Thursday , November 15 2018

Home / 2016 / December / 28

Daily Archives: December 28, 2016

JAFO AFANYA ZIARA WILAYA MANYONI MKOANI SINGIDA

jofo-5

Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI Selemani Jafo akiangalia kitanda ambacho kinatumiwa na akina mama wajawazito wakati wa kujifungua katika Hospitali ya wilaya ya Itigi mkoani singida wakati alipofanya ziara ya kushtukiza. Kulia kwake ni Dkt. Mary Rume Kaimu Mganga Mkuu wa Wilaya Itigi na anayefuatia ni Mkuu …

Read More »

Academic Letter Sample

I need to assist formulating a study document, everything that providers you supply you with? We expect many types of professional services, each one loaded with college students notion. Regardless of whether you need help with a specialized aspect of any kind of traditional as a technique or even realization, …

Read More »

DARASA ASEPA NA KIJIJI ILALA,AFANYA SHOO KALI YA BURE!

bds

Meneja Mkuu wa Kampuni ya Global Publishers ambao ni waandaaji wa shoo ya R.O.M.A na Darassa, Abdallah Mrisho akitoa ufafanuzi kwa wanahabari waliokuwepo Viwanja vya Karume jijini Dar, leo kuhusu shoo hiyo. Meneja wa Dar Live na mratibu wa mpambano huo, Juma Mbizo akitoa maelezo kuhusu shoo hiyo kwa wanahabari. …

Read More »

ZIARA YA MAJALIWA RUANGWA

rugwe-3

  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiteta na vikongwe  wa kijiji cha Nandandala wilayani Ruangwa baada ya kuhutubia mkutano wa hadhara kijijini hapo  akiwa katika ziara ya jimbo lake la uchaguzi la Ruangwa , Desemba 28, 2016.  Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wananchi wa kijiji cha  Namilema wilayani Ruangwa akiwa …

Read More »

BREAKING NEWS:AZAM FC IMEWATIMUA KAZI MAKOCHA WAKE TOKA HISPANIA

jopo

Azam FC imeamua kuwatimua makocha wake wa kigeni wakiongozwa na kocha mkuu Zeben Hernandez kutoka Hispania. Uamuzi wa Azam umekuja baada ya mfululizo wa matokeo mabovu kwenye ligi kuu Tanzania bara msimu huu tangu ‘wahispaniola’ walipokabidhiwa mikoba ya kuinoa timu hiyo baada ya Stewart Hall kubwaga manyanga. “Uongozi wa Azam …

Read More »

MAAMBUKIZO YA VVU NA UKIMWI YASHUKA KWA ASILIMIA 20 NCHINI

vvu

 Mkurugenzi Mtendaji wa Tume ya Kudhibiti Ukimwi Tanzania (Tacaids) Dk.Leonard Maboko (katikati), akizungumza na waandishi wa habari ofisini kwake jijini Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa kuhusu mapambano dhidi ya ugonjwa wa ukimwi katika mkutano wa kujitambulisha kwao tangu ateuliwe na Rais Dk.John Magufuli kushika nafasi hiyo Julai 7 mwaka huu. Kutoka kushoto …

Read More »

RC ATOA WIKI MBILI WANANCHI WAJENGE VYOO

zambi

MKUU WA MKOA wa Lindi, Bw. Godfrey Zambi ametoa wiki mbili kwa wakazi wa jimbo la Ruangwa kuhakikisha kuwa wanajenga vyoo ili kujiepusha na ugonjwa wa kipindupindu. Amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ruangwa, Bw. Joseph Mkirikiti afanye msako wa nyumba kwa nyumba ifikapo Januari 15, 2017 na endapo atakuta kuna …

Read More »

