Thursday , January 18 2018

Home / 2017 / January / 06

Daily Archives: January 6, 2017

JOHN MIKEL OBI AITEMA CHELSEA NA KUKIMBILIA CHINA

gettyimages-456051316-0

Kiungo wa kati wa Nigeria John Obi Mikel amekuwa mchezaji wa karibuni zaidi kuondoka Chelsea na kuhamia Ligi Kuu ya China. Mikel ametangaza kwenye Twitter kwamba atajiunga na klabu ya Tianjin TEDA. Majuzi, Oscar aliondoka Stamford Bridge na kujiunga na Shanghai SIPG. Mchezaji wa Brazil Ramires alikuwa ameaga klabu hiyo …

Read More »

KATIBU MKUU AKABIDHI SIMU KWA WAKUSANYA TAARIFA ZA MASOKO

psmkenda

  Dodoma:Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji (WVBU)Prof. Adolf Mkenda amehitimisha mafunzo ya ukusanyaji wa taarifa za bei za mazao ya kilimo na bidhaa nyingine kwa kukabidhi simu za Mkononi Washiriki wa Mafunzo hayo kutoka mikoa mbalimbali  Tanzania bara. Mafunzo hayo yaliyofanyika mkoani hapa kwa siku nne mfululizo na …

Read More »

WAZIRI MKUU ANUSA MADUDU MRADI WA NGAKA

maji-waziri

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa atamtuma mara moja Msajili wa Hazina aende kufanya uchunguzi wa kina na wa kijinai (forensic investigation) ili kijiridhisha kama mapato na matumizi ya kampuni ya TANCOAL ni halali. Ametoa kauli hiyo leo mchana (Ijumaa, Januari 6, 2017) mara baada baada ya kupokea taarfa na kutembelea mgodi …

Read More »

VISIWANI ZANZIBAR MASHABIKI WAKOSA IMANI NA TIMU ZAO

zeno

Mashabiki mbalimbali wa visiwani Zanzibar kwa upande wao wamesema kwamba hawana matumaini makubwa ya timu moja wapo ya Zanzibar kuweza kufanikiwa kutwaa ubingwa wa michuano hiyo ya mapinduzi kwani viwango ambavyo wanavionyesha ni tofauti na timu za Tanzania bara. Mashabiki hao wamesema kwamba timu hizo zinashindwa kufanya vizuri kutokana na …

Read More »

MBOWE APINGWA KILA KONA

mbowe-2222

Na Mwandishi wetu WADAU mbalimbali wamempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli kwa kuwa muwazi kwa wananchi wake wakati wanapohitaji misaada mbalimbali wakati wa majanga. Wametoa kauli hiyo leo jijini Dar es salaam wakati wa mahojiano na mwandishi wa habari hizi kueleza kauli ya …

Read More »

VIDEO:WAZIRI MKUU “NITASHUGHULIKIA MLIPWE FEDHA HARAKA ILI MTAMBO WA KUPOOZEA UMEME WA GRIDI YA TAIFA KUTOKA MAKAMBAKO MKOANI NJOMBE KWENDA SONGEA UKAMILIKE KWA WAKATI

son

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, KASSIM MAJALIWA katika ziara yake ya Siku ya Pili mkoani Ruvuma ametembelea na kukagua eneo litakalojengwa mtambo wa kupoozea umeme wa Gridi ya Taifa kutoka Makambako mkoani Njombe kwenda Songea mkoani Ruvuma . Habari kamili hii hapa video yake.Ruvuma Tv  

Read More »

MKUTANO WA MAKATIBU WAKUU

wakuu

Sehemu ya washiriki katika mkutano wa Makatibu Wakuuwa Wizara na wadau wa sekta husika za masuala ya mazingira uliohusuhusu mkakati wa kudhibiti uvuvi haramu wa kutumia mabomu. Kaimu Mkurugenzi Idara yaM azingira Ofisi ya Makamu wa RaisB w. Richard Muyungi akiwasilisha mada iliyohusu mapendekezo ya mkakati wa pamoja wa kudhibiti …

