Monday , January 21 2019

Home / 2016 / December / 25

Daily Archives: December 25, 2016

HAJI MANARA AMUOMBEA MSAMAHA JERRY MURO KWA RAIS WA TFF

haii

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara ameamua kuwa muungwana kwa kumuombea msamaha kwa Rais wa TFF,Jamal Malinzi msemaji wa Yanga Jerry Muro ambaye amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na soka nchini Tanzania. Kwako Rais wa TFF Kwanza nikutakie heri na baraka ktk sikukuu hii kubwa kabisa duniani kote. Nnakuandikia ujumbe …

Read More »

MJENGO WA GHOROFA ALIOUACHA MPOKI BUKUKU TABATA DAR

ziy

 Nyumba ya ghorofa moja iliyopo Tabata Bwawani, Dar es Salaam, aliyoiacha aliyekuwa MpigaPicha Mwandamizi wa  The Guardian, marehemu Mpoki Bukuku. Waliopo nje ni baadhi ya waombolezaji akiwemo Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Zitto Kabwe (katikati).PICHA NA RICHARD MWAIKENDA:KAMANDA WA MATUKIO BLOG Upande wa nyuma wa mjengo huo.

Read More »

WATU WENGI WAJITOKEZA KWENYE MSIBA WA MPOKI BUKUKU TABATA

kio

 Mhariri Mtendaji wa gazeti la Mtanzania, Absalom Kibanda akimfariji mjane wa marehemu Mpoki Bukuku, Lilian nyumbani kwa marehemu, Tabata Bwawani, Dar es Salaam. Bukuku alifariki juzi baada ya kugongwa na gari Barabara ya Bagamoyo karibu na Kituo cha ITV, Mwenge. PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG  Kibanda akimfariji mama …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI PAMOJA NA MKEWE MAMA JANETH WASHIRIKI IBADA YA KRISMASI KATIKA KANISA KATOLIKI (KANISA KUU LA MOYO MTAKATIFU WA YESU) MKOANI SINGIDA

mkeee

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mke wake Mama Janeth Magufuli wakiwa katika Misa ya Krismasi katika Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu  wa Yesu mkoani Singida. Mke wa Rais Mama Janeth Magufuli akiwasalimia waumini wa Kanisa Kuu la Moyo Mtakatifu  wa Yesu mkoani …

Read More »

MBUNGE JUMAA AKABIDHI VITI VYA KUBEBEA WAGONJWA KITUO CHA AFYA MLANDIZI

roya

Katibu wa mbunge wa jimbo la  Kibaha Vijijini ,Roytina Kishe akimkabidhi ,mganga mfawidhi wa kituo cha afya  cha Mlandizi,dokta  Mpola  Tamambele , viti vya kubebea wagonjwa 18 vilivyogharimu mil.5.4 kwa niaba ya mbunge huyo Hamoud Jumaa. Muuguzi kitengo cha wodi ya uzazi,katika kituo cha afya cha Mlandizi,Retistuta Eponda,(anaesukuma kiti),akijaribu kutumia …

Read More »

PSG YAIZIDI KETE ARSENAL KWA JULIAN DRAXLER

julian-draxler-schalke-football_3330267

Matajiri wa Ufaransa timu  ya Paris Saint-Germain (PSG) , imetangaza kufanya usajili wa kiungo mshambuliaji ,Julian Draxler kutoka Wolfsburg kwa mkataba wa miaka minne na nusu kwa ada ambayo inasemekana kuwa ni pauni milioni £34m. Mjerumani huyo mwenye umri wa miaka 23, atajiunga rasmi na matajiri hao wa Ufaransa mwezi …

Read More »

SALAMU ZA CHRISMASS NA MWAKA MPYA KUTOKA KWA MKUU WA MKOA WA RUKWA MHESHIMIWA ZELOTE STEPHEN ZELOTE KWA WANARUKWA

zelo

Tunapokaribia kumaliza Mwaka 2016 napenda nichukue nafasi hii kwa dhati na moyo mkunjufu kuwashukuru wananchi wote wa Mkoa wa Rukwa kwa kushirikiana na Serikali kuhakikisha kwamba amani na utulivu inatawala muda wote katika Mkoa wa Rukwa.  Ni imani yangu na matarajio yangu kwamba mwaka unaofuata Mwenyekzi Mungu akituvusha salama tutaendelea …

Read More »