Thursday , November 15 2018

Home / 2016 / December / 22

Daily Archives: December 22, 2016

How To Become A Leader

Essay writing service offers a unique chance to manage the overpowering school program and receive any mark which is used well for you. With Essaysexperts, it is possible to be totally guaranteed of exceptional quality of service including realtime e-mail telling the essays are now prepared that you just obtain. …

Read More »

Howto Learn Textile Developing

Subsequently, in the finished period of his own lifestyle, we’ll understand the heart of expiring for the sake of his own nation. Moreover, the digressions comprise pleasant information regarding the hero’s existence. You got a copy of the motion picture a pal would like to see. With his name, you …

Read More »

TSN YAADHIMISHA MIAKA 10 YA GAZETI LAKE LA HABARILEO

habarileo-cake

 Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) Wachapaji wa magazeti ya Daily News, Sunday News, Habarileo, Habarileo Jumapili na Spotileo imeadhimisha miaka 10 tangu kuanza kwa gazeti la Habarileo mnamo Desemba 21,2007 kwa kukata keki huku Uongozi wa Kampuni hiyo ukitangaza shamra shamra za mwezi mmoja wa kusherehekea kuzaliwa kwa gazeti …

Read More »

Fargo confronts multibillion dollar class-action lawsuit

An area magazine went an account on a male killed in a-train collision and accidentally published within the caption: “Bob Johnson 60, who was murdered inside the crash LOL.” A topic from another report read: “Girls’ university however presenting’something unique’ – mind.” Another report misspelled the word “modification” when a …

Read More »

KIUNGO WA ZAMANI WA TAIFA STARS ATHUR MWAMBETA ANAOMBA MSAADA

athur

Na Humphrey Shao,Globu ya Jamii. Kiungo wa zamani wa Timu ya Taifa ya Tanzania na Simba Sports iliyokuwa ikiitwa Senderland ,Athur Mwambeta amewaomba wadau mbalimbali wa mchezo wa soka nchini na Chama cha Mapinduzi (CCM) kumsaidia kupata chombo cha usafiri kitakachomtoa sehemu moja mpaka nyingine mara baada ya kukatwa miguu …

Read More »

Kutana na Tamthilia HUBA ndani ya Maisha Magic Bongo (DStv 160)

huba

Kipendacho roho hula nyama mbichi bwana! Asikuambie mtu mapenzi sio pesa na  hata siku moja uwe tajiri au maskini mapenzi hayana mwenyewe . Tamthilia ya Huba ndio gonjwa pekee lenye nguvu ya kutibu tofauti zetu! Fuatilia  tamthilia hii ya kipeke kutoka kwa wasaniii nguli wa kitanzania  wakiwemo Riyama Ally, Muhogo …

Read More »

Rais Dk. John Pombe Magufuli amteua Jaji Semistocles Kaijage kuwa Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi (NEC)

picha-no-6

Katibu Mkuu kiongozi Balozi John Kijazi akitangaza uteuzi wa viongozi ya Tume ya Uchaguzi, Tume ya Maadili  na Majaji wa Mahakama ya Rufaa Ikulu jijini Dar es salaam leo Desemba 22, 2016 PICHA NA IKULU  Mwenyekiti mpya wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi NEC Jaji Semistocles Kaijage. …………………………………………………………………………

Read More »

MAJALIWA APOKEA MSAADA WA MAAFA YA TETEMEKO LA ARDHI KAGERA

msa4

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Askofu Mkuu wa Kanisa la EAGT, Dkt.  Brown Mwakipesile kabla ya kupokea msaada wa Shilingi milioni 10 ukiwa ni mchango wa kanisa hilo kwa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye makazi ya Waziri Mkuu, Oysterbay jijini Dar es salaam, …

Read More »

VPL: MECHI 14 ZA FUNGA MWAKA, MBILI KUFUNGUA MWAKA

wamburavoda

Mechi 14 za Ligi Kuu ya Vodacom zinatarajiwa kufanyika wakati huu wa msimu wa kufunga mwaka 2016 na mbili za zitafungua mwaka 2017 ambako Kituo cha Televisheni cha Azam – Wadhamini wenza wa ligi hiyo, wamethibitishia Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupata burudani kwa michezo yote kulingana na …

Read More »

PROF. MBARAWA: ANDAENI WATAALAMU WA KUTOSHA

mba3

Mkuu wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), Prof. Zakaria Mganilwa akitoa taarifa ya utendaji wa chuo hicho kwa Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa katika uzinduzi wa Baraza la Chuo hicho, jijini Dar es Salaam. Mwenyekiti mpya wa Baraza la Chuo cha Taifa cha Usafirishaji (NIT), …

Read More »

SUMATRA Yaunda Kikosi Kazi Kudhibiti Upandishaji Holela wa Nauli Kipindi cha Sikukuu za Mwisho wa Mwaka.

mzira

Meneja Mawasiliano wa Mamlaka hiyo David Mziray MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) …………………………………………………………………………………… Na Lilian Lundo-MAELEZO-Dar es Salaam MAMLAKA ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imeunda kikosi kazi maalum kwa ajili ya kudhibiti upandashaji holela wa  nauli kwa mabasi yaendayo …

