Friday , March 22 2019

Home / 2016 / December / 23

Daily Archives: December 23, 2016

AFRICAN LYON YAIVIMBIA YANGA UWANJA WA UHURU VPL.

lyojn

African Lyon imeendelea kuvipa shida vigogo vya VPL, baada ya Yanga kutoka nyuma kusawazisha goli na kuambulia pointi moja katika matokeo ya 1-1. Lyon walitangulia kupata bao kupitia kwa Ludovick lakini Tambwe alisawazisha bao hilo kuiokoa timu yake isipoteze mchezo Bado Yanga wamekuwa wababe mbele ya Lyon kwa sababu katika …

Read More »

NDOA YA UPEPO YAFUNGWA TENA JIJINI MBEYA

pete

Bwanaharusi Ndugu Samwel Makalobo akivishwa pete ya ndoa na Mke wake Given Mgaya katika kanisa la K.K.K.T Usharika wa Isanga jijini Mbeya .Picha na Keneth Ngelesi .    JamiiMojaBlog,Mbeya   HATIMAYE lile tukio lililovuta hisia za watu wengi la bibi harusi, Given Mgaya, kukimbiwa kanisani na mchumba wake siku ya …

Read More »

SHAMTE SAFI,NGASSA BADO, KUIVAA TOTO AFRICAN KESHO

eee

MAANDALIZI  kuelekea dakika  90 za    mchezo namba 130 wa ligi kuu ya Vodacom  Tanzania bara  kati ya Mbeya City fc na wageni Toto African ya Mwanza  uliopangwa  kuchezwa kesho kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine jijini hapa  yamekamilika. Akizungumza na mbeyacityfc.com muda mfupi uliopita meneja wa kikosi  cha City, …

Read More »

Mkuu wa Wilaya Azomewa mbele ya Waziri.

mnyeti

Na Mahmoud Ahmad Arusha MKUU wa Wilaya ya Arumeru Alexander Mnyeti Amepata aibu baada ya kuzomewa mbele ya Waziri wa Ardhi maendeleo ya makazi William Lukuvi katika ofisi za mkuu wa mkoa wa Arusha . Mnyeti alizomewa wakati akitoka katika kikao cha waziri kupewa taarifa za matatizo ya Ardhi mkoa …

Read More »

SHEREHEKEA SIKUKUU YA KRISMAS KWA NAMNA HII

kero

Na Jumia Travel Tanzania JUMAPILI hii ya Desemba 25 ni sikukuu ya Krisimasi ambapo wakristo nchini wataungana na wenzao duniani katika kusherehekea siku ya kuzaliwa kwa bwana wao Yesu Kristo. Kwa kawaida sikukuu hii husherehekewa kwa watu kujumuika na familia zao ambapo hukusanyika kwa pamoja nyumbani, kusafiri, kufurahia chakula, vinywaji, …

Read More »

SABODO AMSHAURI RAIS MAGUFULI ABADILISHE FEDHA

sado

 Mfanyabiashara maarufu nchini, Mustafa Jaffar Sabodo akizungumza jijini Dar es Salaam, kuhusu wafanyabiashara wanaoficha fedha majumbani na kumshauri Rais John Magufuli abadilishe fedha. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA) Sabodo akisisitiza jambo   Mfanyabiashara maarufu nchini, Jaffar Sabodo (73), amemshauri Rais John Magufuli abadilishe fedha ili kubana wafanyabiashara wakwepa kodi na …

Read More »

Just how to Compose A Top Level View

A good deal of preparation must go into your article before beginning composing it. Here, I want to provide you a few recommendations that may enable you to begin your occupation as an innovative author. Summarized here is the fundamental information about how to compose a productive composition. Essay writing …

Read More »

BASATA YAPIGA MARUFUKU DISKO TOTO

tanzania

Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) ambalo ni msimamizi wa sekta ya Sanaa na burudani nchini linawakumbusha wamiliki na waendeshaji wa kumbi za burudani kufuata sheria, kanuni na taratibu walizopewa kwenye vibali vyao vya uendeshaji wa kumbi. Wanaelekezwa kuhakikisha wanakuwa na vibali halali vya uendeshaji wa kumbi zao, kuzingatia muda …

Read More »

MBUNGE KIKWETE APONGEZA KASI YA UBORESHAJI WA MRADI WA MAJI WA WAMI

ridhiw

  MBUNGE  wa   jimbo la  Chalinze Ridhiwani  Kikwete  amepongeza  jitihada   kubwa  zinazofanywa na  wataaluma  wa Halmashauri ya  Chalinze  katika  kuboresha  mradi  wa maji wa Wami  kwa ajili ya  wananchi  wa Chalinze . Akizungumza  baada ya  kutembelea  mradi  huo jana mbunge  Kikwete  alisema  kuwa  mradi  huo ambao  ulianzishwa na aliyekuwa  mbunge  …

Read More »

Tume ya Mipango yatembelea Kiwanda cha Vinywaji cha Azam

kiw3

Wataalam kutoka Tume ya Mipango wakimsikiliza Meneja anayesimamia Ubora wa Bidhaa, Bibi Lilian Mwashigadi wakati wa ziara ya Tume ya Mipango katika kiwanda cha uzalishaji wa vinywaji kilichopo eneo la Mwandege Mkoani Pwani. Meneja anayesimamia Ubora wa Bidhaa, Bibi Lilian Mwashigadi (aliyevaa koti jeupe) akiwaonesha maofisa wa ukaguzi wa miradi …

Read More »

RAIS MAGUFULI NA WAZIRI MKUU MAJALIWA

kip2

Rais John Magufuli akiteta na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, Ikulu jijini Dar es salaam, Desemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri `Mkuu) Rais John Magufuli  akisalimiana na  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa Ikulu jijini Dar es salaam Desemba 23, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Rais John Magufuli akizungumza …

Read More »

‘Tutafika mbali zaidi CAF’

zimg

Category:  First Team Team:  Azam FC BAADA ya kuiona ratiba ya Kombe la Shirikisho Afrika mwakani iliyotoka juzi jioni, Kocha Mkuu wa Azam FC, Zeben Hernandez, ameweka wazi kuwa amekipanga kikozi chake kufika mbali zaidi kwenye michuano hiyo. Kwa mujibu wa droo hiyo, Azam FC kwa mara ya pili mfululizo …

Read More »

UHURU MUSIC LIMITED TANZANIA YAWAPA MKONO WA SIKUKUU WATOTO YATIMA

shangwe-1

  Baadhi ya watoto wanaolelewa kwenye kituo cha Amani Foundation For Orphanate kilichopo Mji Mwema,Kigamboni jijini Dar es salaam wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo ya kupokea msaada toka kampuni ya Uhuru Music Limited Tanzania. Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Uhuru Music Limited Tanzania …

Read More »