Wednesday , January 17 2018

Home / 2017 / January / 11

Daily Archives: January 11, 2017

Seventeen factors to suspend glyphosate

Transitional phrases produce it easier for learners when publishing essays to attach ideas and their ideas. Being a scholar, the goal is to choose transitional words to help information followers during your paper. Parents and instructors will help transitional words are incorporated by newer individuals within their essays by training …

Read More »

RAIS MAGUFULI AANZA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI SIMIYU

hutu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, leo tarehe 11 Januari, 2017 ameanza ziara ya siku mbili mkoani Simiyu kwa kuwataka wananchi wa mkoa huo na Tanzania kwa ujumla kuwapuuza  watu wanaoendesha siasa alizozitaja kupitwa na wakati kwa kutumia baadhi ya vyombo vya habari kutangaza kuwa …

Read More »

HAKIKISHENI MIRADI INALINGANA NA THAMANI HALISI YA FEDHA-MAJALIWA

zan4

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewataka watendaji wa Serikali  wahakikishe wanawasimamia vizuri wakandarasi wanaojenga miradi mbalimbali nchini ikiwemo ya barabara ili viwango vyake vifalingane na thamani halisi ya fedha zinazotolewa. Ametoa kauli hiyo leo (Jumatano, Januari 11, 2017) wakati akizundua mradi wa ujenzi wa barabara ya Kwerekwe/Fuoni yenye urefu wa kilomita …

Read More »

TCCL YAZINDUA HUDUMA YA 4G ZANZIBAR

chei

 Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais na Mwenyekiti w Baraza la Mapinduzi Issa Haji Gavu akiwa na Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa TTCL Waziri Waziri Kindamba wakinyanyua mabango ya matangazo kuashiria kuzinduliwa kwa  huduma ya 4G  ya Kmpuni hiyo  Zanzibar (kushoto)  Mkuu wa Kanda ya Zanzibar Franscis Mabula.   Afisa …

Read More »

MAJALIWA AZINDUA BARABARA YA MWANAKWEREKWE HADI FUONI- ZANZIBAR

zan7

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kuzindua barabara ya Mwanakwerekwe hadi Fuoni yenye urefu wa Kilomita 4.1 iliyopo Zanzibar Januari 17, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika dua iliyosomwa baada ya kuzindua barabara ya Mwanakwerekwe hadi Fuoni yenye urefu wa Kilomita 4.1 …

Read More »

AZAM SPORTS FEDERATION CUP 2016/17

aska

Baada kupatikana timu nne kutoka Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) katika michuano ya Kombe la Shirikisho ya Azam (Azam Sports Federation Cup 2016/2017), mapambano ya kuwania taji hilo, yanatarajiwa kuendelea kesho Januari 12, 2017 kwenye viwanja tofauti hapa nchini kwa kuzihusisha timu za Ligi Daraja la Pili (SDL). Timu …

Read More »

DK. SHEIN AZINDUA SKULI YA SEKONDARI KWARARA 2

sp4

Chumba cha Kompyuta katika Skuli ya Sekondari ya Kwarara iliyozinduliwa na Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein ambayo imejengwa na  Ushirikiano  wa Serikali ya Mapinduzi na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),Ikiwa ni shamra shamra za miaka 53 ya Mapinduzi ya …

Read More »

RAIS DKT. MAGUFULI AWASILI BARIADI MKOANI SIMIYU, AWEKA JIWE LA MSINGI HOSPITALI YA RUFAA YA SIMIYU PIA AFUNGUA BARABARA YA BARIADI-LAMADI (KM 71.8)

simi2

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipunga mkono wakati alipowasili Bariadi kwa ajili ya kuifungua rasmi barabara ya Bariadi-Lamadi yenye urefu wa kilometa 71.8. Wengine katika picha ni Mkuu wa mkoa wa Simiyu Antony Mtaka na Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa …

Read More »

MAJ.GEN.GAUDENCE; UJANGILI KWA SASA UMEPUNGUA NCHINI

luv2

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi akizungumza katika mkutano huo. Picha ya pamoja ………………………………………………………………………………………. Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii amesema kwa kiasi kikubwa cha  ujangili umepungua nchini na kwamba meno ya tembo yanayokamatwa kwa sasa ni masalia ya zamani. Aliongeza kuwa kinachohitajika …

