Thursday , January 18 2018

Home / 2017 / January / 05

Daily Archives: January 5, 2017

SIMBA YABANWA MBAVU KOMBE LA MAPINDUZI NA URA YA UGANDA

ura

Na.Alex Mathias. Vinara wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara Simba imeshindwa kutamba mbele ya wakusanya mapato toka Uganda timu ya URA baada ya kutoka sare ya 0-0 mchezo wa pili wa Michuano ya kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar kwenye uwanja wa Amani. Dakika 90 hakuna timu ambayo imeweza …

Read More »

JERRY MURO AIPIGIA MAGOTI TFF

muro

Hatimaye msemaji wa Yanga Jerry Muro ameinua mikono juu na kuiangukia TFF kwa kuandika barua ya kuomba kupunguziwa adhabu ya kufungiwa kutojihusisha na masuala ya soka kwa muda wa mwaka mmoja. Adhabu ya Muro ilianza Julai 7, 2016 hiyo inamaanisha tayari ameshatumikia adhabu yake kwa kipindi kisichopungua miezi sita. TFF …

Read More »

UZINDUZI WA KIWANDA CHA AZAM DAIRY PRODUCTS LIMITED FUMBA.

daily

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akisalimiana na Mwenyekiti wa Kampuni ya Azam Group Bw.Said Salim Bakhresa mara alipowasili katika Viwanja vya Kiwanda cha Maziwa cha (Azam Dairy Products Ltd.) huko Fumba Kororo Wilaya ya Magharibi “A” Unguja leo kukizindua rasmi,ikiwa ni katika shamra shamra za maadhimisho …

Read More »

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM, DIMANI ZANZIBAR

dim1

Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, leo, Januari 5, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo). Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za …

Read More »

Rc Gambo apania kutokomeza vifo vya mama na Mtoto

nte1

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza katika mkutano wa Wadau wa Afya uliofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya Meru,kushoto ni Mganga Mkuu wa mkoa,Dk frida Mokiti. Mganga Mkuu wa mkoa wa Arusha,Dk Frida Mokiti akizungumza katika mkutano wa Wadau wa Afya uliofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri ya Meru,kulia ni …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

images

TAREHE 4 /1/ 2017 MAJIRA YA SAA SITA USIKU (00:00) KATIKA MAENEO YA KIJIJI CHA NYABUTANGA KATA YA BUKOKWA TARAFA YA BUCHOSA WILAYA YA SENGEREMA MKOA WA MWANZA, ASKARI WALIFANIKIWA KUWAKAMATA WATU WATANO AMBAO NI 1. JULIUS NDALO MIAKA 80, 2. GEORGE JULIUS MIAKA 22, 3. JOSEPH JULIUS MIAKA 28, …

Read More »

WAZIRI MKUU AONYA VITA YA MADIWANI NA WATUMISHI

maji4

*Ataka Wakuu wa Idara watoe ushauri wa kitaalamu bila woga   WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka Wakuu wa Idara kwenye Halmashauri za Wilaya na Manispaa wasaidie kutoa utaalamu badala ya kupingana na madiwani ili wawezeshe kuleta maendeleo kwa wananchi. Pia amewataka madiwani wasikilize ushauri wa kitaalamu unaotolewa na Wakuu wa …

Read More »

DKT. SENKORO KUZIKWA JUMAMOSI MAKABURI YA KINONDONI

senkoro

Na: Frank Shija – MAELEZO Mwili wa aliyekuwa Mgombea wa kwanza Mwanamke kuwania kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Anna Senkoro unatarajiwa kuzikwa katika makaburi ya Kinondoni jijini Dar es Salaam siku ya jumamosi tarehe 07/01/2017 kuanzia saa 8:00 mchana. Taarifa hiyo imetolewa leo jijini Dar …

Read More »

MAKAMBA ATEUA WAJUMBE BODI YA NETFUND

maxresdefault

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (anayeshughulikia Muungano na Mazingira) Mhe. January Makamba ameteua wajumbe wa Bodi ya wadhamini ya Mfuko wa Taifa wa Dhamana ya Hifadhi ya Mazingira Nchini (National Environmental Trust Fund – NETFUND). Waziri huyo amefanya uteuzi huo leo jijini …

