Monday , January 21 2019

Home / 2016 / December / 29

Daily Archives: December 29, 2016

NYUMBA YA CARLOS TEVEZ YAPORWA AKIWA KWENYE FUNGATE

tevez

Wezi walivunja na kuingia katika nyumba ya aliyekuwa mshambuliaji wa Manchester City Carlos Tevez viungani mwa mji wa Bueno Aires nchini Argentina siku ya Jumapili na kuiba wakati nyota huyo alipokuwa nchini Uruguay kufunga ndoa. Maafisa wa polisi wanasema kuwa Tevez hakuwasilisha ripoti kwa polisi kuhusu wizi huo hivyobasi haijulikani …

Read More »

IDD CHECHE BOSS MPYA AZAM FC,ARITHI MIKOBA YA WAHISPANIA

deo

Uongozi wa klabu ya Azam FC leo hii umetangaza rasmi kuachana na makocha wake kutoka nchini Hispania kutokana na kutoridhishwa na kiwango cha ufundishaji wao katika timu hiyo. Jopo hilo la makocha linaundwa na Kocha Mkuu Zeben Hernandez, Msaidizi wake, Yeray Romero, Kocha wa Makipa Jose Garcia, Kocha wa Viungo, …

Read More »

Wauguzi Muhimbili Watoa Zawadi kwa Wagonjwa

ana

Mkurugenzi wa Uuguzi katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH), Agnes Mtawa akizungumza na wauguzi baada ya wauguzi hao kutoa zawadi kwa wagonjwa waliolazwa katika hospitali hiyo. Zawadi hizo zimepokelewa na mtoto Neema Selemani kwa niaba ya wagonjwa wengine. Kutoka Kushoto ni Mkuu wa Jengo la watoto, NPC One,  Bi. Anna …

Read More »

UVCCM WAMFARIJI MSANII BEN WA BONGO MOVIE

um

UVCCM inathamini sana mchango wa wasanii wa ndani na  inaguswa na  changamoto na matatizo mbali mbali yanayopata  wasanii hivyo Jumuiya itaendelea kuwa nao karibu kwa kuzingatia umuhimu wao katika jamii na Chama Cha Mapinduzi. Alisema Mwenyekiti wa UVCCM Taifa  Mhe:Sadifa Juma Khamisi(MCC/MB) alipokwenda Kumjulia Hali Msanii wa Bongo Movie Abdul …

Read More »

KUFANYIWA KAZI HOJA ZA MWANANCHI ALIYELALAMIKA KWA RAIS

tou

Katika gazeti la Mwananchi toleo la Desemba 16 mwaka huu, ukurasa wa 11, kulichapishwa barua ya Afisa Mifugo mstaafu wilayani  Mpwapwa, Dododma, Bw. Edward Chedego Uledi. Katika barua yake iliyosomeka “Rais Magufuli nisaidie nilipwe stahiki zangu,” mstaafu huyo alilalamikia kupunjwa mafao yake. Mtumishi huyo aliyestaafu tangu 2008, alilalamikia kitendo cha …

Read More »

SERIKALI IMEPANIA KUMLINDA MTOTO WA KIKE – MAJALIWA

weqq

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imedhamiria kuwalinda watoto wa kike na ndiyo maana inasisitiza waachwe wasome hadi wamalize kidato cha sita. Alitoa kauli hiyo kwa nyakati tofauti wakati akizungumza na wananchi wa vijiji mbalimbali vya wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi ambako anapita kuwasalimia wananchi wa jimbo lake na kuhimiza …

Read More »

WAZIRI MKUU AHIMIZA KILIMO CHA MIHOGO NA ALIZETI

wer

Wananchi  wa kijiji cha Muhuru wilayani Ruangwa wakifanya kila linalowezekana ili wamwone Mbunge wao, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kijijini hapo Desemba 28, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka wakazi wa Ruangwa na mkoa mzima wa Lindi wachangamkie fursa ya kulima …

Read More »

TAASISI YA MO DEWJI YATOA ZAWADI KITUO CHA TUMAINI LA MAISHA

moe

Taasisi ya MO Dewji Foundation imeweza kuwakumbuka watoto wanaopatiwa matibabu ya magonjwa ya kansa katika kituo cha Tumaini la Maisha kilichopo ndani ya Hospitali ya Taifa Muhimbili, Jijini Dar es Salaam. Katika kusheherekea sikukuu za mwisho wa mwaka ikiwemo kuingia mwaka mpya wa 2017, MO Dewji Foundation imeweza kutembelea watoto …

Read More »

ULEGA AZIDI KUTAFUTA CHANGAMOTO Z A WANANCHI WA JIMBO LA MKURANGA .

ule

Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega akizungumza na wananchi wa kijiji cha Kisayani alipokwenda kuwatembelea pamoja na kuangalia maendeleo ya kijiji hicho leo .(picha na Emmanuel Massaka ,Globu ya Jamii) Mwenyekiti wa Kijiji cha Kisayani, Siasa Kibende  akizungumza katika wananchi wa kijiji hicho walipotembelewa  na Mbunge wa Mkuranga, Abdallah Ulega alipokwenda …

Read More »

Freelance Writing online

First, let’s seem at the start of the article. It is possible to purchase a customized article on Critters theme inside our professional essay writing agency. When composing an essay, you’ll need certainly to utilize textual evidence. Get skilled article writing help at a reasonable cost. The more fire you’ve …

Read More »

