Monday , October 22 2018

Home / 2016 / December / 27

Daily Archives: December 27, 2016

Meaning of Academic Research Writing

How to Execute Educational Research Why Choose grammarservices.com? English is the language of international communication , and many people use it continuously for a number of aims . Among the most important obstacles that many students , instructors, writers , hired professionals and business people experience is a demand to …

Read More »

WALIOFAULU NI LAZIMA WAENDE SEKONDARI – MAJALIWA

waziri-mkuu-cu-wanafunzi-darasa-la-saba

  WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haitavumilia kuona mamia ya vijana waliofaulu mitihani ya darasa la saba na kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza wanabaki nyumbani eti kwa kuwa hakuna madarasa ya kutosha. “Serikali haitaridhika kuona vijana waliofaulu vizuri wanashindwa kwenda kidato cha kwanza. Halmashauri zilijua tangu mapema ni wanafunzi …

Read More »

WAZIRI MKUU AHOJI MALIPO YA KOROSHO KUCHELEWESHWA

mafi-1

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema atamuita Mkurugenzi wa Bodi ya Korosho, Bw. Hassan Jarufo ili aje amueleze ni kwa nini wakulima wa zao hilo wanacheleweshewa malipo yao kinyume na maagizo ya Serikali. Ametoa kauli hiyo leo mchana wakati akizungumza na viongozi na watendaji wa mkoa wa Lndi mara baada ya …

Read More »

Tanzania Kufungua Ofisi za Ubalozi Nchini Jamhuri ya Korea

ofg

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Balozi Dkt. Agustine Mahiga akizungumza na waandishi wa habari kuhusu msaada wa dola za Kimarekani 50,000/= sawa na shilingi milioni 108 za Kitanzania zilizotolewa na Balozi wa Jamhuri ya Korea nchini Bw. …

Read More »

Swahili Coast eBulletin Issue 17

swah

  Swahili Coast Magazine VIEW DOWNLOAD Tanzania Directory VIEW DOWNLOAD Zanzibar Directory VIEW DOWNLOAD ADVERTISE WITH US This bulletin reaches 48000 people! If you wish to advertise with us, kindly contact us at sales@printpluszanzibar NEWSLETTER CLICK HERE to subscribe to the Swahili Coast E-Bulletin T: +255777563303, +255777563308, +255774811128 E: sales@printpluszanzibar.com W: www.swahilicoast.com

Read More »

Rais Dk.Shein akutana na Balozi Mdogo wa Oman

dkg

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) akisalimiana na Balozi Mdogo wa Oman katika Jamhuri  ya Muungano wa Tanzania anayefanyia kazi zake  Zanzibar Mhe,Ahmed Bin Humoud Al Habsi,  alipofika Ikulu Mjini Unguja kujitambulisha leo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali …

Read More »

WALINZI WAMJERUHI MWANAFUNZI KWA RISASI KICHWANI

asko

  Na.Vero Ignatus, Arusha. Mwanafunzi wa kidato cha pili wa shule ya sekondari Mringa, Vanessa Josephat [16] mkazi wa Sakina jijini hapa amejeruhiwa vibaya kwa kupigwa risasi kichwani na walinzi wa kampuni ya ulinzi ya kifaru waliokuwa wakiwatoa kwa nguvu kwenye nyumba yao yenye mgogoro . Tukio hilo limethibitishwa na …

Read More »

Design

Individuals your primary dissertation getting never type of not hard challenge while youve represented, dont waste all of your cardio. official source We have been any kind of distinct proficient instructive service plan that will instantly, dependably plus Skilled professionals decide whatever your main dissertation troubles everytime you entrust these …

Read More »

Watoto wa Kituo cha Mama wa Rehema Madale wafurahia Noeli

noe

 Zawadi za Noeli kwa watoto wa Kituo cha Watoto cha Mama wa Rehema – Madale zikushushwa katika gari kabla ya kukabidhiwa  John Bernard, kulia, akikabidhi zawadi za watoto wa Kituo cha Mama wa Rehema kwa walezi, masista wanaosimamia kituo. Sehemu ya watoto wanaotunzwa katika  Kituo cha Mama wa Rehema Madale …

Read More »

SABODO AMSHAURI RAIS MAGUFULI AZIDI KUPUNGUZA BARAZA LA MAWAZIRI

ssad

 Mfanyabiashara maarufu nchini, Jaffar Sabodo akizungumza nyumbani kwake Upanga Dar es Salaam  mwishoni mwa wiki, ambapo alimtaka Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)  Rais John Magufuli azidi kupunguza Baraza la Mawaziri kufikia 15 na Kamati Kuu 15 pamoja na Halmashauri Kuu wajumbe 55. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA MATUKIO BLOG …

Read More »

MUSOMA VIJIJINI WASEMA MUHONGO ANATOSHA

muhu

Mzee wa Kijiji cha Murangi- Musoma Vijijini, Clifford Biseko (kulia) akifungua rasmi mkutano wa kujadili uchumi na maendeleo ya Jimbo la Musoma Vijijini. Wa kwanza kushoto ni Mbunge wa Jimbo hilo, Profesa Sospeter Muhongo.   Baadhi ya wananchi wa Musoma Vijijini waliohudhuria mkutano huo wakimsikiliza Mbunge wao, Profesa Sospeter Muhongo …

Read More »