Tuesday , January 16 2018

Home / 2017 / January / 02

Daily Archives: January 2, 2017

YANGA YAIFANYIA UNYAMA JAMHURI YA PEMBA KOMBE LA MAPINDUZI CUP

suva

  Na.Alex Mathias. Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Vodacom  Tanzania bara Yanga SC imeifanyia maafa timu ya Jamhuri ya Pemba jumla ya magoli 6-0 mchezo wa Michuano ya Kombe la Mapinduzi kwenye uwanja wa Amani mjini Zanzibar. Yanga walipata magoli yote manne kipindi cha pili kupitia kwa washambuliji wake …

Read More »

AZAM FC YAANZA VYEMA MAPINDUZI CUP YAILAZA ZIMAMOTO SC

zimamo

  Timu ya Azam FC ya jijini Dar es salaam imeanza vyema michuano ya Mapinduzi Cup inayoendelea visiwani Zanzibar baada ya kuwanyuka wenyeji Zimamoto goli 1-0 mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Amani na ukiwa mchezo wa kwanza wa Kundi B. Kipindi cha kwanza hakuna aliyeweza kumtambia mwenzake baada ya kwenda …

Read More »

RAIS DK.SHEIN ATEMBELEA KARAKANA YA MATREKTA MBWENI

imo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Naibu Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe, Lulu Msham Abdalla wakati alipofika kutembelea Kiwanada cha  Matrekta huko Mbweni Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo,(katikati) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe,Hamad Rashid Mohamed.   Rais wa Zanzibar na …

Read More »

HONGERA SERIKALI KWA KUWAJALI WANYONGE

index

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Hakika hakuna ubishi kuwa Serikali ya Awamu ya Tano inawajali wanyonge na imekukusudia kuwapa unafuu katika kufanikisha mambo mbalimbali ambayo yalikuwa magumu kuwezekana katika kipindi cha nyuma  kwa ajili ya kuharikisha maendeleo. Hatua hii inatokana na kuwakingia kifua wananchi wenye vipato vya chini kulikoonyeshwa na …

Read More »

GOLI LA GIROUD NI MIONGONI MWA MAGOLI 5 BORA KWANGU:WENGER

gou

Bao la Olivier Giroud la ‘scorpion ama nge’ katika ushindi wa Arsenal wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace ni miongoni mwa mabao matano muhimu katika uongozi wa Arsene Wenger. Mabao ya Thiery Henry na Dennis Bergkamp ni miongoni mwa mbao aliyofurahia lakini akasema hili litakuwa ‘bao la Giroud‘. Aliongezea: Si …

Read More »

TTCL Kudhamini Mashindano Ya Soka la Ufukweni

mwansa00

Afisa Mkuu wa Mauzo kutoka Kampuni hiyo Peter Ngota akizungumza a waandishiwa habari kwenye ukumbi wa Idara ya Habari Maelezo leo wakati akitangaza udhamini wa timu hiyo katika michezo ya vyuo vikuu katika mpira wa ufukweni Katikati ni Jully Mwakalebela na kulia ni Mkuu wa mashindano hayo John Mwansasu. …………………………………………………………………………….. …

Read More »

JOSE MOURINHO ACHUKIZWA NA IVORY COAST

bailly

Kocha Mkuu wa klabu ya Manchester United Jose Mourinho amechukizwa na Ivory Coast baada ya kumchukua beki Eric Bailey Bailey alishiriki katika kikosi cha kwanza cha United katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Middlesbrough na Mourinho alidhani beki huyo atajuimuika na wenzake katika mechi dhidi ya West Ham siku ya …

Read More »

RAIS DKT MAGUFULI AMALIZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KAGERA

magu0

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo Jumatatu  Januari mbili, 2017 amemaliza ziara yake ya siku mbili Mkoani Kagera kwa kuwatembelea baadhi ya wananchi walioathiriwa na tetemeko la ardhi pamoja na kukagua baadhi ya miundo mbinu iliyoathiriwa na tetemeko hilo na kuweka jiwe la msingi …

Read More »

YANGA NA AZAM FC KUANZA KWA USHINDI MAPINDUZI CUP LEO?

yanga4444444444444444444

Kikosi cha Mabingwa wa Tanzania bara  Yanga, leo usiku saa 2:30 kinashuka uwanjani kupambana na Jamhuri ya Pemba katika mchezo wake wa kwanza wa michuano ya Kombe la Mapinduzi inayoendelea kutimua vumbi Visiwani Zanzibar katika Uwanja wa Amaan ulipo mjini Unguja na mchezo wa kwanza wa kundi hilo B utachezwa …

