Thursday , November 23 2017

Home / 2017

Yearly Archives: 2017

Tamasha la Tigo Fiesta kufanyika Jumamosi Jijini Dar

1

 Mkurugenzi wa Huduma za Masoko Tigo, William Mpinga(katikati) akifafanua jambo wakati akizungumza na waandishi wa habari kwenye mkutano wa kutambulisha wasanii watakaopanda katika jukwaa la Tigo Fiesta siku ya jumamosi viwanja vya Leaders jijini Dar Es Salaam leo mchana. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Tigo Fiesta, Sebastian Maganga na …

Read More »

KOZI YA GRASSROOTS YAPELEKWA MBEYA

TFF

Kozi ya Grassroots kwa Vijana kuanzia miaka 6-12, itafanyika mkoani Mbeya kuanzia Novemba 27, 2017 mpaka Desemba 1, mwaka huu. Mkurugenzi wa Ufundi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Salum Madadi amesema kozi hiyo itahusisha walimu wa Shule za Msingi za mikoa ya Songwe, Katavi, Rukwa na wenyeji …

Read More »

WASANII 20 WAPUNGUZWA FIESTA DAR

ruge-1

Mkurugenzi wa Vipindi na Uzalishaji wa Clouds Media Group, Ruge Mutahaba, amesema wamepunguza wasanii 20 ambao awali walipangwa kuwepo kwenye Tamasha la Tigo Fiesta linalotarajiwa kufanyika Jumamosi katika vya Viwanja Leaders Club. Ruge ameyasema hayo leo katika kipindi cha Clouds360, ambapo amesema: ‘’Tulikaa kama kamati jana na tumeamua kuachana na …

Read More »

CHUO KIKUU ARDHI MARUFUKU KUKODI MAKAMPUNI-MAJALIWA

WAZIRI-Mkuu-Kassim-Majaliwa

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekipiga marufuku Chuo Kikuu Ardhi kukodi makampuni ya kufanya kazi mbalimbali kwa niaba yake.   Amesema kitendo hicho kinaharibu kazi na sifa ya chuo hicho kwa kuwa baadhi ya makampuni wanayoyapa kazi hayakidhi vigezo.   Waziri Mkuu  ametoa kauli hiyo leo (Alhamisi, Novemba 23, 2017) kwenye …

Read More »

MATUMIZI YASIYO YA LAZIMA YADHIBITIWE-WAZIRI JAFO

1

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe.Selamani Jafo akifungua kongamano ya Chama cha Wahasibu Tanzania linalofanyika Mjini Dodoma. Mwenyekiti wa Chama cha Wahasibu Tanzania Fred Msemwa akitoa neno la utangulizi wakati wa ufunguzi wa Kongamano linalohusu uwazi na uwajibikaji kwa viongozi wa Mamlaka …

Read More »

KAGERA WAJIPANGA KUCHANGAMKIA FURSA ZA BENKI YA KILIMO

DSC03601

Mkuu wa mkoa wa Kagera, Meja Jenerali (Mstaafu) Salum Kijuu (katikati) akizungumza na ugeni kutoka Benki ya Kilimo ulipomtembelea Ofisini kwake Mkoani Kagera. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Benki hiyo, Bibi Rosebud Kurwijila na Katibu Tawala, Mkoa wa Kagera, Diwani Athumani (kulia) Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi …

Read More »

NAIAMINI TIMU YANGU ITAPATA USHINDI DHIDI YA MTIBWA-CIOABA

271A0399

KOCHA Mkuu wa Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, Aristica Cioaba, ameweka wazi kuwa anakiamini kikosi chake kitakusanya pointi zote tatu kuelekea mchezo ujao wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara (VPL) dhidi ya Mtibwa Sugar. Mchezo huo unaotarajia kuwa mkali na wa aina yake utafanyika Uwanja …

Read More »

DK.MAHENGE: HALMASHAURI ZIHAKIKISHE ASILIMIA 10 YA FEDHA ZA VIJANA, WANAWAKE NA WALEMAVU ZINATUMIKA KUTEKELEZA MKAKATI WA SERIKALI WA VIWANDA

mahenge

Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dk.Binilith Mahenge  ……………. Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Dkt. Binilith Mahenge amezitaka Halmashauri za Wilaya, Mji na Manispaa Mkoani Dodoma kuhakikisha zinatenga asilimia kumi (10%) ya makusanyo yao ya ndani kwa ajili ya vijana, wanawake na Walemavu kuanzisha miradi ya viwanda vidogo na vya kati. …

Read More »

WAZIRI HARRISON MWAKYEMBE AZINDUA MICHUANO YA SHIMUTA IRINGA

DSC_0255

 Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akiwa pamoja na mkuu wa mkoa wa Iringa bi Amina Masenza jukwaa kuu akiwahutubia wanamichezo waliojitokeza kushiriki michuano ya SHIMUTA      Baadhi ya wanamichezo walikuwa wakifurahia jambo baada ya waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe kuzindua rasmi mashindano hayo     …

Read More »

MECHI YA SIMBA NA LIPULI YARUDISHWA UWANJA WA UHURU

Niyonzima_Jabir

Mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Simba na Lipuli iliyopangwa kuchezwa Jumapili, Novemba 26, 2017 kwenye Uwanja wa Azam Complex sasa itafanyika kwenye Uwanja wa Uhuru.   Awali mechi hiyo ilihamishiwa Azam Complex baada ya wamiliki wa Uwanja wa Uhuru kueleza kuwa utakuwa na matumizi mengine Novemba 26, …

Read More »

WILAYA YA KISHAPU NA SHIRIKA LA MISAADA YA KIJAMII IMEKABIDHI HATI 43 ZA KIMILA ZA ARDHI KWA WANANCHI WA KIJIJI CHA NEGEZI KATA YA UKENYENGE

2

Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kengese akizungumza na wananchi wakati wa zoezi la kukabidhi hati za kimila katika kijiji cha Negezi kata ya Ukenyenge. Katibu Tawala Wilaya ya Kishapu, Shadrack Kengese akikabidhi moja ya hati za kimila kwa mwananchi katika kijiji cha Negezi. Meneja wa na Shirika la Misaada …

Read More »