Tuesday , March 26 2019

Home / MCHANGANYIKO / KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI (PSPTB) AZINDUA KLABU YA WANAFUNZI WA UNUNUZI NA UGAVI CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT)

KAIMU MKURUGENZI MTENDAJI (PSPTB) AZINDUA KLABU YA WANAFUNZI WA UNUNUZI NA UGAVI CHUO CHA USAFIRISHAJI (NIT)

01

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akikata utepe kuzindua Klabu ya wanafunzi wa Masomo ya  Ununuzi na Ugavi  (Procuremdent And Supply Students Association PSSA) katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) kwenye  uzinduzi uliofanyika chuoni hapo jijini Dar es salaam leo , Kutoka kulia wanaopiga makofi ni Amani Ngonyani Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo (PSPTB) na katikati ni Makamu Mkuu  Fedha na Utawala Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Dr. Ethel Kasembe

1

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Jamal Idd wa mwaka wa pili katika chuo hicho  wakati wa uzinduzi wa  Klabu ya wanafunzi wa Masomo ya  Ununuzi na Ugavi (Procuremdent And Supply Students Association PSSA) katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)  katikati ni Makamu Mkuu  Fedha na Utawala Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Dr. Ethel Kasembe

2

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa  Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Msafiri Kapella wa mwaka wa pili katika chuo hicho  wakati wa uzinduzi wa  Klabu ya wanafunzi wa Masomo ya Ugavi na Ununuzi (Procuremdent And Supply Students Association PSSA) katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)  katikati ni Makamu Mkuu wa Chuo Fedha na Utawala Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Dr. Ethel Kasembe

3

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akikabidhi zawadi kwa mwanafunzi Jamal Idd wa mwaka wa pili katika chuo hicho  wakati wa uzinduzi wa  Klabu ya wanafunzi wa Masomo ya Ugavi na Ununuzi (Procuremdent And Supply Students Association PSSA) katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)  Kulia ni Shamim Mdee Afisa Mwandamizi Mahusiano ya Umma na Masoko.

4

Amani Ngonyani Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo (PSPTB) akizungumza neno mara baada ya wanafunzi hao kukabidhiwa zawadi zao kutoka (PSPTB) wakati wa hafla ya uzinduzi wa klabu ya wanafunzi wa masomo ya Ununuzi na Ugavi (Procuremdent And Supply Students Association PSSA) katika Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT)

5

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi na Makamu Mkuu Fedha na Utawala Chuo Cha Taifa cha Usafirishaji (NIT) Dr. Ethel Kasembe wakipiga picha ya pamoja na baadhi ya wanafunzi waliojishindia zawadi kutoka PSPTB wakati wa uzinduzi wa klabu hiyo.

6

Shamim Mdee Afisa Mwandamizi Mahusiano ya Umma na Masoko akizungumza jambo na wanafunzi wa Chuo cha Taifa cha Usafirishaji NIT wakati wa uzinduzi huo.

7

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi kushoto , Amani Ngonyani Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo (PSPTB) na Shamim Mdee Afisa Mwandamizi Mahusiano ya Umma na Masoko wakijadili jambo wakati wa uzinduzi huo.

8

Amani Ngonyani Kaimu Mkurugenzi wa Mafunzo (PSPTB) na Shamim Mdee Afisa Mwandamizi Mahusiano ya Umma na Masoko na Amosi Kasinza Afisa Mkuu wa Utafiti na Ushauri (PSPTB) wakifuatilia jambo wakati wa uzinduzi huo.

9

Baadhi ya wanafunzi wakifuatilia mada zilizokuwa zikitolewa na wataalamu wa Ununizi na Ugavi katika uzinduzi huo

11

Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Bodi ya Ununuzi na Ugavi wa Umma  (PSPTB) Bw. Godfred Mbanyi akitoa mada ya maadili katika ununuzi na ugavi wa umma kwa wanafunzi hao.

12

Amosi Kasinza Afisa Mkuu wa Utafiti na Ushauri (PSPTB)  kushoto na baadhi ya viongozi wa klabu za wanafunzi kutoka vyuo mbalimbali wakifuatilia jambo wakati wa uzinduzi huo

14

Picha mbalimbali zikionyesha wanafunzi wakifuatilia mada za ugavi na ununuzi wa umma kutoka kwa wataalam mbalimbali wa PSPTB

15 16

About bukuku

Check Also

AA

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MAMLAKA YA VIWANJA VYA NDEGE TANZANIA (TAA)

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

eight − 6 =