Wednesday , January 16 2019

Home / 2016 / December / 30

Daily Archives: December 30, 2016

MILELE ZANZIBAR FOUNDATION YATILIANA SAINI NA CHUO CHA TAALUMA ZA SAYANSI ZA AFYA ZANZIBAR MARIDHIANO YA KUSAIDIA HUDUMA ZA AFYA VIJIJINI.

au

Mratibu wa Milele Zanzibar Foundation Ali Bakari Amani akitoa maelezo ya Mradi wa Champion in Health utakavyowasaidia wanafunzi watakaojiunga na mradi huo katika kipindi cha miaka mitatu wakati wa utiaji saini katika Chuo cha Taaluma za Sayansi za Afya kiliopo Mbweni Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.    Kaimu Mkuu …

Read More »

WAZIRI MKUU AENDESHA HARAMBEE UJENZI WA SEKONDARI MPYA RUANGWA

mty

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amelazimika kuendesha harambee ya papo kwa papo ma kuchangisha sh.milioni 138.26 ili kufanikisha ujenzi wa shule mpya ya sekondari wilayani Ruangwa. Hatua hiyo hiyo inafuatia wingi wa wanafunzi waliofaulu mtihani wa darasa la saba na kuchaguliwa kuingia kidato cha kwanza lakini hawakufanikiwa kupata nafasi katika mkupuo …

Read More »

EWURA YAIDHINISHA 8.5 % YA ONGEZEKO LA BEI YA UMEME

eu

Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), Felix Ngamlagosi akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu ya ongezeko la bei ya umeme, Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Umeme, Godfrey Chibulunje katikati Meneja Mawasialiano wa mamlaka hiyo Titus Kaguo. ………… Na …

Read More »

YASSER YUSUF BADI AFIKISHA MWAKA MMOJA KWA FURAHA.

kae

  Mtoto Yasser Yusuf BADI akiwa na sura ya furaha nyumbani kwao Toangoma Malela Blook 14 Plot 61 baada ya kutimiza mwaka mmoja toka kufika katika Dunia ya MUNGU,MUNGU akupe maisha marefu uishishi vizuri na watu wote kwako ndiyo mafanikio,upatiwe Elimu bora ndiyo msingi wa maisha ya DUNIANI. 

Read More »

WAZIRI WA FEDHA NA MIPANGO DK. PHILIP MPANGO AELEZEA HALI YA UCHUMI WA TAIFA JULAI – DESEMBA 2016

mpango

Waziri wa Fedha na Mipango Dk. Philip Mpango akielezea waandishi wa habari kuhusu ukuaji wa uchumi wa nchi na mambo mbalimbali yanayohusu masuala ya kiuchumi alipozungumza na wanahabari katika wizara hiyo leo jioni soma taarifa kamili ya waziri huyo hapa chini. ……………………………………………………………….. Nashukuru kupata fursa ya kuzungumza nanyi  leo kuhusu …

Read More »

Serikali kuandaa matamasha mbalimbali ili kutoa elimu juu ya kuridhiwa kwa mkataba wa matumizi ya dawa na kuongeza nguvu michezoni.

dro

  Na. Lilian Lundo-MAELEZO,Dar es Salaam Serikali kupitia Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa  na Michezo pamoja na  Tume ya Taifa ya UNESCO wamekusudia kuandaa matamasha na matembezi mbalimbali ili kutoa elimu kwa jamii kuhusu udhibiti wa matumizi ya dawa na mbinu za kuongeza nguvu michezoni. Hayo yamebainishwa leo Jijini Dar …

Read More »

BONDIA FRANCIS CHEKA AFUNGIWA MIAKA MIWILI

piczambia

Na Lilian Lundo-MAELEZO,Dar es Salaam KAMISHENI ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBC) imemfungia Bondia Francis Cheka kushiriki katika mchezo wa ngumi kwa kipindi cha miaka miwili na kulipa faini ya shilingi laki tano kwa kitendo cha kukacha pambano baina yake na Bondia Abdallah Pazi (Dulla Mbabe). Akizungumza na waandishi wa …

Read More »