Read More »

Kompyuta za Bayport zawasilishwa Halmashauri ya Arumeru

meru

Mratibu wa Masoko na Mawasiliano wa Kampuni ya mikopo ya Bayport Financial Services, Mercy Mgongolwa (kushoto), akimkabidhi Ofisa Utumishi wa Wilaya ya Arumeru mkoani Arusha, Emelda Kisosi, kompyuta kwa ajili ya kusaidia ufanisi wa kazi ofisi zao kama sehemu ya kujitolea kwa jamii. Kulia ni Ofisa TEHAMA wa Halmashauri ya …

Read More »

MULTICHOICE TANZANIA YATOA MSAADA WA SIKUKUU KWENYE KITUO CHA WATOTO YATIMA CHA AL-MADINA,TANDALE KWA TUMBO JIJINI DAR ES SALAAM

img_0040

Mkurugenzi Mtendaji wa Multichoice Tanzania Bw.Maharage Chande akikabidhi Misaada katika kituo cha kulelea Watoto Yatima cha Al-Madina,Tandale kwa Tumbo jijini Dar es salaam. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Mutichoice Tanzania Maharage Chande akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kukabidhi misaada katika kituo cha Watoto Yatima cha Al-Madina kilichopo Tandale …

Read More »

TANROADS KUONDOA KERO YA UKOSEFU WA MITARO MLANDIZI

mla4

Madimbwi ya maji yaliyotuama maji ya mvua na mlundiko wa uchafu kando ya barabara kuu, eneo la Mlandizi,yakionekana pichani,ambayo ni kero ya miaka mingi hivyo mbunge wa jimbo la Kibaha Vijijini Hamoud Jumaa kulazimika kusimamia kero hiyo kwa wakala wa barabara Tanroads(Picha na Mwamvua Mwinyi) Mbunge wa jimbo la Kibaha …

Read More »

MPANGO KAZI WA KITAIFA WA KUTOKOMEZA UKAILI WA WANAWAKE NA WATOTO MKOMBOZI KWA WANAWAKE NA WATOTO NCHINI.

ummy

Ummy Mwalimu Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. ………………………………………………………………. Na Beatrice Lyimo- MAELEZO SAWA  wa  kijinsia  unaweza  kupimika  kwa  mifano  ya kuwepo  kwa  fursa  sawa  au  matokeo  sawa.  Au  kwa  kifupi,  tunaweza  kusema  kuwa  ni  haki,  majukumu na fursa sawa kwa wanawake na wanaume. Ukatili wa …

Read More »

Goodfellows help all year long

THE NEW GOODFELLAS ADDON FOR KODI – GREAT NEW ALL IN ONE ADDON FOR KODI 2016 After that our essay writers start research on your topic and search for authentic and reliable references, which make your essay authentic and well researched. Once you ordered your task here, your search for …

Read More »

Proposed Physics Essay Topics

Writing professionals usually do not edit the essay. Besides the qualification conditions provided under, you might be required to compose an essay describing your job objectives and objectives for the following five years. My publisher empowered me to enhance my essay when maintaining my heart. You may believe that the …

Read More »

LUKUVI ATOA HATI 154 KWA WAKAZI WA BUNDA MKOANI MARA

ar4

  Wananchi wa Musoma mjini wakikwasilisha Kero zao za migogoro ya ardhi kwa Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi ili aweze kuzipatia ufumbuzi. Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi akimkabidhi Hati ya Kumiliki Ardhi Bibi Ester Lukondo mkazi wa Bunda …

Read More »

Shortcomings of Online Training

Competence In every one of the academic documents, the business doesn’t compromise on competence. Perhaps you struggle to find how writing classes may be met into your own daily agenda. Writing on line was not that exciting! It is quite simple to find large grades today, you only have to …

Read More »

VIJIJI 126 VYAPATIA MRADI WA UMEME MKOANI SHINYANGA

ume

    NA K-VIS BLOG/Khalfan Said, Singida WANAKIJIJI wa vijiji 126 wanaopitiwa na mradi mkubwa wa umeme, Backbone wa ujenzi wa njia ya kusafirisha umeme wa msongo wa Kilovolti 400, kutoka mkoani Iringa hadi Shinyanga kupitia mikoa ya Singida na Dodoma, wataunganishiwa umeme kwa kulipia kiasi kidogo cha fedha shilingi …

Read More »

LEICESTER CITY YAWEKA REKODI NYINGINE UINGEREZA

leicester-city-fc-directors-box-goal-celebration

Klabu ya soka ya Leicester imeshinda tuzo ya timu bora ya mwaka kwa kuwashangaza wengi waliposhinda ligi ya Uingereza. The Foxes kama inavyojiita ilishinda tuzo ya timu bora ya mwaka na mkufunzi wake Claudio Ranieri alitangazwa kuwa kocha bora baada ya kuisaidia timu hiyo kushinda taji hilo. Leicester ilianza kampeni …

Read More »