Friday , October 19 2018

Home / 2016 / December / 31

Daily Archives: December 31, 2016

MATUKIO MBALIMBALI YA PICHA YAKIONYESHA WAZIRI MKUU MAJALIWA AKICHANGISHA FEDHA ZA UJENZI WA SEKONDARI MPYA RUANGWA

mju1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya Shilingi milioni sita kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Pacco GEMS Limited, Bw. Mahendra Bardiya katika harambee  ya kuchangia ujenzi wa Shule Mpya ya Sekondari wilayani Ruangwa ambapo jumla ya shilingi milioni 138.26 zilichangwa. Harambee hiyo ilifanyika sambamba na  mkutano wa hadhara uliohutubia …

Read More »

BONDIA OMARI KIMWERI AWAMWAGIA VIFAA MABONDIA WATANZANIA

gedc0216

Mwakilishi wa Kimweri Promotion Nchini Tanzania Yuyuph Mnyeto kushoto akimkabidhi vifaa vya ndondi kwa kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila ‘Super D’ vilivyokabidhiwa kwa wadau mbalimbali nchini vifaa hivyo vimetolewa na Bondia Mtanzania anaefanya shughuli zake Victoria, Australia, Omari Kimweri picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Selemani Kidunda …

Read More »

WAKAZI WA MJI WA LINDI WAFANYA USAFI KUITIKIA WITO WA RAIS

wak1

 Wakazi wa mji wa Lindi wakifanya usafi wa mazingira katika mitaa na barabara  zinazozunguka hospitali ya mkoa huo Desemba 31, 2016. Walifanya hivyo kuitikia agizo la  Rais John Pombe Mgufuli la kuwataka watanzania kutumia muda wa asubuhi kila Jumamosi kufanya usafi wa mazingira. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Read More »

MAHAFALI YA 18 YA CHUO KIKUU CHA SAUT MWANZA YAFANYIKA

sau

Wahitimu wa Shahada ya Uzamili ya Habari na Mahusiano ya Umma kutoka Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine (SAUT) wakiwa kwenye picha ya pamoja baada ya mahafali ya 18 hivi karibuni, kuanzia kulian ni Martin Kayera, Bahati Mollel na Nicodemas Inkoko. Wakiwa kwenye picha ya pamoja wahitimu wa Shahada ya Uzamili …

Read More »

HAKUNA UHABA WA DAWA YA USINGIZI HOSPITALI YA BOMBO

uukkkuuuu

Na Frank Mvungi (MAELEZO)   Serikali yasema hakuna uhaba wa dawa ya usingizi katika Hospitali ya Rufaa Bombo Mkoani Tanga kama ilivyoripotiwa na baadhi ya vyombo vya habari hapa nchini kuwa hali hiyo inachochea kuzorota kwa huduma za upasuaji.   Akifafanua suala hilo Mganga Mkuu wa Mkoa wa Tanga  Dkt. …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA WALIMU WAHAMIE SHULENI

pmpic

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza walimu wanaishi mbali na shule wakati shule zao zina majengo wahame mara moja na warudi kuishi kwenye nyumba za shule. Amesema haifai kuacha walimu waishi mbali na maeneo ya shule kwani hali hiyo inachangia uchelewaji kazini na inapunguza muda wa kuwasimamia wanafunzi au kuwasaidia jioni …

Read More »

RAIS DK.SHEIN ATOA SALAMU YA MWAKA MPYA 2017

toi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi  Mhe,Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akitoa salamu za mwaka mpya wa 2017 kwa Wananchi wa Zanzibar na Tanzania kwa ujumla,ambapo ameuombea kuwa mwaka wa mafanikio na Amani,salamu hizo alizotoa leo katika  ukumbi wa Ukulu Mjini Unguja leo,[Picha na Ikulu.] 31 DISEMBA 2016.

Read More »

Bocco awapa mkono wa mwaka mpya mashabiki Azam FC

boe

NAHODHA wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, John Bocco ‘Adebayor’, amewatakia mashabiki wa timu hiyo kheri ya mwaka mpya ‘2017’ unaoanza leo saa 6.00 usiku huu huku akiwashukuru kwa sapoti yao waliyoionyesha mwaka huu. Bocco ametoa kauli hivi karibuni mara baada ya kumalizika kwa mchezo uliopita …

Read More »

NAIBU WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, MHANDISI RAMO MAKANI AUNDA KAMATI YA KUSULUHISHA MGOGORO WA MUDA MREFU WA PORI TENGEFU LA LOLIONDO, ATOA UFAFANUZI WA TAARIFA ZA FARU JOHN

saq

   Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhandisi Ramo Makani (kulia) akizungumza katika kikao cha wadau wanaohusika na mgogoro wa pori tengefu la Loliondo alichokiitisha katika ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro, katika tarafa ya Loliondo wilaya ya Ngorongoro mkoani Arusha jana. Kupitia kikao hicho aliunda kamati …

Read More »

YANGA YAGOMEA BOTI KISA SIMBA KWENDA MAPINDUZI

utani

Utani ukizidi ni shida, kwani Yanga ilipanga kuondoka leo saa 1:00 asubuhi kwenda Zanzibar, lakini imelazimika kufuta safari yake baada ya kubaini wangepanda boti moja na Simba katika safari yao. Timu zote hizo zinakwenda Zanzibar kushiriki michuano ya Kombe la Mapinduzi ambayo imeanza jana Ijumaa usiku kwa kushirikisha timu za …

Read More »

Tangazo la kifo cha Mzee Omulangira Cornel Kagombora

kasha

Bw. Venanti Kagombora wa Bunju Dar es Salaam anasikitika kutangaza kifo cha baba yake mzazi Omulangira Cornel Kagombora, kilichotokea leo katika Hospitali ya Serikali ya Mkoa, mjini Bukoba.  Habari ziwafikie watoto wake Verdiana Kagombora na Prosper Kagombora wa TEXAS Marekani, mkwe wa marehemu Bw. Justin Lambert wa Dar es Salaam …

Read More »

TAIFA JANG’OMBE YAANZA VYEMA MAPINDUZI CUP,YAICHAPA TAIFA BOYS

jang

Michuano ya Mapinduzi Cup inayofanyika visiwani Zanzibar imefunguliwa jana usiku kwa mahasimu wa jadi Taifa Jang’ombe na Taifa Boys mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Aman,Zanzibar huku Taifa Jang’ombe wakiibuka na ushindi wa bao 1-0. Mshambuliaji Seif Hassan ‘Banda’amekuwa mchezaji wa kwanza kufungua acounti ya magoli katika michuano hiyo baada ya …

Read More »

MUSOMA VIJIJINI WAWEKA WAZI MATUMIZI MFUKO WA JIMBO

diwa

Katibu wa Mfuko wa Jimbo la Musoma Vijijini na Afisa Mipango wa Wilaya ya Musoma, Mukama Rugina (aliyesimama) akizungumza wakati wa mkutano wa kujadili matumizi ya fedha za mfuko huo.   Baadhi ya wananchi wa Kata ya Tegeruka, Musoma Vijijini waliohudhuria mkutano wa kujadili matumizi ya fedha za Mfuko wa …

Read More »