Wednesday , January 17 2018

Home / 2017 / January / 04

Daily Archives: January 4, 2017

VIDEO: MADHARA YA KUTAMANI WASICHANA USIYO WAJUA

wd

Katika Karne ya sasa vijana wengi wamekuwa na tabia ya kutafuta uhodari  wa nani zaidi kwenye tasnia ya mapenzi,  hivyo wakati kijana anapo jikita kwenye mapenzi kama unavyo jua mapenzi yalivyo na nguvu,  anashindwa kuvumilia na kujiwekea misimamo yaani kutulia na msichana ambaye tayari kamfanyia uchunguza wenye kina. Tamaa! ni …

Read More »

UZINDUZI WA VIFAA VIPYA VYA KUTEREMSHIA MAKONTENA UNGUJA.

ruge

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Vifaa vipya vya kufanyia kazi katika Bandari ya Malindi Mjini Unguja leo ikiwemo  Makontena ya mizigo mizito wakiwepo na Viongozi mbali mbali,  ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu …

Read More »

MASAUNI AFANYA ZIARA MAGEREZA, AAGIZA SARE ZOTE ZA JESHI LA ZIMAMOTO NA IDARA YA UHAMIAJI KUANZIA SASA ZISHONWE KIWANDA CHA MAGEREZA UKONGA, JIJINI DAR ESA SALAAM

uwe

Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na maafisa na askari wa Jeshi la Magereza, Makao Makuu, jijini Dar es Salaam wakati kiongozi huyo alipofanya ziara ya kikazi katika Jeshi hilo leo. Masauni mara baada ya kumaliza ziara yake …

Read More »

SHAKA ATAKA WACHAPAKAZI WABAKI MAKAO MAKUU UVCCM

mkou

Na Mwandishi Wetu,  Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM) umewataka watendaji na watumishi wa Makao Makuu ya jumuiya hiyo  kuanza kujipima, kujitathmini na kujipanga upya kimamakati  kwa sababu muda wa  kupiga maneno haupo ila  vinavyohitajika ni uwezo binafsi  na vitendo. Pia umoja huo umewasisitiza watendaji , wahudumu na …

Read More »

WAZIRI MKUU: MADIWANI WASIPEWE FEDHA ZA MAENDELEO MKONONI

waziri-mkuu-aagiza-cu-in-1

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakurugenzi wote wa Halmashauri na Manispaa nchini kuacha kutoa fedha taslimu na kuwapa madiwani ili zikafanye kazi za maendeleo. Badala yake amewataka waandae mfumo maalum wa kutoa fedha hizo kama zinavyotolewa fedha za mfuko wa Jimbo ambazo ni maalum kwa wabunge lakini zinatumika kwa shughuli …

Read More »

UVCCM:DK MAGUFURI AMEKONGA NYOYO KUZUIA BEI ZA UMEME

urrv

Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam Umoja wa Chama Cha Mapinduzi  (UVCCM) umesifu msimamo imara  ulioonyeshwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kujali na kupigania maslahi  ya wananchi wanyonge hatimaye  kuzuia mpango batili  wa Tanesco  kupandisha bei ya umeme nchini . Pia Umoja huo umeelezea kufurahishwa kwao …

Read More »

KABURU ATOA UFAFANUZI SUALA LA IBRAHIM AJIBU KUJIUNGA NA TIMU YA MISRI

geofrey-nyange-kaburu

Makamu mwenyekiti wa klabu ya  Simba,Geofrey Nyange Kaburu ametolea ufafanuzi wa suala la mshambulijia wao Ibrahim Ajibu aliyekuwa katika majaribio kwenye timu ya Haras El Hodood ya Misri. imesema bado inasubiri taarifa kutoka Haras El Hodood na Ibrahim Ajibu bado ni mchezaji halali Simba. Awali kulikuwa na taarifa zinazozagaa mitandaoni …

Read More »

VIJANA ASPIRE KWENDA SENEGAL, VIPAJI VINGINE VYATAFUTWA

jamal-malinzi-1

Vijana watatu wa Tanzania ambao vipaji vyao vilitafutwa katika Mradi wa Aspire, wanatarajiwa kuondoka kesho Januari 5, 2017 kwenda Dakar, Senegal kwa ajili ya kujijunga na Akademi ya Aspire kuendelezwa kwa miaka mitano ijayo. Vijana hao ni Ally Hamis wa Kituo cha Makongo, Dar es Salaam ambaye alizaliwa Septemba 16, …

Read More »

