Wednesday , January 17 2018

Home / 2017 / January / 09

Daily Archives: January 9, 2017

Five conditioning-tracking programs for Android

Are you wanting to understand how exactly to label someone? Instagram is by far certainly one of my favorite social networking programs (in the event you haven;t currently, you can check out my previous post on how to sign up for Instagram), and section of why is Instagram this kind …

Read More »

WAZIRI ISSA GAVU AZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI

waz2

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe,Issa Haji Ussi (Gavu) alipokuwa akizungumza na Waandishi wa Habari wa Vyombo mbali mbali vya Serikali na Binafsi leo hapo Ikulu Mjini Unguja,wakiwepo na watendaji wa wengine kuhusu Nishani mbali mbali zilizotolewa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii

KWAMBA MNAMO TAREHE 8.01.2017 MAJIRA YA SAA 06:10HRS ASUBUHI KATIKA KIJIJI CHA KISESA ENEO LA KONA YA KAYEZE BARABARA YA MWANZA – MUSOMA WILAYANI MAGU MKOA WA MWANZA, WATU WAWILI WALIOJULIKANA KWA MAJINA YA 1. DANIEL JOACKIM @ NYAMBO MIAKA 33, MFIPA NA 2. JANET ADEN @ KAGOSA MIAKA 22, …

Read More »

How To Speak Well

Article writing providers receive a nasty rap. Sadly, on-line business is scammed with scammers. Thus, for obtaining a first-class mark, all clients need to meticulously decide essay composing service which could supply them a great papers with the right formatting and structuring. Absolutely, custom papers writing services aren’t free. A …

Read More »

MAJALIWA AKUTANA NA WAZIRI WA MAMBO YA NJE WA CHINA

hapa

Waziri  Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Nje wa Jamhuri ya Watu wa China,   Wang Yi   (kulia kwake) kwenye makazi yake, Oysterbay jijini Dar es salaam Januri 19, 2017.  Kushoto kwake ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na Kimataifa, …

Read More »

BABA RAIS MAGUFULI 2016 UMETUANGUSHA WATANZANIA

jpm1

1.Baba Magufuli kwa kweli nimeshindwa kuvumilia lazima nikwambie we ni balaa yani khaaa!! Ndani ya Mwaka Mmoja pamoja na mtikisiko wa uchumi duniani wewe umeongeza mapato ya mwezi kutoka Bilioni 900 hadi Trilioni 1.2; 2.Ndani ya mwaka mmoja watalii waliokuwa hawalipi kodi na pia hawaji kwa wingi nchini Baba umeanzisha …

Read More »

TAARIFA YA JESHI LA POLISI MKOA WA MBEYA

posi

  Jeshi la Polisi mkoa wa Mbeya limeendelea kufanya misako, operesheni na doria zenye tija katika maeneo mbalimbali ili kudhibiti uhalifu na wahalifu na limekuwa likishirikiana na wananchi na wadau wengine katika jitihada hizo za kukabiliana na uhalifu na wahalifu na kupata mafanikio makubwa ikiwa ni pamoja na kupungua kwa …

Read More »

REKODI YAIBEBA SIMBA DHIDI YA YANGA VISIWANI ZANZIBAR

kotte

  Na.Alex Mathias Timu za Simba na Yanga zote za jijini Dar er salaam, zinatarajiwa kuumana kesho katika mchezo wa nusu fainali ya pili ya kombe la Mapinduzi, michezo inayoendelea huko visiwani Zanzibar, hiyo ni kutokana na matokeo ya michezo ya mwisho ya kundi A na kundi B iliyochezwa mwishoni …

Read More »

WATAKAOZIDISHA NAULI ABIRI KUKIONA-SUMATRA TANGA.

sumatra

  MAMLAKA ya Usimamizi wa vyombo vya usafiri wa nchi kavu na Majini (Sumatra) mkoani Tanga kwa kushirikiana na Jeshi la Polisi Kitengo cha Usalama Barabarani wameanza operesheni maalumu kwa madereva wanaozidisha abiria na nauli kwenye mabasi yanayotoka  mikoa mbalimbali ikiwemo kanda ya kaskazini. Hatua inafuatia idadi kubwa ya abiria …