Read More »

UZINDUUZI WA SKULI YA SEKONDARI KWARARA

uz2

 Rais wa Zanzibar na Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na  Balozi wa Korea Kusini Bw.Song Geumyoung wakati alipofika Kwarara kuzindua Skuli ya Sekondari na Kituo cha Elimu ya Habari  leo,iliyojengwa kwa Ushirikiano  wa Serikali na Shirika la Kimataifa la Maendeleo kutoka Korea (KOICA),Ikiwa ni …

Read More »

TAARIFA KUTOKA JESHI LA POLISI MKOA WA MWANZA

msangii

KWAMBA TAREHE 10.01.2016 MAJIRA YA SAA 17:00HRS KATIKA KIJIJI CHA IGOMBE KATA YA BUGOGWA WILAYA YA ILEMELA JIJI NA MKOA WA MWANZA, MTU MMOJA MWANAMUME ALIYEJULIKANA KWA JINA LA EDSON PAUL MIAKA 24, MSUKUMA NA MKAZI WA BUSWELU, ALIUAWA NA KUNDI LA WATU WALIOJICHUKULIA SHERIA MKONONI BAADA YA KUTENDA WIZI …

Read More »

KAMATI YA BUNGE YA PIC YATEMBELEA EPZA

bun12

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Ukanda wa Uwekezaji (EPZA) Bw.  Lamau Mpolo akizungumza mbele ya Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) wakati Kamati hiyo ilipotembelea eneo hilo mapema leo. Wajumbe wa  Kamati ya Bunge ya Uwekezaji wa Mitaji wa Umma (PIC) wakiangalia shughuli za uzalishaji …

Read More »

SERIKALI YATEKELEZA MKAKATI WA MAGONJWA YASIYO YA KUAMBUKIZA

taku1

Na. JOVINA BUJULU – MAELEZO Serikali kupitia Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imefanikiwa kukamilisha mkakati wa kitaifa wa magonjwa yasiyo ya kuambukiza wa mwaka 2013-2020. Hayo yamesemwa jiji Dar es salaam na Mkurugenzi wa magonjwa yasiyoambukizwa kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia , …

Read More »

KAWAMBWA AJIKITA KUCHANGIA KWENYE UJENZI WA MADARASA NA MITAJI BAGAMOYO

kawa1

MBUNGE wa jimbo la Bagamoyo,Dk.Shukuru Kawambwa akizungumza na wanachama wa vikundi vya ujasiriamali vya jipe moyo na kiroho safi,vilivyopo Mwavi kata ya Fukayose,wakati wa ziara yake aliyoianza jimboni hapo.(Picha na Mwamvua Mwinyi) MBUNGE wa jimbo la Bagamoyo,dk.Shukuru Kawambwa akizungumza na baadhi ya wananchi wa kijiji cha Mkenge kata ya Fukayose,wakati wa …

Read More »

MAJALIWA AWATEMBELEA BILAL NA SALMIN NYUMBANI KWAO ZANZIBAR.

bil3

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mkewe Mary wakizungumza  na  Makamu wa Rais Mstaafu, Dkt. Mohammed Gharib Bilali wakati walipokwenda nyumbani kwake eneo la Mbweni , Zanzibar januari 10, 2017. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)  Waziri Mkuu, Kassim  Majaliwa na Mkewe Mary  wakisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar, Dkt. Salmin  …

Read More »

Sabodo: Ukaribu wangu na Mwl. Nyerere uliokoa Taifa

sab1

 Mfanyabiashara maarufu, Mustafa Jaffar Sabodo  Baba wa Taifa, Hayati Julius Kambarage Nyerere Aliyekuwa Kiongozi wa Taifa la Iran, Ayatolah Khomein    Mwandishi Wetu HAKIKA ukitaja jina la Mustafa Jaffer Sabodo, siyo geni masikioni mwa Watazania wengi.   Hii ni kutokana na mchango wake kwa jamii katika kuliondoa taifa kutoka sehemu …

Read More »