Read More »

WATENDAJI WA SRIKALI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA UFANISI

p-1

Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Salama Mbarouk Khatibu akiwa katika moja ya majukumu yake walayani Chakechake. …………………………………………………………………………………….. Na Masanja Mabula -Pemba ..   Mkuu wa Wilaya ya Chake Chake Salama Mbarouk Khatibu amewataka watendaji wa Serekali kubadilike katika utendaji wao wa kazi ili waweza  kufanya kazi  kwa ufanisi zaidi …

Read More »

SERIKALI YAWABWAGA WANAHARAKATI SHERIA YA MTANDAO.

index

Na Mwandishi Wetu   MAHAKAMA Kuu ya Tanzania imetupilia mbali kesi iliyofunguliwa kupinga sheria ya mtandao iliyotungwa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mwaka 2015 ili kulinda maslahi ya Taifa ya kupambana na kutoa mwelekeo wa kukabiliana na makosa ya mtandao.   Hukumu hiyo ya kihistoria ilitolewa na …

Read More »

WAZIRI MKUU AMJULIA HALI MAJIMAREFU KAIRUKI HOSPITALI

maji-mare

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimpa pole mbunge wa Korogwe Vijijini, Steven Ngonyani ambaye amelazwa katika hospitali ya Kairuki, Mikocheni jijini Dar es salaam akitibiwa Januari 2, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) ………………………………………………………… WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemtembelea na kumpa pole Mbunge wa Jimbo la Korogwe Vijijini, Mhe. Steven …

Read More »

Suala la Usafi wa Mazingira kuwa liwe utamaduni wa kudumu

vua1

Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai pamoja na maafisa wengine wa chama na jumuiya zake wakifanya usafi wa mazingira kwa kufyeka majani katika uwanja uliopo katika Afisi kuu ya CCM kisiwandui Zanzibar. Kaimu Mkuu wa Utawala Afisi Kuu ya CCM Zanzibar, Said Omar  Mwenemzi akifanya usafi katika …

Read More »

HEBU TUJIKUMBUSHE MATUKIO MAKUBWA YA AZAM FC 2016

tn

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, inatarajia kufungua pazia la mwaka mpya wa 2017 kwa kucheza mechi yake ya kwanza leo Jumatatu saa 10.15 jioni kwa kukipiga dhidi ya Zimamoto kwenye mchezo wake wa ufunguzi wa michuano ya Kombe la Mapinduzi. Wakati ikielekea kufungua pazia hilo, mwaka …

Read More »

JULIO AAMUA KUCHOMA VYETI VYAKE MOTO

kiw

  Kocha Jamhuri Kiwelu Julio,amesema kwamba kwa sasa hana mpango wa kurejea katika kazi yake ya ufundishaji wa mpira wa miguu hapa nchni kwa kuwa mpira wa Tanzania umetawaliwa na siasa ambazo hazina msingi. Julio ameiambia fullshangweblog.com kwamba licha ya kutakiwa na timu mbalimbali za hapa nyumbani,lakini kwake hafikirii kabisa …

Read More »

SIMBA YA MWENDOKASI YAANZA VYEMA MAPINDUZI CUP

mapi

Michuano ya Mpinduzi Cup inazidi kushika kasi hapa visiwani Zanzibar baada ya kushuhudia Simba vs Taifa Jangombe zikikamilisha mchezo wa tatu wa Kundi A. Simba imeitwanga Taifa Jang’ombe kwa mabao 2-1 katika mechezo wake wa kwanza wa michuano hiyo kwenye Uwanja wa Amaan mjini Zanzibar. Simba walikuwa wa kwanza kupata …

Read More »

WALEMAVU WA KIJIJI CHA LULANZI WAMLILIA MBUNGE RITTA KABATI

wale

   Mbunge wa viti maalum mkoa waIringa(CCM) Rita Kabati akiongea na familia ya watu watano wenye ulemavu wa viungo alipowatembea katika kijiji cha Lulanzi kata ya Mtitu wilayani Kilolo mkoa wa Iringa wakati wa kuwasaidia msaada kukarabati nyumba yao pamoja na kuwapa vitu vingine vya kimsaada Leah mwamoto mtoto wa …

Read More »