Wednesday , January 17 2018

Home / 2017 / January / 10

Daily Archives: January 10, 2017

MATUTA YAIPELEKA SIMBA FAINALI MAPINDUZI CUP 2017.

simba-day-5

Na.Alex Mathias Dakika 90 zimemaliza kwa vigogo wa soka nchini Simba na Yanga kwenda bila kufungana katika mchezo wa kombe la Mapinduzi iliyopigwa katika uwanja wa Amaan. Ndipo hatua ya matuta imeweza kuipeleka timu ya Simba Fainali  baada ya kupata jumla ya Penati 4-2 ambapo itakutana na Azam FC waliokuwa …

Read More »

WANANCHI WAJITOKEZA KWA WINGI KUTEMBELEA BANDA LA MAONESHO LA MAMLAKA YA VITAMBULISHO VYA TAIFA (NIDA) VIWANJA VYA MAISARA – ZANZIBAR

nida

  Wafanyakazi  wa NIDA wakiwa katika picha ya pamoja, wakijipanga katika Banda la maonyesho hapo katika viwanja vya maonyesho vya Biashara vya Maisara Zanzibar  ili kuhudumia wananchi watakaohudhuria.    Ofisa wa NIDA  Ng Abdulaziz Juma Mtumwa akimkabidhi Dada Lidia Adminic Kaguo Kitambulisho chake katika Banda la Maonyesho wakati maonesho ya …

Read More »

UWANJA WA NDEGE WA MWANZA KUKAMILIKA NOVEMBA.

anza

Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa akitoa maelekezo kwa Mhandisi Lili-Ang kutoka kampuni ya Beijing Construction Engineering Group (BCEG) inayakarabati na kujenga uwanja wa ndege wa Mwanza. Mhandisi Mshauri anayesimamia ukarabati na ujenzi wa  uwanja wa ndege wa Mwanza akimuonesha Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa …

Read More »

MAJALIWA AMTEMBELEA MAMA FATMA KARUME

uo

 Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mjane wa Rais wa Kwanza wa Serikali ya Mpinduzi ya Zanzibar, Mama  Fatma Karume wakati alipomtembelea nyumbani kwake  eneo la    Maisara Zanzibar.     Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mjane wa Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi   ya  Zanzibar, Mama Fatma …

Read More »

UFUNGUZI WA TAMASHA LA BIASHARA LA 2 ZANZIBAR.

ufe

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Waziri wa Biashara,Viwanda na Masoko Mhe, Amina Salum Ali alipowasili katika viwanja vya Maisara wilaya ya Mjini Unguja   leo kufungua Tamasha la tatu la Maonesho ya Biasahara Zanzibar ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya …

Read More »

MAAFISA MAENDELEO WATAKIWA KUACHA KUKAA OFISINI.

ise1

Na Jacquiline Mrisho – MAELEZO. MAAFISA Maendeleo ya Jamii nchini wametakiwa kuacha kutumia muda mwingi kukaa maofisini na badala yake kutembelea jamii inayowazunguka ili kubaini fursa zitakazoleta mabadiliko ya haraka katika jamii. Kauli hiyo imetolewa jana na Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, …

Read More »

KOMBE LA DUNIA KUWA NA TIMU 48

ukf

Shirikisho la Soka Duniani Fifa limeidhinishwa mpango wa kupanua Kombe la Dunia liwe linashirikisha mataifa 48. Mpango huo utaanza kutekelezwa Kombe la Dunia la 2026, na unatarajiwa kufaidi Afrika na Asia. Chini ya mpango ulioidhinishwa, kutakuwa na makundi 16 ya mataifa matatu kila kundi, ambapo mataifa mawili bora yataingia hatua …

Read More »

UFUNGUZI WA TAMASHA LA BIASHARA LA 3 ZANZIBAR.

uyo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Tamasha la tatu la Biashara Zanzibar sherehe zilizofanyika leo huko katika viwanja vya Maisara Wilaya ya Mjini Unguja ikiwa ni katika shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar,(kushoto) Waziri wa …

Read More »

Detailed vs. Narrative Essay Writing

Engineering Matters for Research Reports What Is the Purpose of grammarservices.com? English is the language of universal intercommunication, and billions of people use the language continuously for a variety of purposes . One of the most impressing problems that many learners, teachers , writers , working people and businessmen meet …

