Thursday , January 18 2018

Home / 2017 / January / 07

Daily Archives: January 7, 2017

AZAM FC IMEIPA YANGA KIFURUSHI CHA 4G KOMBE LA MAPINDUZI

bokooo

  Magoli manne ya Azam FC dhidi ya Mabingwa watetezi wa Ligi Kuu ya Tanzania bara  yameifanya iongoze kundi B kwa kufikisha pointi saba kombe la Mapinduzi huku ikimaliza mechi yake kwa kishindo cha magoli 4-0 kwenye uwanja wa Amaan visiwani,Zanzibar. Matokeo hayo yanaifanya Azam Fc wafikishe jumla ya pointi …

Read More »

MAN UNITED YAIFUATA MAN CITY HATUA INAYOFUATA YA KOMBE LA FA

reading

Mashetani wekundu Manchester United imesonga mbele katika Michuano ya kombe la Emirates FA baada ya kupata ushindi wa jumla ya magoli 4-0 dhidi ya timu ya Reading inayoshiriki daraja la kwanza mchezo uliopigwa kwenye uwanja wa Old Trafford mjini Manchester. Nahodha Wayne Rooney alianza kuifungia United dakika ya 7 baada …

Read More »

WAZIRI MKUU ASIFU HUDUMA ZA TIBA MADABA

maji-waziri

*Aipongeza NHIF kwa kutoa dawa, mashuka na vifaa tiba *Aipongeza Halmashauri kwa kusajili wakazi wengi kwenye CHF WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesifia huduma za tiba zinazotolewa kwenye kituo cha afya Mabada katika wilaya ya Songea licha ya kuwa ni kidogo.  Akizungumza na watumishi wa kituo hicho, mwishoni mwa wiki, Waziri …

Read More »

UJENZI WA UCHUMI WA VIWANDA KUPITIA SEKTA YA UVUVI INAWEZEKANA.

300px-coat_of_arms_of_tanzania-svg

Na Ismail Ngayonga-MAELEZO,DAR ES SALAAM KATIKA kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025, Serikali imekusudia kuweka mkazo katika ujenzi vya viwanda ili kuharakisha kasi ya ukuaji wa maendeleo kwa wananchi na taifa kwa ujumla. Ili kufikia lengo hilo, Serikali imeanisha sekta kuu za kiuchumi ikiwemo mifugo, uvuvi, kilimo, ardhi, nishati, …

Read More »

BONDIA IDDI MKWELA AJIANDAA KUMKABILI MANYI ISSA FEB 5 TAIFA

id

Bondia Iddi Mkwela kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yake wa kujiandaa na kupigana na Manyi Issa Feb 5 katika uwanja wa ndani wa Taifa ‘Indoor Stadium’ mpambano wa raundi kumi uzito wa KG 61 Picha na SUPER D BOXING NEWS  Bondia Iddi Mkwela akielekezwa …

Read More »

MUZIKI WA TANZANIA TUNAENDA MBELE?

video-darassa-ft-ben-pol-muziki

  Januari 2013, niliandika makala kuhusu nilivyouona muziki mwaka 2012. Naona nirudie makala ile kama nilivyoiandika, na kukuachia msomaji kulinganisha na hali ilivyokuwa 2016. Mwaka  2012 ndio huoo umetokomea, ni vizuri kuangalia yaliyopita ili kujitayarisha na yajayo. Muziki wa nchi yetu ulitawaliwa na muziki wa Bongoflava, Taarab, muziki wa bendi, …

Read More »

KAIMU KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA DKT JUMA MALEWA AFANYA MABADILIKO YA UONGOZI KWA MAAFISA WAANDAMIZI WA MAGEREZA

luk

Kaimu Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Dkt. Juma Ally Malewa(pichani) amefanya Mabadiliko ya Uongozi kwa baadhi ya Wakuu wa Magereza Mikoa na vituo mbalimbali hapa nchini. ………………………………………………………….. Mabadiliko hayo ni pamoja na aliyekuwa Mkuu wa Magereza Mkoa wa Morogoro Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Magereza SACP Katos Rugainunura amehamishiwa …

Read More »