Read More »

WANASIASA, WANAKAGERA MSIKILIZENI RAIS KUHUSU MAAFA

bukoba

NA BEATRICE LYIMO-MAELEZO MWEZI Septemba mwaka jana,  mikoa inayozunguka maeneo ya kanda ya ziwa ikiwemo mkoa wa Kagera yalikabiliwa na maafa ya tetemeko la ardhi lililokadiriwa kuwa na ukubwa wa 5.9 katika kipimo cha Ritcher na kusababisha vifo vya watu 17, majeruhi 560 pamoja na uharibifu wa miundombinu mbalimbali ikiwemo …

Read More »

WATANZANIA TUMUUNGE MKONO RAIS MAGUFULI KUJENGA UCHUMI WA VIWANDA

maggg

 Na. Lilian Lundo – MAELEZOKatika hotuba yake ya kwanza Mhe.  Rais  wa Awamu ya Tano Dkt. John Pombe Magufuli alipokuwa akifungua Rasmi Bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alisema kwamba Serikali yake itaweka mkazo mkubwa katika ujenzi wa Viwanda. “Viwanda tunavyovikusudia ni vile ambavyo sehemu kubwa ya …

Read More »

WANAWAKE MKO WAPI UCHAGUZI MDOGO?

national_electoral_commission_tanzania_logo

               Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. Hivi karibuni Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ilitangaza kufanya uchaguzi mdogo wa Ubunge pamoja na Udiwani kwa sehemu mbalimbali nchini ambazo viongozi wake wamefariki au wamepoteza sifa za kuendelea kuongoza wananchi katika sehemu husika. Uchaguzi huo unategemewa …

Read More »

MBUNGE JUMAA ASHUSHA KONTENA LA VITABU VYA KUJIFUNZIA MASHULENI

9

MBUNGE wa jimbo la Kibaha Vijijini,Hamoud Jumaa,mwenye kibaghalashia,akikabidhi kontena la vitabu vya kujifunzia katika shule za msingi na sekondari ,zaidi ya 40,000 kwa mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Kibaha Tatu Selemani,wa pili kulia,(Picha na Mwamvua Mwinyi) Mbunge wa Kibaha Vijijini,Hamoud Jumaa,akizungumza jambo kabla ya kukabidhi msaada wa vitabu mbalimbali …

Read More »

KAMATI YA GESI, MAFUTA TANZANIA BARA, ZANZIBAR KUUNDWA

1

Kaimu Mkurugenzi wa Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) Mhandisi  Kapuulya Msomba ( wa tano kushoto, waliokaa mbele) akielezea majukumu ya  shirika hilo katika kikao cha Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo  na  Waziri wa Ardhi, Maji, Nishati na Mazingira Zanzibar, Salama Aboud Talib  aliyeambatana pamoja na …

Read More »

How-to Compose a Concept Paper

For the purpose of the lesson, you’re the storyteller. Therefore, the simple thing of writing an assessment essay is consistently to recognize your own capabilities for assessing a specific theme in your words that’s possibly the finest trouble. Writing a great entrance article is a somewhat critical measure for your …

Read More »

Five Year Career Development Plan

Article writing is an uncommon art. Are you really prepared to assume this kind of article. Before starting out, you will find some points you have to know about composing an article. If you read that last sentence again you often view there are two critical things which make creating …

Read More »

MKUU WA MKOA WA RUKWA ATOA AMRI KUHUSU KUPOKEA, KUINGIZA, KUIHAMISHA, KUSAFIRISHA NA KUPITISHA MIFUGO NDANI YA MKOA WA RUKWA

musoma

Mkuu wa mko wa Rukwa kamishna Mstaafu Zelote Stephen amewaagiza wakuu wa Wilaya kutokubali kupokea mifugo kutoka katika wilaya nyingine bila ya mifugo hiyo kuipa kibali maalum cha kuhamia katika wilaya zao. Ameyasema hayo katika amri halali namba 1/2017 kuhusu kupokea, kuingiza, kuihamisha, kusafirisha na kupitisha mifugo ndani ya mkoa …

Read More »