Monday , February 18 2019

Home / 2017 / April

Monthly Archives: April 2017

MSHAURI WA SOKA LA VIJANA MKONGWE ROGER MILLER AUMIZWA NA KIKOSI CHAKE CHA CAMEROON BAADA YA KUPOTEZA MCHEZO WA LEO

index

Mtangazaji wa Kituo cha Redio cha EFM Bw. Maulid Kitenge kushoto akiwa na Mshauri wa soka la Vijana Cameroon na mchezaji wa Zamani wa timu ya taifa ya Cameroon Roger Miller kabla ya kuanza kwa mchezo katika Cameroon na Serengeti Boys. …………………………………………………………………………. Mshauri wa Soka la Vijana la Cameroon ambaye …

Read More »

TPDC yang’oa vikombe lukuki Mei Mosi.

tp2

Timu za michezo za TPDC zikiwa na mafuriko ya vikombe vya ushindi zilizoupata kwenye mashindano mbalimbali ya Mei Mosi. Shamrashamra za ushindi mnono na vikombe kwenye michezo minane kati ya kumi ambayo timu za michezo TPDC ilishiriki katika mashiondano ya Mei Mosi. ……………………………………………………………………….. Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania (TPDC) …

Read More »

WAUAJI WAZIDI KUUMIZA VICHWA RUFIJI

index

Na Mwamvua Mwinyi, Rufiji Vitendo vya mauaji mbalimbali huko Rufiji,mkoani Pwani, vimeendelea kutokea ambapo Hamad Malinda, mkazi wa kijiji cha Mgomba Kaskazini, kata ya Mgomba,Ikwiriri,ameuawa kwa kupigwa risasi,na watu wasiojulikana.  Tukio hilo ni la tano kutokea wilayani hapo ,kati ya matukio hayo watu watatu wamefariki dunia na wawili wamenusurika kifo.  …

Read More »

JUMUIYA YA WATANZANIA WANAOSOMA BEIJING WAADHIMISHA MIAKA 53 YA MUUNGANO

WANA

Mwenyekiti wa Jumuiya ya watanzania wanaosoma  Beijing Nchini  Husein Mtoro ( katikati)   aliyemwakilisha Balozi,aliambatana na Viongozi wote Wakuu akiwemo Makam Mwenyekiti Khamis Ngwali,Katibu Mkuu Ndugu Remidius Emmanuel,Naibu Katibu Mkuu Ndugu Alinanuswe Mwakiluma na Mweka Hazina Ndugu Kulwa Gamba.Pamoja nao,Viongozi waasisi wa Umoja huo Ndugu Suleiman Serera na Irenius Kagashe …

Read More »

MZEE WA MIAKA 71 AMBAKA MWANAFUNZI WA DARASA LA PILI (9)HUKO MBWEWE

rp1

Kamanda wa polisi mkoani Pwani, kamishna msaidizi mwandamizi, Onesmo Lyanga, wa kwa kushoto akizungumza na baadhi ya waandishi mkoani hapo. (picha na Mwamvua Mwinyi)  Baadhi ya waandishi wa habari mkoani Pwani, wakimsikiliza kamanda wa polisi mkoani humo, kamishna msaidizi mwandamizi, Onesmo Lyanga. (picha na Mwamvua Mwinyi)  ……………………………………………………………. Na Mwamvua Mwinyi, …

Read More »

NEMC YAZIPIGA FAINI TOMMY DIARIES FARM NA NDOTO FARM MILIONI 20

tom

Mwanasheria wa NEMC Benard Kongola (kulia) akiandika maelezo ya Bw. Athanas Mushi meneja wa shamba la Tommy Diaries Farm ………………………………………………………………… Na Mwandishi Maalum IRINGA Baraza la Taifa la Hifadhi ya Mazingira (NEMC) limeyatoza faini mashamba ya mifugo ya Tommy na Ndoto jumla ya shilingi milioni 20 kutokana na kukiuka Sheria …

Read More »

MICHUANO YA COPA -UMISSETA YAZINDULIWA KWA KISHINDO DODOMA

Dodoma 6

 Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais – TAMISEMI, Selemani Jaffo akisalimiana na baadhi ya wachezaji wa timu zilizoshiriki uzinduzi wa michezo ya shule za sekondari nchini (Copa-UMISSETA) katika uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma jana, mara baara ya uzinduzi rasmi wa michuano hiyo itakayoendeshwa nchini kote kwa udhamini wa kampuni …

Read More »

KIKOSI KAZI KUNUSURU MTO RUAHA CHARIDHISHWA NA UTEKELEZAJI AGIZO KWA SHAMBA LA TOMMY DIARIES FARM

NUS2

Baadhi ya migomba iliyofyekwa kandokando ya mto Ruaha Mkuu Mwanasheria wa NEMC Benard Kongola (kulia) akikagua migomba iliyokatwa katika shamba la Tommy Diaries Far. …………………………………………………………… Na Dennis Gondwe, IRINGA Kikosi kazi namba tatu cha kunusuru ikolojia ya mto Ruaha mkuu kimeridhishwa na utekelezaji wa agizo la kuondoa migomba isiyo rafiki …

Read More »

HALMASHAURI YA WILAYA YA IRINGA YATAKIWA KUSIMAMIA SHERIA YA MAZINGIRA

KIJZ

Kikosi kazi namba tatu kikikagua chanzo cha maji Kivalali kilichopo kijiji cha Bandabichi wilayani Iringa ……………………………………………………………. Na Dennis Gondwe, IRINGA Halmashauri ya wilaya ya Iringa imetakiwa kusimamia sheria ya Mazingira vizuri ili kuondoa uharibifu wa mazingira katika bonde la mto Ruaha mkuu. Agizo hilo lilitolewa na mwenyekiti wa kikosi kazi …

Read More »

AKINA MAMA WAJAWAZITI WATAKIWA KUWAHISHWA HOSPITALINI AU VITUO VYA AFYA MARA WAPATAPO DALILI ZA KUWA TAYARI KWA KUJIFUNGUA

UZA2

Mwenyekiti wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar Bi. Amina Abdulkadir Ali akizungumza na waandishi wa habari katika Ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazimmoja kuelekea  siku ya Wauguzi Duniani Mei tano. Mwenyekiti wa Baraza la Wauguzi na Wakunga Zanzibar Bi. Amina Abdulkadir Ali akiwaonyesha waandishi wa habari kitabu cha mwongozo …

Read More »

CMT KILOLO KUTOA KIPAUMBELE SUALA LA MAZINGIRA

GON

Mwenyekiti wa kikosi kazi namba tatu Wamoja Ayubu (kushoto) alifuatilia majadiliano ya wajumbe. Kulia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Kilolo Venance Kihwanga ……………………………………………………………………. Na. Dennis Gondwe, KILOLO CMT KILOLO Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Kilolo (CMT) imetakiwa kulipa kipaumbele suala ya uhifadhi na utunzaji wa vyanzo vya …

Read More »