JESHI LA POLISI ARUSHA:WATAKAOCHOMA MATAIRI,FAINI MILIONI NNE,MADEREVA WALEVI KUKAMATWA NA KUNYANG’ANYWA LESENI

polii

Na.Vero Ignatus,Arusha.   Jeshi la polisi mkoani Arusha limesema kuwa katika kusheherekea mwaka mpya ,kumekuwa na kasumba kwa baadhi ya watu kufanya matukio ya kuhatarisha usalama kwa kuchoma matairi,kupanga mawe barabarani,na hata kuwarushia mawe askari pindi wanapothibiti matukio hayo,haswa maeneo ya majengo,kwa mrombo,kwa mrefu huku wengine wakitumia mwanya huo kufanya …

Read More »

ALIYEFANYIWA UPASUAJI WA MOYO NA KUWEKEWA VALVE ASHEREKEA SIKU YAKE YA KUZALIWA NA WAGONJWA WA MOYO WALIOLAZWA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI)

pam

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi akipokea  zawadi za pampers ambazo zitatumika kwa watoto waliolazwa kutoka kwa Mary Mabano ambaye mwaka 2008 alifanyiwa  upasuaji na madaktari wa Taasisi hiyo na kuwekewa Valve moja ambayo inamsaidia kupitisha  damu vizuri baada ya upasuaji huo amepona …

Read More »

BENKI OF AFRICA KUFUNGWA SIKU YA JUMAMOSI 31,2016

benki

  Mpendwa Mteja, YAH: KUFUNGWA KWA BENKI SIKU YA JUMAMOSI, 31/12/2016 Tunapenda kukujulisha kwamba benki itafungwa siku ya Jumamosi, tarehe 31/12/2016. kwaajili ya kupisha uboreshaji wa mfumo wa kiufundi wa benki na huduma zitarejea kama kawaida siku ya jumatatu, tarehe 2/01/2017. Ijumaa, 30 Desemba 2016 Tutakuwa wazi kuanzia saa                           2: …

Read More »

MAPUNDA: ITC TAYARI TUMEIPATA

itc

Baada ya kususua kwa takribani majuma mawili sasa  hatimaye  hati ya uhamisho ya kiungo Mrisho Khalfan Ngassa imetua  kwenye klabu ya Mbeya City fc  asubuhi ya leo . Akizungumza na mbeyacityfc.com muda mfupi uliopita Mwenyekiti wa City, Mussa Mapunda amethibitisha kutua kwa ITC hiyo kutoka shirikisho la soka la Oman …

Read More »

BENKI YA KILIMO YAMUAGA DR. TONIA KANDIERO

6

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB), Bw. Francis Assenga (Katikati) akimkaribisha  Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) anayemaliza muda wake, Dkt. Tonia Kandiero (Kulia).  Kushoto ni Mkurugenzi wa Hazina na Utafutaji Fedha wa TADB, Bw. Albert Ngusaru. Mwakilishi Mkazi wa Benki ya …

Read More »

TAMWA WAPOKEA MALALAMIKO KUTOKA KWA MAKUNDI MAALUM YALIYOSHIRIKI UCHAGUZI MKUU WA 2015 MANISPAA YA IRINGA

img_5214

Baadhi ya washiriki walikuwa wakijadili ripoti ya tathmini ya jinsi vyombo vya habari (televisheni, magazeti na redio) vilivyoripoti habari zao wakati wakitia nia na kugombea nafasi mbalimbali katika uchaguzi Mkuu wa 2015 na mjadala huo uliongozwa na  Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA). …………………….. Na fredy mgunda,iringa     …

Read More »

WATU 9 WAKAMATWA KWA UDUKUZI WA TOVUTI ZA SERIKALI

piu

Mswada wa sheria mtandao nchini Thailand uliwekwa mezani kujadiliwa takriban wiki kadhaa zilizo pita. Muswada huo ambao ulikua ukingoja kupitishwa kua sheria umepelekea kelele nyingi Nchini humo ambapo wananchi wake walitaka ufanyiwe marekebisho kabla ya kua sheria huku wengine wakiukataa kabisa. Wana usalama mtandao nchini humo walijaribu kutoa ufafanuzi ambao …

Read More »

MBUNGE MWAMOTO ACHANGIA MILIONI 20 MIRADI YA MAENDELEO KILOLO

mot

Mbunge  wa  jimbo la Kilolo Venance  Mwamoto  wa tatu  kulia  akiongozana na kamati  yake ya mfuko  wa   jimbo  kukagua  miradi  ya kimaendeleo na  kuchangia  miradi  hiyo pichani ni  jengo la maabara ambalo limekwama  kuendelea  katika  shule ya  Sekodari Ipeta Mbunge  Mwamoto  akitazama  shughuli  za ujenzi wa  vyoo katika  shule ya …

Read More »

KOCHA WA TP MAZEMBE ANUKIA AZAM FC

ndaye

Baada ya kuwatimua kazi wa Hispania matajiri wa jiji la Dar es salaam Azam FC wameendelea kufanya siri kubwa katika kumpata mrithi wa Hispanyol, kuna taarifa kocha wa zamani wa TP Mazembe, Lamine N’Diaye, naye anaweza kutua Chamazi.  N’Diaye raia wa Senegal ambaye aliwahi kukipiga katika kikosi cha Cannes ya Ufaransa, …

Read More »

REA AWAMU YA TATU KUJA NA NGUZO ZA ZEGE

mule

Naibu Waziri wa Nishati na Madini, Dkt.Medard Kalemani, akizungumza jambo wakati wa Mkutano   wake na wananchi wa Kijiji cha Kishuro,Kata ya Ngenge Wilaya ya Muleba, Mkoa wa Kagera. Dkt.Kalemani amefanya ziara Wilayani humo ya kukagua Mradi utekelezaji wa Mradi wa REA Awamu ya Pili na kueleza mipango ya Serikali kutekeleza …

Read More »