Thursday , January 18 2018

Home / 2017 / January / 03

Daily Archives: January 3, 2017

SIMBA YAUNGURUMA TENA MAPINDUZI CUP,YAIPOPOWA KVZ YA ZANZIBAR

kic

Na.Alex Mathias Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara wameibuka na  kupata ushindi wa pili mfululizo katika michuano ya kombe la Mapinduzi Cup dhidi ya timu ya KVZ mchezo uliochezwa kwenye uwanja wa Amani visiwani Zanzibar Simba wameibuka na pointi tatu muhimu. Simba ilibidi wasubiri mpaka dakika ya 43 …

Read More »

SERIKALI YAFUTA POSHO ZA VITAFUNWA, MAZINGIRA MAGUMU

waz-kuu

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewaagiza Wakurugenzi wa Halmashauri zote nchini kuhakikisha fedha zote zilizotengwa kwa ajili ya posho mbalimbali zisizokuwa za kisheria zinaelekezwa katika miradi ya maendeleo. Ametia agizo hilo leo (Jumanne, Januari 3, 20017) wakati akizungumza na watumishi wa Manispaa ya Kigamboni akiwa katika ziara yake ya kikazi. “Kuanzia …

Read More »

JANG’OMBE BOYS YAITANDIKA URA YA UGANDA KOMBE LA MAPINDUZI CUP

abdi

Michuano ya Kombe la Mapinduzi Cup imeendelea kwenye uwanja wa Amani visiwani Zanzibar kwa mabingwa watetezi wa kombe hilo URA kukubali kichapo Jang’ombe Boys imekuwa timu ya pili kutoka Zanzibar kupata ushindi kwenye michuano ya Mapinduzi Cup 2017. Boys wameifunga URA FC ya Uganda kwa magoli 2-1 na kuchukua pointi …

Read More »

JIWELA MSINGI VERDE-MARINE HOTEL ZANZIBAR.

jiwe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi ujenzi wa VERDE-MARINE HOTEL Mtoni Mjini Magharibi,hoteli ya kisasa yenye hadhi ya nyota 5 inayojengwa na kampunui ya ujenzi ya Bakhresa Group of Companies,ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 …

Read More »

MAJALIWA AKIZUNGUMZA NA WATUMISHI WA MANISPAA YA KIGAMBONI

waz-kuu

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na watumishi wa Manispaa ya Kigamboni jijini Dar es salaam akiwa katika ziara ya wialaya ya Kigamboni  Januari 3, 2016. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na viongozi wa wialya ya Kigamboni baada ya kuwasili wilayani humo kwa ziara ya siku moja. (Picha na Ofisi ya …

Read More »

MKUU WA MKOA WA LINDI APIGA MARUFUKU MATUMIZI MABAYA YA CHAKULA KWENYE SHEREHE ZA KIMILA

weeuuuuuuuuuuu

Mkuu wa Mkoa Godfrey Zambi akiwa anaongea na wanakijiji wa Kijiji cha Makanjiro Mkuu Wa Wilaya ya Ruangwa Joseph Mkirikiti akiwa anaongea na wananchi wa kijiji cha Mandawa(Na: Mwanakheri Ahmed wa Ruvumatv.com) ………………………………… Mkuu wa Mkoa wa Lindi, Mhe. Godfrey Zambi amepiga marufuku kufanyika kwa shughuli zozote zile za kimila zinazotumia chakula …

Read More »

MAAMUZI YA GUARDIOLA KUHUSU KUSTAAFU KUFUNDISHA SOKA

pep-guardiola1

Kocha wa Manchester City Pep Guardiola anakaribia kustaafu kufundisha soka na hataitakuwa miaka 65 kama alivyodhani awali. Muispania huyo amewahi kuifundisha klabu ya Barcelona kwa mafanikio makubwa kisha Bayern Munich kabla ya kuchukua nafasi ya Manuel Pellegrini Man city. ”Nitakuwa hapa Manchester kwa misimu ama mitatu labda na zaidi,” Guardiola …

Read More »

PEMBA: AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUMNAJISI MVULANA

pemba-zanzibar

Na Masanja Mabula –Pemba ,.. JESHI LA Polisi Mkoa wa Kaskazini Pemba limemfikisha mahakamani katika mahakama ya Wilaya ya Wete kijana Saidi Juma Msheli (20) mkaazi wa Chasasa Wete kwa kosa la kumnajisi mvulana mwenye umri wa miaka 13 ambapo  kupelekwa rumande kwa muda wa siku kumi na nne . …

Read More »

LIGI KUU SOKA YA WANAWAKE TANZANIA BARA

karuma

Duru la Pili la Ligi Kuu soka ya Wanawake ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linatarajiwa kuanza kesho Jumatano Januari 4, 2017 kwa michezo minne itakayofanyika kwenye viwanja mbalimbali. Kwa mujibu wa ratiba, katika kundi ‘A’ pekee litakuwa na mchezo mmoja wakati kundi ‘B’ litakuwa na michezo mitatu …

Read More »

UPASUAJI WA KUUNGANISHA MISHIPA YA DAMU KWA AJILI YA KUSAFISHIA DAMU KWA WAGONJWA WENYE MATATIZO YA FIGO WAFANYIKA KATIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE (JKCI)

upasu

Daktari bingwa wa upasuaji wa moyo na mishipa ya damu ambaye pia ni Mkurugenzi wa huduma ya Upasuaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI)  Bashir Nyangasa na Dk. Sun Long wakimfunga bandeji  mgonjwa leo mara baada ya kumaliza kumfanyia upasuaji wa kuunganisha mishipa ya damu (AVF- Arterio Venous …

Read More »

2017 UWE MWAKA WA KULIPA KODI KWA HIARI.

guyu

Na Beatrice Lyimo- MAELEZO   MOJA ya malengo makuu ya Serikali ya Awamu ya Tano ni kuongeza nguvu katika ukusanyaji wa mapato nchini kwa lengo la kupanua wigo katika ukusanyanyi wa kodi ili kuimarisha mfumo wa utoaji huduma kwa wananchi. Akifungua mkutano wa Bunge la 11 la Jamhuri wa Muungano …

Read More »

MWANSASU AANZA KUPATA MATUMAINI YA BEACH SOCER

mwansasu-mbeya

Kocha mkuu wa timu ya Taifa ya mpira wa ufukweni,maarufu kama Beach Socer,John Mwansasu amesema kwamba baada ya wadhamini kuanza kujitokeza kudhamini mchezo huo,anaamini Tanzania itafanya vizuri kwenye michuano mbalimbali. Mwansasu ameyasema hayo baada ya kampuni ya simu ya TTCL kujitokeza kudhamini bonanza la mashindano ya beach soccer kwa vyuo …

Read More »