Wednesday , January 17 2018

Home / 2017 / January / 08

Daily Archives: January 8, 2017

JAMBO LEO WALIVYOUPOKEA MWAKA MPYA 2017

jambo-leo

 Wafanyakazi wa Gazeti la Jambo Leo linalochapishwa na Kampuni ya Quality Media Group Limited wakiwa na furaha wakati wa hafla ya kuukaribisha Mwaka Mpya 2017 kwenye Ukumbi wa Ground Zero, Kurasini Dar es Salaam juzi.  Wakigongeana ikiwa ni ishara ya kutakiana heri ya Mwaka Mpya wa 2017  Wakicheza kwa furaha …

Read More »

WAZIRI MKUU AAGIZA MAAFISA WANNE WAKAMATWE

kamwe

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimuhoji Kaimu Meneja mkuu wa chama kikuu cha ushirika Masasi Mtwara (MAMCU) Bwana Kelvin Rajabu kuhusiana na upotevu wa koroshozaidi ya tani 2000 Waziri mkuu alifanya kikao na Bodi ya korosho pamoja na baadhi ya wanaushirika Mamcu kikao hicho kimefanyika katika ukumbi wa mikutano Ikulu ndogo …

Read More »

MKOA WA ARUSHA KUKOMESHA MIGOGORO YA ARDHI

pozs

Mkuu wa mkoa wa Arusha,Mrisho Gambo akizungumza kwenye kikao cha kutatua migogoro ya Ardhi mkoani humo.   Serikali mkoani Arusha  imejipanga ndani ya kipindi cha miaka miwili iwe imekomesha migogoro ya ardhi sanjari na mivutano ya mikapa ya kiutawala kati ya wilaya moja na nyingine.   Mkuu wa mkoa wa …

Read More »

Nana Akufo-Addo ndiye rais mpya Ghana

kufo

Wakili wa zamani wa haki za kibinaadamu, Nana Akufo-Addo, ameapishwa kuwa rais mpya wa Ghana, katika sherehe iliyohudhuriwa na viongozi kadha wa Afrika. Katika hotuba yake ya kwanza, Nana Akufo-Addo, alimsifu rais anayeondoka madarakani, John Dramani Mahama, kwa namna alivokiri kushindwa katika uchaguzi wa mwezi uliopita. Viongozi kadha wa Afrika …

Read More »

DEO MWANAMBILIMBI NA FAMILIA YAKE WATOA MSAADA KWA WAATHIRIKA WA KIMBUNGA KILOLO, WAANZISHA KILIMO CHA MITI NA MAZAO MBALIMBALI

kilo5

Mbunge wa  Kilolo  Venance  Mwamoto kushoto  akipokea  msaada  wa Tsh 200,000 kutoka  kwa mkurugenzi  wa bendi ya  Kirunde Deo Mwanafilimbi kwa  niaba ya familia  yake kwa  ajili ya  kusaidia waathirika   ambao  nyumba  zao  ziliezuliwa na upepo katika  kijiji  cha Mkaranga Kilolo,jumla  ya  Tsh.  milioni 3.5  zinahitajika  kusaidia wahanga  hao  …

Read More »

DEO MWANAMBILIMBI AJICHIMBIA KIJIJINI KILOLO

deo

Mkurugenzi  wa Karunde  Bendi  Bw  Deo Mwanambilimbi akisaidia kuchambua  mboga ya majani baada ya  kumtembelea mwenyeji  wake kijiji  cha Mkaranga wilaya ya Kilolo  mkoa  wa Iringa  ,Mwanafilimbi  ameamua  kuhama jijini Dar esSalaam na  kuja  kuishi  kijijini  Kilolo  kuendelea na shughuli  za kilimo Mwanambilimbi asema maisha ya  kijijini ni mazuri  kuliko …

Read More »

KOCHA WA AZAM FC ATAJA MBINU ZILIZOIUA YANGA KOMBE LA MAPINDUZI

idd-cheche

Baada ya Matajiri wa jiji la Dar es salam Azam FC kiunganishia kifurushi cha 4G timu ya Yanga katika mchezo wa kombe la Mapinduzi inayoendelea visiwani Zanzibar Kaimu Kocha wa wanaramba ramba hao amefunguka na kutaja sehemu ambazo ziliwaponza wapinzani wao na kukutana na dhahama ya magoli “Yanga wanategemea sana …

Read More »

SERA YA FILAMU KUWAKOMBOA WASANII WA FILAMU NCHINI TANZANIA.

kihole

Katibu Mtendaji, Bodi ya Filamu nchini Tanzania, Mama Joyce Fissoo. Na BMGHabari Bodi ya Filamu nchini imebainisha kwamba kukamilika kwa sera ya kusimamia uendeshaji wa tasnia ya filamu, kutasaidia kuwakomboa wanatasnia hiyo kwa kuinua kuinua uchumi wao na wa Taifa kwa ujumla.   Katibu Mtendaji wa Bodi hiyo, Bi.Joyce Fisso, …

Read More »