Wednesday , January 17 2018

Home / 2017 / January / 01

Daily Archives: January 1, 2017

MAVAZI YA KHANGA YALIVYO SHINE KWENYE KHANGA PARTY MKESHA WA MWAKA MPYA

dq

  Usiku wa 31,December 2016 kuamkia mwaka mpya 2017 ndipo wanamitindo mbalimbali walikutana na kusherekea kwa pamoja Usiku wa Khanga yaani “Khanga Party”. Tukio hili kama lilivyo kuwa limetaarifiwa awali limefanyika Regency  Park Hotel.  Design mbalimbali za vazi la Khanga kutoka kwa wanamitindo zilioneshwa kwenye stage na kuzikonga mioyo za …

Read More »

KILELE CHA BONANZA LA MAZOEZI YA VIUNGO LEO

zoe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwaongoza Viongozi mbali mbali katika kilele cha Bonanza la mazoezi ya Viungo  yaliyofanyika leo kuanzia Viwanja vya Tumbaku na kumalizia Uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja,yaliyowasirikisha Vikundi mbali mbali Unguja na Pemba.    Wanakikundi cha Mazizini Beach …

Read More »

MKUU WA MKOA MSTAAFU MKOA MJINI MAGHARIBI APONGEZWA

mwimbi

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akimkabidhi Funguo za Gari aina Mpya ya Noah  Mkuu wa Mkoa Mstaafu Mhe, Abdalla Mwinyi Khamis iliyotolewa na Ofisi ya  Mkoa Mjini Magharibi jana katika sherehe za Kumpongeza kwa Utumishi uliotukuka  katika Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar,hafla iliyofanyika …

Read More »

RAIS MAGUFULI AANZA ZIARA KAGERA NA KUSEMA UMEME HAUTAPANDA

magufuli18888888888888888

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  amewahakikishia Watanzania kuwa licha ya Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati, Maji na Mafuta (EWURA) kuridhia ombi la TANESCO la kupandisha bei ya umeme kuanzia Januari mosi,2017 bei ya umeme haitapanda. Rais Dkt. Magufuli amezungumza hayo leo Jumapili …

Read More »

MTENGA -VYAMA PINZANI ACHENI POROJO AVITAKA KUONGEA KWA DATA/TATHMINI

cm-1

Diwani wa viti maalum,Kibaha Mjini Selina Wilson akimwombea kura mgombea mteule kupitia CCM kata ya Misugusugu katika uzinduzi wa uchaguzi mdogo katika kata hiyo. Katibu wa CCM mkoani Pwani,Hassan Mtenga akizungumza jambo katika kampeni za uchaguzi mdogo kata ya Misugusugu Mgombea mteule kupitia CCM kata ya Misugusugu,Ramadhani Bogas akiomba kura kwa …

Read More »

BW. WASIA MAYA NA BI. LAILA MARTIN WAMEREMETA HOUSTON, TEXAS

tex

Siku ya Alhamis tarehe 29/12 Bw. Wasia Maya kutoka mjini Houston , Texas aliamua kuachana na kambi ya makapera na kufunga ndoa na Bi. Laila Martin. Harusi hiyo ilifanyika nyumbani kwa Bw. Wasia na kuhudhuriwa na Watanzania wengi waishio katika jiji la Houston na miji ya jirani. Ijumaa ya tarehe 30/12 kulifanyika Nikka Dinner …

Read More »

KUHUSU MCHEZAJI VENANCE LUDOVICK

mvella

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limewataka wadau wa mpira wa miguu nchini wapuuze taarifa za kwenye mitandao kuhusu mchezaji Venance Ludovick. Suala la mchezaji huyo linaendelea kufanyiwa kazi na Kamati ya Katiba, Sheria na Hadhi za Wachezaji. Tunawahakikishia umma wa wapenda soka nchini kuwa haki itatendeka kwa mujibu …

Read More »

WAZIRI MKUU AWAAGIZA WALIMU KUKAA JIRANI NA SHULE

my

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza walimu wanaishi mbali na shule wakati shule zao zina majengo wahame mara moja na warudi kuishi kwenye nyumba za shule. Amesema haifai kuacha walimu waishi mbali na maeneo ya shule kwani hali hiyo inachangia uchelewaji kazini na inapunguza muda wa kuwasimamia wanafunzi au kuwasaidia jioni …

Read More »

ASKOFU MOKIWA AWAONGOZA WAUMINI WAKE KUTOA MSAADA NA KUFANYA USAFI HOSPITALI YA MWANANYAMALA JIJINI DAR ES SALAAM

uukkkuuuu

   Askofu Mkuu wa Kanisa la Anglikana Tanzania Dk.Valentino Mokiwa (katikati), akiwaongoza waumini wa kanisa hilo Archidikonari ya Kinondoni kufanya usafi katika viwanja vya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Mwananyamala Dar es Salaam leo asubuhi wakati kanisa hilo lilipotoa msaada wa vitanda na magodoro katika hospitali hiyo vyote vikiwa …

Read More »