Read More »

Wakuu wa wilaya za Arusha wabebeshwa mzigo mzito.

gamu

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo(kwanza kulia) akizungumza katika kikao cha maandalizi ya Bajeti 2017/2017 na mapitio ya Bajeti 2015/2016. Baadhi ya Wakuu wa Wilaya za Mkoa wa Arusha pamoja na wadau wengine wakifuatilia Kikao cha maandalizi na mapitio ya Bajeti. Katibu Tawala Msaidizi huduma za Mipango Mkoa wa …

Read More »

SERIKALI: VIPIMO VYOTE VYA MSINGI KUPATIKANA KATIKA HOSPITALI ZA KANDA NA MIKOA.

mpoki

Na DaudiManongi-MAELEZO Serikali kupitia Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto imesema kuwa inamkakati mkubwa wa kuhakikisha vipimo vyote muhimu vinapatikana katika Hospitali za Kanda  na Mikoa nchini. Hayo yamesemwa na Katibu Mkuu Wizara ya Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Mpoki Ulisubisya alipokuwa akiongea katika kipindi cha TUNATEKELEZA kinachorushwa na …

Read More »

SIHABA HAJI VUAI:AMEWATAKA MAOFISA KUFANYAKAZI KWA KUFUATA RATIBA ZINAZOTAMBULIKA KISHERIA,ILI KURAHISISHA UTENDAJI WA SHUGHULI ZAO VISIWANI PEMBA

wete

               Na.Masanja Mabula-Pemba                                                                                           Ofisa Mdhamin aliyasema hayo katika mkutano na maofisa hao, huko Chamanangwe, Wilaya ya Wete wakati alipokuwa akiwaelekeza utaratibu wa utendaji kazi kwa watumishi wa umma. Alisema kuwa, watumishi wa umma ni lazima watekeleze shuguli zao kwa utaratibu maalum unaotambulika na wanajamii anaowatumikia jambo ambalo litasaidia kwa …

Read More »

MAHAKAMA YA TANZANIA NA MABADILIKO YA UTENDAJI

ndil14

Na Lydia Churi, Mahakama ya Tanzania Mahakama ya Tanzania imejipanga kuendelea kuleta mabadiliko makubwa ya utendaji ndani ya kipindi cha miaka mitano ijayo (2015/16-2019/20) katika utoaji wa huduma zenye viwango na weledi wa hali ya juu kwa kuongozwa na Dira yake ya “Haki sawa kwa wote na kwa wakati”. Jukumu …

Read More »

Ujenzi wa Bararabara za juu (Flyovers) wafikia asilimia 19

tazi

Mhandisi Mkazi kutoka Kampuni ya ujenzi ya Sumitomo Mitsui, Bw.Kiyokazu Tsuji (wa kwanza kulia) akionesha hatua zilizofikiwa katika mradi wa ujenzi wa Barabara za juu (Flyovers) eneo la Tazara Jijini Dar es Salaam. Pembeni yake ni kiongozi wa timu ya ukaguzi wa Miradi kutoka Tume ya Mipango, Mhandisi Omari Athuman. …

Read More »

WAZIRI MKUU AIPONGEZA BIMA YA AFYA KWAJINSI INAVYO SAIDIA KUTOA HUDUMA KATIKA KITUO CHA AFYA CHA MADABA SONGEA

wazi-mkuu

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimjulia hali Sophia Mgeni ambaye ametoka kujifungua mtoto wa kike Waziri mkuu alitembelea Zahanati ya Madaba iliyopo wilaya ya Songea ilikuweza kuwasikiliza wagonjwa katika zahanati hiyo Waziri mkuu yupo Mkoani Ruvuma kwa ziara ya kukagua shughuli za maendeleo   Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wauguzi …

Read More »