Monday , October 22 2018

Home / 2016 / December / 26

Daily Archives: December 26, 2016

KOMPYUTA ZA BAYPORT ZAIFUTA MACHOZI HALMASHAURI YA SAME

rc-sadick

Mratibu wa Masoko na Mawasiliano wa Bayport Financial Services, Mercy Mgongolwa (kulia), akimkabidhi Mkuu wa Mkoa Kilimanjaro, Mheshimiwa Said Mecky Sadick moja ya kompyuta sita zilizotolewa na taasisi yao kwa mkoa huo kama msaada wa kuweza kuongeza utendaji kazi mzuri kwa watumishi wa umma, hususan kwa Manispaa ya Moshi, Halmashauri …

Read More »

NAPE,MBOWE WAONGOZA KUUAGA MWILI WA MPOKI BUKUKU DAR

01

 Wanahabari wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mpigapicha Mwandamizi wa The Guardian, marehemu Mpoki Bukuku baada ya kutolewa heshima za mwisho katika Uwanja wa Shule ya Sekondari Tabata, Dar es Salaam, tayari kulisafirishwa kwenda kwao Msalato Dodoma kwa mazishi. (PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG)  Waziri wa …

Read More »

DR GEORDAVIE:JIJENGEENI TABIA YA KUSAIDIA YATIMA

img_2849

 Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiombea  bajeti mbalimbali  za waumini walizoziletwa kwa ajili ya kutolewa neno la unabii hiii leo(picha na woinde Shizza wa libeneke la kaskazini Arusha) Nabii mkuu mheshimiwa Dr Geordavie akiwa anahubiri katika hema la kukutania ngurumo ya upako kisongo jijini Arusha hii leo  Nabii mkuu akiwa …

Read More »

Just how to Edit a Report

Customer service is among the most critical attributes which the bulk of people wind up seeking for within an net http://essayswriting.org/ article writing website. From so, it’s quite apparent that online websites offer you the best option for those in need of documents. Browsing the internet you can definitely locate …

Read More »

KRC GENK YAMTIMUA KAZI KOCHA ALIYEMSAJILI MBWANA SAMATTA

weo

Leo ni siku ya Boxing day kimenuka nchini Ubelgiji katika klabu ya KRC Genk anayecheza Mtanzania Mbwana Ally Samatta imeamua kuachana na kocha wake  Peter Maes  baada ya kumtimua kazi kutokana na mwenendo mbaya wa matokeo ambayo timu imekuwa ikiyapata. Habari kutoka kwenye tovuti maalum ya club ya KRC Genk …

Read More »

VIONGOZI JIMBO LA CHUMBUNI WAKABIDHI VIFAA VYA SH. MILIONI 43

chama_cha_mapinduzi_logo

 Na Is-haka Omar, Zanzibar. ZAIDI ya shilingi milioni 43 zimetumika kununua vifaa mbali mbali  vya Jimbo la Chumbuni Zanzibar, ikiwa ni utekelezaji wa ahadi zilizotolewa na Viongozi wa jimbo hilo kwa wananchi  katika Kampeni za Uchaguzi uliopita. Akisoma Risala katika hafla fupi ya kukabidhi vifaa hivyo, Abrahman Abass alisema vifaa …

Read More »

RC GAMBO AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI ARUSHA

gambo

Mkuu wa mkoa wa Arusha  Mrisho Gambo akizungumza na waandishi wa habari wa Mkoa wa Arushaa ofisini kwake juzi  kutoka vyombo mbalimba vya habari kuhusu sakata la kukamatwa kwa mwandishi wa habari wa kituo cha televisheni cha ITV Halfani Liundi ambapo amehaidi kulishughulikia huku akiwataka waandishi kufanya kazi zao kwa …

Read More »

GHARAMA ZA MATIBABU YA DAWA YA SUMU YA NYOKA NCHINI

utumishi

    Kama tunavyofahamu, nchi yetu ina aina mbalimbali za nyoka ambao pindi wakimuuma mtu huleta madhara mbalimbali ya kiafya. Aidha tunafahamu kwamba tatizo hili lipo zaidi katika maeneo ya vijijini ambako uwezo wa wananchi kumudu gharama za matibabu ni mdogo. Dawa za kutibu sumu ya nyoka huagizwa kutoka nje …

Read More »

KOCHA WENGER AWAJIBU WANAOMKOSOA

out-1

Kocha Mkuu wa klabu ya Arsenal Arsene Wenger amesema kuwa ”amemeza kinga” dhidi ya ukosoaji wa kupita kiasi, wakati ambapo timu yake inalenga kuimarisha harakati zake za kushinda taji la ligi itakapokutana na West Brom Albion katika siku kuu ya Boxing Dei. Gunners wako katika nafasi ya nne katika jedwali …

Read More »

MBUYU TWITE APEWA HESHIMA NA WACHEZAJI YANGA

wq

Uongozi wa Benchi la Ufundi la Yanga chini ya Kocha Mzambia, George Lwandamina na wachezaji wote wa timu hiyo, hivi karibuni walimuaga aliyekuwa kiungo wa timu hiyo, Mnyarwanda, Mbuyu Twite, kwa kumkabidhi jezi iliyokuwa na saini zao pamoja na picha kubwa. Twite aliyejiunga na Yanga mwaka 2012, alimaliza mkataba wake …

Read More »

Father Festus ;WANAUME WASINDIKIZENI WAKE ZENU KILINIKI

paroko-2

Festus Makwame wa Kanisa la Katoliki Sent Treza Jimbo la Arusha akiwa anafurahiajambo wakati akiwa anaendesha ibadaya mkesha wa sikukuu ya christimas hapo jana usiku Jijini Arusha.Picha naVero Ignatus Blog. Baadhi ya waumini waliohudhuria katika ibada hiyo ya mkesha wa sikukuu ya Christmass ni pamoja na maharusi hawa .Picha na …

Read More »