MAANDALIZI YA AIRTEL RISING STARS YAKAMILIKA

airt

Kliniki ya soka ya Airtel Rising Stars iyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kubwa inatarajiwa kuanza Jumatatu, Januari 16 kwenye Uwanja wa Karume huku wavulana 40 na wasichana 25 waliofanya vyema kwenye michuano ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ya Airtel Rising Stars 2016 wakishiriki. Kufanyika kwa kliniki hiyo kutakuwa …

Read More »

MAFUNZO KWA WASIMAMIZI WA UCHAGUZI MDOGO YAENDELEA MJINI DODOMA.

aroni

 Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi Bw. Kailima Ramadhan akitoa ufafanuzi kuhusu uwekaji wa kituturi cha kupigia kura wakati wa mafunzo ya Wasimamizi wa Uchaguzi, Wasimamizi Wasaidizi wa Uchaguzi ngazi ya Jimbo na Kata watakaosimamia uchaguzi mdogo wa Madiwani utakaofanyika katika kata 20 za Tanzania Bara na …

Read More »

MKUU WA JESHI LA POLISI NCHINI, IGP ERNEST MANGU ATUMA TIMU YA MAOFISA WA JESHI LA POLISI KWENDA ZANZIBAR KUCHUNGUZA VITENDO VYA UDHALILISHAJI

index

Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini, IGP Ernest Mangu ametuma timu ya Maofisa  wa Polisi ikiongozwa na Kamishna wa Polisi Jamii Mussa Alli Mussa kwenda Zanzibar kushughulikia kero na malalamiko ya wananchi juu ya vitendo vya udhalilishaji na ukatili kwa watoto/wanawake ambavyo vimekuwa vikiripotiwa mara kwa mara. Timu hiyo imepewa …

Read More »

UVCCM LONGIDO YATOA MSAADA KWA WATOTO YATIMA

uvccm1

 Kushoto ni Katibu  wa UVCCM wilaya ya Longido Isaya Karakara, Katibu Hamasa wa UVCCM mkoa wa Arusha Neema Emmanuel  na Mjumbe Baraza Kuu  UVCCM Mkoa wa Arusha Robert Kaseko w akikabidhi msaada kwa Mmiliki wa kituo cha kulelea Watoto yatima cha Masai Foundation  Joyce Kabati    Kushoto ni Katibu  wa …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA UMEME WA UHAKIKA KISARAWE II

oilcom

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amemuagiza Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuhakikisha eneo la Kisarawe II linakuwa na umeme wa uhakika ili kuwezesha viwanda na wananchi wa eneo hilo kupata nishati hiyo. Alitoa agizo hilo jana jioni (Jumanne, Januari 3, 2017) wakati alipotembelea kiwanda cha Milkcom kinachozalisha bidhaa …

Read More »

MAJALIWA AKAGUA MAGAHALA YA NFRA CHANG’OMBE DAR

mahi2

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua mhahindi wakati alipotembelea magahala ya Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) , Chang’ombe jijini Dar es salaam Januari  4, 2017.  Kulia kwake ni  Kaimu Ofisa Mtendaji Mkuu wa  Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA), Deusdedit Mpazi. (Picha na Ofisi ya Waziri …

Read More »

ZIARA YA MAJALIWA KIGAMBONI

un1

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama ngombe wa kisasa wakati alipotembelea  shamba la ng’ombe wa maziwa  la MILKCOM  TANZANIA LIMITED  lililopo Kigamboni  jijini Dar es salaam. Alikuwa katika ziara ya wilaya ya Kigamboni Januari 4, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Wananchi wa eneo la Kisarawe Two wilayani Kigamboni wakimsikiliza …

Read More »

RC Gambo akutana na wadau wa Elimu

rc1

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akifungua kikao cha Wadau wa Elimu Mkoa wa Arusha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo akishirikiana na wataalamu kuweka mitambo sawa kwa ajili ya wadau wa Elimu kuwasilisha taarifa. Viongozi wa Halmashauri ya Ngorongoro wakifuatilia Kikao cha Wadau wa Elimu Wadau wa …

Read More »

VIDEO:OLE WAKE ATAKAYEENDELEA NA KAZI YA UNGARIBA-SIHABA NKINGA

pd-9

Mkurugenzi wa Kituo cha Kulea Watoto waliokimbia Kukeketwa cha (ATFGM-Massanga) Sister Stella Mgayaakimuonesha Katibu Mkuu Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto (Idara kuu ya Maendeleo ya Jamii) Bi. Sihaba Nkinga kifaa cha musiki kilichotwngwnwzwa na mangariba wastaafu. …………….. NA HASSAN SILAYO-MAELEZO Katibu Mkuu Wizara ya Afya …

Read More »