WAZIRI MKUU ACHANGIA MABATI UJENZI WA ZAHANATI

waziri-mkuu-cu-wanafunzi-darasa-la-saba

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewahimiza wakazi wa vijiji saba wilayani Ruangwa waharakishe kufyatua matofali ili waanze ujenzi wa zahanati na yeye atawachangia mabati. Ametoa ahadi hizo leo (Jumatano, Desemba 28, 2016) wakati akizungumza na wananchi wa vijiji vya Namilema, Mbuyuni, Nandandara, Namkonjera, Muhuru, Chikundi na Chibula na viongozi wa wilaya …

Read More »

RYAN GIGGS KUICHUKUA SWANSEA CITY?

ryan-giggs

Kiungo wa zamani wa Manchester United anatarajiwa kumrithi mkufunzi aaliyekuwa mkufunzi wa Swansea Bob Bradley, aliyetimuliwa usiku wa kuamkia leo na Klabu ya Swansea. Awali, Giggs, mwenye umri wa miaka 43, alihojiwa mara mbili na timu hiyo kabla ya nafasi hiyo kuchukuliwa na Bradley mwezi Oktoba. Bradley aliachishwa kazi baada …

Read More »

ZAHOR: AMSHUKURU RAIS JAMAL MALINZI

zaho

KIUNGO mshambuliaji mpya  wa Mbeya City fc , Zahor Pazzy  amemshukuru rais wa shirikisho la kabumbu nchini Jamal Malinzi kwa kufanikisha  kupatikana kwa hati yake ya uhamisho (ITC)  iliyokuwa imekwama  nchini DR Congo kwa miaka  miwili. Akizungumza na mbeyacityfc.com mara baada ya kumalizika kwa mazoezi asubuhi ya leo kwenye uwanja …

Read More »

MAAMUZI YA RUFAA YA KESI YA LEMA KUJULIKANA JANUARI 4, 2017

url

Na.Vero Ignatus Arusha. Mahakama kuu kanda ya Arusha imesikiliza maombi ya rufaa yayaliyowasilishwa na upande wa jamhuri na ule wa mshtakiwa Godbless Lema ambapo pande zote mbili wamekubaliana kusikilizwa rufaa ya upande wa jamhuri ambapo upande wa serikali wameiomba mahakama kuwasilisha kwa hati ya maandishi hapo kesho tarehe 30 disemba …

Read More »

JOE KADENGE ALAZWA HOSPITALINI NCHINI KENYA

afc-joe-kadenge-300

Mwanasoka maarufu nchini Kenya, Joe Kadenge, amelazwa katika hospitali moja mjini Nairobi baada ya kuugua. Nyota huyo mstaafu aliyeiwakilisha klabu ya Afc Leopards na timu ya taifa ya Kenya, alikimbizwa hospitalini mapema wiki hii baada ya kuugua kisukari. Wachezaji wenzake wa zamani, George Sunguti na Reginald Asibwa walimsaidia kumfikisha hospitalini …

Read More »

KHATIB: APITISHWA KUWANIA UMEYA WA MANISPAA YA MJINI Z’BAR.

cccccm

Na Is-haka Omar, Zanzibar. MADIWANI wa Manispaa ya Mjini, wamempitisha Khatib Abdulrahman Khatib , kugombea nafasi ya umeya wa manispaa hiyo. Uchaguzi huo ulimpendekeza meya huyo na kumpitisha baada ya kupata kura 27 za madiwani wote, hatua ambayo itamfanya kuwania nafasi hiyo katika uchaguzi wa Meya kupitia Chama Cha Mapinduzi. …

Read More »

NALAANI VITENDO HIVI VYA KINYAMA VYA KUPIGANA WENYEWE KWA WENYEWE

lau

Ndugu Augustino Mtitu mkulima wa kitongoji cha Upangwani, Kijiji cha Dodoma Isanga, Kata Ya Masanze Jimbo la Mikumi aliyechomwa Mkuki na wafugaji wa kwanza kushoto.   Kwanza niruhusu nikupe Pole ndugu yangu kwa lililokukuta. La msingi Serikali inatakiwa kujua, tunaposema maoni yetu pale Bungeni tunamaanisha. yako mambo unaweza yafanyia utani …

Read More »