Read More »

LIGI KUU SOKA YA WANAWAKE KUENDELEA KESHO

twiga-1

Ligi Kuu ya soka ya wanawake ya Shirikisho la la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), inatarajiwa kuendelea kesho Jumatano Januari 11, 2017 kwa michezo sita katika viwanja mbalimbali nchini. Kwa mujibu wa ratiba mechi hizo sita ni kwa kila kundi litakuwa na timu tatu. Michezo ya kundi ‘A’, itakuwa ni …

Read More »

MSD YASEMA UPATIKANAJI WA DAWA NCHINI UMEIMARIKA

zamaradi

Mkurugenzi wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurean Bwanakunu (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, wakati akitoa taarifa ya kuimarika kwa upatikanaji wa dawa nchini. Kulia ni Ofisa Mwandamizi wa Idara Habari Maelezo, Zamaradi Kawawa. Na Dotto Mwaibale   MKURUGENZI wa Bohari ya Dawa (MSD) Laurean Bwanakunu …

Read More »

MPOGOLO AONGOZA LEO MAZISHI YA ALIYEKUWA KATIBU WA CCM KILINDI

bn644761-2

Na Bashir Nkoromo Naibu Katibu Mkuu wa CCM-Bara, Rodrick Mpogolo, ameongoza umati wanachama wa CCM na nawananchi kwa jumla, katika mazishi ya aliyekuwa Katibu wa CCM wilaya ya Kilindi mkoani Tanga, Hawa Nangaju, yaliyofanyika leo Januari 10, 2017, Mbagala, Dar es Salaam. Katika mazishi hayo, walihudhuria pia viongozi kadhaa akiwemo …

Read More »

WATANZANIA WAASWA KUPUNGUZA POMBE ILI WACHAPE KAZI

pombe

Frank Mvungi- MAELEZO Watanzania wameaswa kupunguza unywaji wa pombe ili waweze kushiriki katika ujenzi wa uchumi wa viwanda na kulifikisha taifa kwenye uchumi wa kati ifikapo 2020. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Msaidizi  Magonjwa yasiyopewa Kipaumbele kutoka Wizara ya Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia …

Read More »

AZAM FC YAPATA KOCHA MPYA TOKA ROMANIA

mro

KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC, mchana huu imemtangaza, Aristica Cioaba, kuwa Kocha Mkuu wa kikosi hicho. Cioaba, 45, anakuja Azam FC kurithi mikoba ya Mhispania Zeben Hernandez, aliyesitishiwa mkataba pamoja na benchi lake zima la ufundi. Kocha huyo atasaidiana na makocha wazawa, Idd Nassor Cheche na …

Read More »

MAELEZO YABAINI NYARAKA FEKI ZA KUSAJILIA GAZETI

ezo

 Mkurugenzi Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akizungumza na waandishi wa habari hawapo (pichani) kuhusu kukamatwa kwa mmiliki wa Kampuniya FAKUNA ambaye anatuhumiwa kutaka kuitapeli Serikali baada ya kubainika kuwasilisha nyaraka za kughushi ili asajili Gazeti la Lete Mambo leo jijini Dar es …

Read More »

RBA YAANDAA MASHINDANO MPIRA WA KIKAPU.

rb

NA BEATRICE LYIMO-MAELEZO Chama cha mpira wa Kikapu Dar es salaam (RBA) kimeanzaa mashindano ya ligi ya mpira huo yatakayoshirikisha timu 16 kutoka kwa wananume na timu nane za wanawake. Akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa chama hicho Okare Emesu alisema kuwa ligi hiyo …

Read More »

NEC YAONYA WANAOKIUKA MAADILI

nec21

NA BEATRICE LYIMO-MAELEZO Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imevionya vyama vya siasa na wagombea wanaoshiriki katika uchaguzi mdogo wa mbunge na madiwani kuheshimu na kuzingatia Maadili ya uchaguzi katika kampeni zinazoendelea. Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Makamu Mwenyekiti wa tume hiyo Jaji Mkuu Mstaafu wa Zanzibar Hamid M. …

Read More »