RONALDO AKATAA MAMILIONI YA WACHINA

MADRID, SPAIN - SEPTEMBER 23:  Cristiano Ronaldo of Real Madrid CF celebrates scoring their fifth goal during the La Liga match between Real Madrid CF and Elche CF at Estadio Santiago Bernabeu on September 23, 2014 in Madrid, Spain.  (Photo by Gonzalo Arroyo Moreno/Getty Images)

Klabu ya Real Madrid ilipewa takriban pauni milioni 250 na klabu ya China ambayo haikutajwa jina ili kumnunua nyota wake Cristiano Ronaldo kulingana na ajenti wake Jorge Mendes. Amesema kuwa nahodha huyo wa Portugal mwenye umri wa miaka 31 hana haja na mpango huo ambao ulishirikisha mshahara wa kila mwaka …

Read More »

WAZIRI MKUU AENDESHA HARAMBEE UJENZI WA SEKONDARI MPYA RUANGWA

my

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiwapungia wananchi wa Ruangwa wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya  hiyo kuhutubia mkutano wa hadhara Desemba 30, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia Mkutano wa hadhara kwenye uwanja wa Ofisi ya CCM ya wilaya ya  Ruangwa Desemba 30, 2016.   Baadhi ya …

Read More »

EWURA YARIDHIA OMBI LA TANESCO KUPANDISHA BEI YA UMEME

eura

MAMLAKA ya Udhibiti wa huduma za Nishati na Maji, (EWURA), imetangaza ongezeko la bei ya umeme kwa asilimia 8.5%. Kwa mujibu wa Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Felix Ngamlamgosi, (pichani), ongezeko hilo la bei ni kufuatia maombi ya Shirika la Umeme Nchini, (TANESCO), ambalo liliwasilisha maombi EWURA ya kutaka ongezeko la …

Read More »

PHIRI:TUPO TAYARI DHIDI YA MBAO FC KESHO VPL

ten

ZIKIWA zimesalia  saa kadhaa kabla ya kuchezwa kwa mchezo wa ligi  kuu ya Vodacom Tanzania  bara  kati  Mbeya City fc na Mbao Fc kutoka jijini Mwanza uliopangwa  kuchezwa  kesho  jumamosi kwenye uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine  jijini hapa, kocha Kinnah Phiri amesema  maandalizi  kwa timu yake kuelekea mchezo huo yamekamilika  …

Read More »

CCM KIBAHA MJINI YAJIPANGA KUSHINDA UCHAGUZI MDOGO KATA YA MISUGUSUGU

kiva

  Wajumbe wa halmashauri kuu ya CCM ,Kibaha Mjini wakifuatilia jambo katika kikao cha halmashauri hiyo kilichokaa ili kujiwekea mikakati ya ushindi katika uchaguzi mdogo  wa kata ya Misugusugu,ambapo desemba 31 /2016 CCM inatarajia kuzindua kampeni zake rasmi.(picha na Mwamvua Mwinyi)  .. Na Mwamvua Mwinyi,Kibaha CHAMA cha Mapinduzi(CCM) Kibaha Mjini …

Read More »

CHECHE AANZA KWA USHINDI AZAM FC,YAITAFUNA PRISONS CHAMAZI

heche

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC,  imeiadabisha Tanzania Prisons kwa bao 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) uliofanyika Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. Mchezo huo ulikuwa ni wa mwisho kwa Azam FC mwaka huu kabla ya kuukaribisha mwaka mpya …

Read More »

MHANDISI MAKANI ATOA WIKI MBILI KWA WAFANYAKAZI NGORONGORO KUWASILISHA TAARIFA ZA MIFUGO NA MAJENGO YA KUDUMU WANAYOMILIKI NDANI YA HIFADHI HIYO

aga

 Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (katikati) akizungumza na watumishi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro wilayani Ngorongoro mkoani Arusha jana katika ziara yake ya kufuatilia utekelezaji wa maagizo ya Waziri Mkuu. Kulia ni Mhifadhi Mkuu wa Mamlaka hiyo, Freddy Manongi na Mbunge wa Jimbo la Ngorongoro ambaye pia …

Read More »