Thursday , November 15 2018

Home / 2016 / December / 24

Daily Archives: December 24, 2016

SIMBA KAMA CHELSEA YALA CHRISTMAS KILELENI

w1

Na.Alex Mathias,Dar es salaam. Simba imeendelea kujichimbia kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara baada ya ushindi wa goli 1-0 dhidi ya JKT Ruvu mchezo uliomalizika kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Timu ya wanajeshi hao miongoni mwa timu tatu zilizo kwenye mstari wa kushuka daraja pamoja …

Read More »

RAIS MAGUFULI KUSHIRIKI IBADA YA X MASS SINGIDA

magu

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mkuu wa mkoa wa Singida Dkt. Rehema Nchimbi mara baada ya kuwasili mkoani humo. Pia Rais Dkt. Magufuli anatarajiwa kushiriki katika Ibada ya Krismasi mkoani humo hapo Kesho. .Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John …

Read More »

MAMA MAJALIWA ATEMBELEA KITUO CHA YATIMA NA KUTOA MSAADA

kuuooooo

 Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akiwa amewabeba watoto, Editha  (kushoto) na Edina wa Kituo cha kulea watoto yatima cha CHAKUWAMA kilichopo Sinza jijini Dae es salaam jijini Dar es salaam  wakati alipotembelea kituo hicho na kutoa misaada mbalimbali. Desemba 24, 201. (Picha na  Ofisi ya Waziri Mkuu) ……………… …

Read More »

VPL:SIMBA NA AZAM FC MGUU SAWA LEO

wo

Na.Alex Mathias. Baada ya African Lyon kuibeba Simba wekundu wa Msimbazi hao watashuka dimbani kucheza na timu ya JKT Ruvu Stars kwenye uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam. Simba bado wanaongoza Ligi wakiwa na pointi 38 huku watani zao Yanga baada ya kukabwa koo na Lyon bado wanashika nafasi …

Read More »

LUKUVI AWAPA HATI ZA KUMILIKI ARDHI WA HADZABE

hazbe

Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi (wa nne kulia mbele) akiwasili wilayani Karatu kwa ajili ya kuwapatia hati miliki za Ardhi jamii ya wa Hadzabe.    Wa Hadzabe wakimkaribisha Waziri wa ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. William Lukuvi kwa kumvusha taji.    Waziri wa ardhi,Nyumba …

Read More »