Read More »

SERIKALI YAWAWEZESHA WATUMISHI WAKE KUPATA NYUMBA

ardhi1

Mkurugenzi wa Idara ya Nyumba Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Bw. Michael Mwalukasa akizungumza na Waandishi wa Habari Leo Jijini Dar es salaam kuhusu mfuko wa kuwawezesha watumishi wa Serikali kumiliki Nyumba ambapo zaidi ya watumishi 2000 wameshanufaika na mikopo yenye riba nafuu ya asilimia 3 ili …

Read More »

Diwani Assenga awakumbuka Jellah Mtagwa, Peter Tino

ase2

Diwani Assenga akizungumza na baadhi ya viongozi wa timu shiriki za mashindano ya Diwani Cup Diwani Assenga akikikabidhi jezi kwa  timu shiriki za mashindano ya Diwani Cup ……………………………………………………………………. Na Mwandishi Wetu WACHEZAJI nembo ya Tanzania Kimataifa wanatarajia kuzindua mashindano ya kuwania kombe la Diwani wa Kata ya Tabata, Patrick Assenga …

Read More »

HALMASHAURI YA CHALINZE YASHIRIKIANA NA RIDHIWANI KUWAPIGA TAFU WENYEVITI WA VIJIJI/VITONGOJI

meya

Mwenyekiti wa halmashauri ya Chalinze, Saidi Zikatimu, akizungumzia mikakati waliyojiwekea kuwalipa posho wenyeviti wa vijiji na vitongoji sanjali na kuinua mapato ya ndani (Picha na Mwamvua Mwinyi) ……………………………………………………………………… Na Mwamvua Mwinyi,Chalinze HALMASHAURI ya mji mdogo wa Chalinze,mkoani Pwani,imetenga kiasi cha sh.mil 36 katika kipindi cha mwaka 2016/2017 kwa ajili ya kuwalipa posho …

Read More »

MPANGO WA UTAMBUZI NA URASIMISHAJI UJUZI

tanzania

Je wewe ni fundi lakini ulipata ujuzi bila kupitia chuoni na kupata cheti? Je una uzoefu kwenye fani yako u Je wewe ni fundi lakini ulipata ujuzi bila kupitia chuoni na kupata cheti? Je una uzoefu kwenye fani yako usiopungua miaka mitano na umri wako hauzidi miaka 45? Je ungependa …

Read More »

WAZIRI MKUU AKAGUA GHALA LA NFRA SONGEA

jil

*Aagiza akiba iliyopo itunzwe hadi msimu ujao wa mavuno * RC, Ma-DC, Ma-DED waagizwa kuelimisha umma utunzaji wa chakula WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua maghala ya nafaka yanayomilikiwa na Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) Kanda ya Songea na kuagiza akiba ya mahindi iliyopo iendelee kutunzwa hadi msimu …

Read More »

WAZIRI MKUU AONGOZA MAMIA KUMZIKA KAPTENI MHAIKI

01

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa  na mkewe Mery Majaliwa wakiweka shada la maua katika kaburi la aliye kuwa Mkuu wa ndege za serikali Kapteni  Kenan Mhaiki  aliye fariki tarehe 31/12/2016 nakuzikwa tarehe 4/1/2017 kijijini kwao Matogoro Mkoani Ruvuma Picha na Chris Mfinanga Mke wa Marehemu  Kapteni Kenan Mhaiki  akiweka shada la …

Read More »

KINANA NA UJUMBE WAKE MZITO WAENDA ZANZIBAR LEO

1

 Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akiwa na viongozi waandamizi wa CCM katika boti ya  wakati wakiwa safarin kwenda Zanzibar kwenye uznduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge jimbo la  Dmani, mkoa wa mjini Magharibi, leo. Kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara Rodrick Mpogolo, Katibu wa NEC Itikadi …

Read More »