE.

index

Kufuatia uteuzi uliofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,  Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli, wa kumteuwa Mhandisi  Christopher Kajolo Chiza kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa  Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara Tanzania (TanTrade), Mhe. Charles P. J. Mwijage (Mb), Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji ameteua …

Read More »

SERIKALI YAWEKWA MFUKONI NA MWEKEZAJI ARUSHA

jogh

  Na Mahmoud Ahmad Arusha WAKALA wa bara bara nchini Tanroad,mkoa wa Arusha,imesitisha kuendeleza sehemu ya ujenzi wa kituo cha mafuta cha Camel oil kwenye eneo la hifadhi ya bara bara  kutokana na kukiuka kibali cha muda cha ujenzi  wa kituo hicho kufuatia na malalamiko ya wakazi wa eneo hilo,juhudi …

Read More »

SHIRIKA LA TAIFA LA BIASHARA ZANZIBAR LATILIANA SAINI MAKUBALIANO YA KILIMO HAI CHA KARAFUU NA KAMPUNI YA GANEFRYD YA DENMARK

see

Mkurugenzi Mwendeshaji wa Shirika la Taifa la Biashara Zanzibar (ZSTC) Dkt. Said Seif akitiliana saini na mwakilishi wa Kampuni  Denmark Bw. katika ofisi za Shirika hilo ziliopo Saateni Mjini Zanzibar. Mkurugenzi Mwendeshaji wa ZSTC Dkt. Said Seif akizungumza mara baada ya kutiliana saini na mwakilishi wa Kampuni y ya Genefry …

Read More »

KAMPUNI YA SIMU YA TIGO YATAMBULISHA ZANA MPYA NA KUBORESHA ZANA YA TIGO PESA KWA WATUMIAJI WA SMARTPHONE

1

  Mkuu wa Huduma za Kidijitali wa Tigo, Tawonga Mpore (kushoto), akizungumza Dar es Salaam leo, kuhusu kampuni hiyo kutambulisha zana mpya ya simu na kuboresha zana ya Tigo Pesa kwa watumiaji wa Smartphone. Kulia ni Mtaalamu wa Mawasiliano kutoka Tigo, Suleiman Asilia.  Mtaalamu wa Mawasiliano kutoka Tigo, Suleiman Asilia (kulia), akisisitiza …

Read More »

MHANDISI GISSIMA MKURUGENZI MPYA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA).

gisima

Na Daudi Manongi-MAELEZO Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imemteua Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala Dk.Lutengano Mwakahesya aliyestaafu mwezi Juni 2016. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari na Mwenyekiti wa …

Read More »

MHANDISI GISSIMA MKURUGENZI MPYA WAKALA WA NISHATI VIJIJINI (REA).

gisi

Na Daudi Manongi-MAELEZO Bodi ya Nishati Vijijini (REB) imemteua Mhandisi Boniface Gissima Nyamo-Hanga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA) kuziba nafasi iliyoachwa wazi na aliyekuwa Mkurugenzi Mkuu wa Wakala Dk.Lutengano Mwakahesya aliyestaafu mwezi Juni 2016. Kwa mujibu wa Taarifa iliyotolewa kwa Vyombo vya Habari na Mwenyekiti wa …

Read More »

SHAMTE ‘HATIHATI’ KUIKOSA MECHI DHIDI YA TOTO AFRICANS VPL

shamte

WAKATI ‘raundi ya 17 ya ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara  ikitaraji kuendelea  jumamosi hii,kikosi cha Mbeya City fc kieendelea na mazoezi ikiwa ni matayarisho ya mchezo  namba 130 dhidi ya wageni  Toto Africans ya Mwanza uliopangwa kuchezwa kwenye uwanja wa Sokoine jijini hapa. Kwenye mazoezi ya timu hiyo leo …

Read More »

Methods for Composing College Case Studies

Chakras and Christianity Eastmeetswest Why Choose grammarservices.com? English is the language of global communication , and many people practice the language continuously for a variety of purposes . One of the necessary obstacles which a number of students , educators , writers , employed professionals and business people experience is …

Read More »

MBUNGE VITI MAALUM WANAWAKE UWT MJINI UNGUJA AWANDALIA MAFUNZO YAKILIMO ENDELEVU WENYEVITI NA MAKATIBU WA JUMUIYA HIYO

malu1

Mbunge wa Viti maalum wanawake Mhe. Asha Abdalla Juma akifungua mafunzo ya siku moja ya kilimo endelevu yaliyowashirikisha wenyeviti na makatibu wa UWT Mkoa Mjini. Mkurugenzi wa Taasisi ya Kilimo endelevu cha kudumu Bi. Fatma Abdalla Juma akitoa ufafanuzi wa baadhi ya masuala yaliyoulizwa na washiriki wa mafunzo hayo yaliyofanyika …

Read More »