Wednesday , January 17 2018

Home / SIASA / KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM, DIMANI ZANZIBAR

KINANA AZINDUA KAMPENI ZA CCM, DIMANI ZANZIBAR

dim1

Katibu Mkuu wa CCM,Andulrahman Kinana akimnadi Mgombea wa Ubunge jimbo la Dimani Juma Ali Juma, katika uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi mdogo wa Ubunge katika jimbo hilo, mjini Zanzibar, leo, Januari 5, 2017. (Picha na Bashir Nkoromo).

dim2

Katibu Mkuu wa CCM akihutubia wananchi katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimbo la Dimani, Zanzibar, uliofanyika leo. (Picha na Bashir Nkoromo)

dim3

Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi, Humphrey Polepole, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo). 

dim4

Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo). 

dim5

Wananchi wakishangilia wakati wa mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge jimbo la Dimani, Zanzibar leo.(Picha na Bashir Nkoromo).

dim6

Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Kanali Mstaafu, Ngemela Lubinga, akisalimia wananchi alipotambulishwa naKatibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo wa Ubunge Jimbo la Dimani, Zanzibar, leo. (Picha na Bashir Nkoromo). 

dim7

Naibu Katibu Mkuu wa CCM VuaiAli Vuai akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM, Kinana

dim8

Baadhi ya wanachama wa CCM wakiwa katika mkutano huo wa uzinduzi wa Kampeni jimbo la Dimani

dim9

Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Ali Seif Idd akisalimiana na wana CCM katika mkutano huo kulia ni Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana.

About bukuku

Check Also

Nape

NAPE AFUNGUKA AKIMNADI DK. NDUMBARO ADAI KAMWE HATA IHAMA CCM

Nape akibadilishana mawazo na Dk. Ndumbaro Na Gideon Mwakanosya-Songea MBUNGE wa jimbo la Mtama mkoa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

five × 3 =